inabidi kufikiri nje ya box kama mbowe, wakati mnasubiri maandamano kumbe maandamano yameisha fanywa na wenyewe . the big plan . free man mbowe umenifunza kitu hapa
Hashimu akiri zako ziko na adesina ,yaani chadema inatikisa nchi na dunia mpaka adesina ana haha polisi hawalali wamejaa jambajamba halafu wewe hashimu unasema chadema wameufyata hakika wewe na adesina akiri zako mnazijua wewe na adesna wako
MAKAMANDA WA SACCOOS MMETIA AIBU KAZI YENU KUBWEKA NA KUTUKANA MITANDAONI MMETIA AIBU WA KENYA WANAMICHEKA KIONGOZI WENU ANACHUKULIWA KAMA CHUPA YA CHAI KIMYA NA WACHUNGAJI WENU MITINI 😮😮😮😮😮😮😮
AMANI YETU NI TUNU ILIYODUMU KWA ZAIDI YA MIAKA 50,,, ASITOKEE MPUMBAVU YOYOTE WA KUJA KUIVURUGA KWA ULAFI WAO BINAFSI WA MADARAKA... HONGERENI SANA POLISI. HAYA NDIO TUNAYOYATAKA.
Hatimaye asikari wakaandamana wao.
Ni aibu sana aisee
Maandamano yamefanikiwa Kwa kisasi kubwa 100 asilimia message imefika duniani
@@SeverinepauloPeter kabisa
Hongera sana msemaji ni kweli ujumbe umefika Duniani kupitia police.
Well said!
Polis na ccm tumewachoka kwasasa futen vyama kipaki ccm tu maana tumewachoka.
Ndio tubaki na chama kimoja tu wote, maana hii sio sawa
Kweri kbs hatawao police wameandamana mwenyekiti nae kaandamana inatutosha kbs
Inasikitisha sana
Nimekuelewa,,polisi wamefikisha ujumbe
Ujumbe gani watanzania wanaingozwa na dikteta
@@Abs-tz8dlujumbe kwamba tunaongoza na madicteta yaan waua watu.
Ngoja nawewe yakukute ama utaona km niujinga au upumbafu siku zote wenye akili finyu hayo ndo huwa mawazo yao2
Safi sana kingonzi naongera sana kwa majibu yako licha ya maswali magumu kutoka kwa ndg mwanahabari umejibu kwa ufasahaa
Uko sawa
Ongera polisi kwa kuandamana reo.
so sad
Akili ndogo sana, sasa mnalia Lia nini kukamatwa kwao, sii wako kwao nao
Kwakwelipolis wameandamana wameanzajana wangeendelea ivyo kilasiku utekaji uta ondoka
Facts bruda na wao POLISI wameandama bada ya wachadema cyo Ccm mbelele kwa mbelele
Kweli wamewasaidia kuandamana
Kwanin watmie nguvu kubwa kuzma maandamano nasio kuwatafta hao eatekajii na wauajii #?
Eti wameandamana, wamevaa uniform...mngeingia barabarani
Polisi wameitikia maamdamano
Askarii ndo wameandamanaa tena kwa silahaa wao ndo washtakiwee kwahloo
Ni kweli police wameandamana
Ndio maana kumbe ni mnyama
Ukinipiga umenionea ukiniacha umeniogopa.
Mtangazani Tafuta sauti yako acha kuiga sauti ya Kikeke hizo ni tabia za kikasuku kuiga sauti za watu😂😂
Ni kweri mandamano yamefanyika
inabidi kufikiri nje ya box kama mbowe, wakati mnasubiri maandamano kumbe maandamano yameisha fanywa na wenyewe . the big plan . free man mbowe umenifunza kitu hapa
Kwa jezi hiyo,ni uhalisia kuwa Makolo wote ni Chadema!!!
Wala yy pekeyake ndio chadema
Maandamano unatakiwa uwe na uchungu sasa wewe mwanamichezo shabiki wa Simba uchungu utautoa wapi?🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ni choko kabisa Amna m2 anshikiliwa pasipo na sababu
Komed kama hamedi ali
Vua hiyo jezi ya Simba vaa. Ya Saccos sisi .tupo na MAmA
Kenge wa kijani wewe.
Maandamano yakiisha mutupe taarifa
Kwaiyo chadema iko Burundi au Rwanda??????😅😅😅😅😅
Chadema wameufyata mkia kilicho Baki ni polojoo
Kuna siku ukikua vizuri na akili utajua ukweli ni upi.
Hashimu akiri zako ziko na adesina ,yaani chadema inatikisa nchi na dunia mpaka adesina ana haha polisi hawalali wamejaa jambajamba halafu wewe hashimu unasema chadema wameufyata hakika wewe na adesina akiri zako mnazijua wewe na adesna wako
Kenge wa kijani wewe
Ku.Nkn
Wewe acha ujinga hao sio watanzania ni chadema usidanganye watanzania wenye akili.
MAKAMANDA WA SACCOOS MMETIA AIBU KAZI YENU KUBWEKA NA KUTUKANA MITANDAONI MMETIA AIBU WA KENYA WANAMICHEKA KIONGOZI WENU ANACHUKULIWA KAMA CHUPA YA CHAI KIMYA NA WACHUNGAJI WENU MITINI 😮😮😮😮😮😮😮
Lengo la maandamano nikupinga utekaji na mauaji...kama unaakiri kabisa nafikiri unaelewa
@@PhilipoMwita-b2xhuyo ni pimbi na chawa hawezi kuelewa
@@PhilipoMwita-b2xOK BASI TUBWEKE TU KWENYE MITANDAO 😢😢😢😢😢😢😢
Kumbe.Magufuli alikuwa.sawa kabisa hawa wajinga wanataka Kiongozi kama Marehemu Magu
Kwa ujumla hamjaandamana ,msiwe waongo ! Muwe mnatii sheria bila shuruti !
kama hawajaandamana kwahiyo Mbowe amekamatwa akipiga mswaki bafuni? sheria gani zaidi ya katiba ya nchi? katiba ya nchi inaruhusu maandamano
Mtangazaji anaongea kama salum kikeke sijuwi nimaskio yangu au
WEWE SIO MWANA SIMBA UNAGHAFUA BRAND KUBWA
Kiongozi anachukuliwa kama furushi la nguo mmetulia kama maji mtungini mtatekwa sana walai na amtafanya kitu
WA KENYA WANAWACHEKA SACCOOS KUMBE NI WAOGA 😢😢
Hawataki kukosolewa sijuikwann
AMANI YETU NI TUNU ILIYODUMU KWA ZAIDI YA MIAKA 50,,, ASITOKEE MPUMBAVU YOYOTE WA KUJA KUIVURUGA KWA ULAFI WAO BINAFSI WA MADARAKA...
HONGERENI SANA POLISI.
HAYA NDIO TUNAYOYATAKA.
Angetekwa kaka yako au mtoto wako mpendwa tungekaa kujadili.......CHIZI ANACHEKESHA AKIWA HATOKI KWENYE FAMILIA YENU
Aliyeyasema saivi Yuko wapi?
So sad