Ibada ya Mazishi ya Baba yetu Mpendwa Johnson Gilbert Kapola| KKKT Ukonga | 2rd Dec 2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Connect with Pastor Tony Osborn Ministries:
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)
Poleni sana familia ya mzee wetu Kapola. Sisi wa familia ya Kinyau tunamkumbuka sana mzee Kapola na mama Kapola kwa jinsi walivyokuwa nasi bega kwa bega wakati baba yetu Mzee Abel Kinyau alipokuwa akiugua hapo Kisarawe na huko Muhimbili.
Mzee Kapola alitokea kuwa rafiki wa karibu sana wa mzee Kinyau hadi alipoitwa mbinguni tarehe 27 July 2023 kwenye Hosp ya Taifa Muhimbili.
Wazee hawa (Kapola na Kinyau) walikuwa wacha Mungu kweli kweli kila mara utawakuta wakiimba nyimbo za kumtukuza Mungu za kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu. Hakika wamevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo wamemaliza na imani wameilinda. Wapumzike kwa amani. Amen
Mungu awe faraja kuu kwako, kaka angu, Baba angu, Mtumishi wangu Pastor Tony
Poleni sana PendoEva, Antony, Mama na familia yote kwa mzee wetu kumaliza mwendo. Mungu aendelee kuwatia nguvu
Huu msiba ulikuwa na utukufu wa Mungu sana
Pole sana familia yote kwa ujumla Mungu awape nduvu 😢
Barikiwa Mchungaji kwa neno zuri la faraja Pastor Tony na Neema poleni Sana Mungu awatie nguvu
Pole sana kwa Familia ya Pst Tonny Kapolla. Mungu awashike kwa mkono wake wenye nguvu 😢
Pole sana pastor Tony Roho Mtakatifu awatie nguvu
Pumzika kwa amani baba mungu akupe nguvu PT
May our dad's soul Rest in internal peace,,pole sana Man of God
Pole pastor tony mungu akupe nguvu usimame
pole Baba mchungaji mungu awape nguvu familia yote in this hardest time
Nimebarikiwa na mahubiri, Yesu niache kwanza🙏
Mungu akutie nguvu 😢❤
Poleni sana familia. Mungu baba awafariji
My condolences to you pastor Tony and the whole family. May the Lord Comfort you all in this hardest time
Poleni sana wafiwa wote Mungu awape faraja
Pole sana mtumishi Tony Faraja ya Yesu iwaatamie na kuwaimarisha
Poleni sana familia na mungu awatie nguvu😢
Polen sana bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libalikiwe
Family polen sana MUNGU awatie nguvu
Pole sana Pastor
Poleni Wana familia
Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe
Pumzika kwa Amani Baba
May his soul rest in eternal peace 🙏🏾
Poleni sana
🙏🙏🙏🙏
Pastor alieongoza hii ibada😅😅
Kwakweli amekua faraja
Ni anafurahisha
😭😭😭😭😭😭😭😭
Mkuu wilaya mchungaji anazo elements za uchungaji
Mh! Kwani huyu mtumishe kawaje.
We ulitaka aweje
Ila binadamu mna kazi kawaje Nini? Una maswali hata msibani
Kuagwa c tija jina lako limeandikwa mbinguni
Polen sana baba yetu tony mungu awatie nguvu
Pole sana pastor tony
Pole pastor Tony
May his soul rest in eternal peace, amen
❤❤