TAZAMA ALICHOFANYIWA MZIZE NA DUBE BAADA YA MECHI DHIDI YA DODOMA JIJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 วันที่ผ่านมา +14

    Allahamdulillah Asanteni sana watoto wangu leo mmetupa furaha ya mwisho wa mwaka mwenyemungu azidi kuwalinda kila mechi mpate magoli timu yote hongereni sana benchi lote na uongozi pia Allahamdulillah mnatupa furaha ss watu wazima ndio furaha yetu mpira nawapenda woooote@❤ Shukran gusa achia twende kwao.haina kufeli

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Alhamdulilah kwa ushindi jeshi letu kazi nzuri hongereni sana mungu awabariki daima mbele gusa achia twende kwao yanga oyeeeeeeeee 💓💓💓💓💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @myself-T2
    @myself-T2 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    keep pushing kaka una uwezo mkubwa sana yani hapo hujaonesha hata nusu ya uwezo wako,hongera sana kaka

  • @SaidOmar-sd2yo
    @SaidOmar-sd2yo วันที่ผ่านมา +11

    Allah akusimamie kaka walid mzize

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mzize kaza ndyetu tunakupenda sanaa

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Alhmdulillah🙏Alhmdulillah 🙏Alhmdulillah 🙏

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mzize ni moto wa kuotea mbali mnooo

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yanga ya moto 🔥🔥yanga bingwa inshaallah 💛💛💚💚

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ikawe heri kwake Clement Mzize, daima kila jema likawe upande wake.

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Allhamduliliah

  • @maharusiMedia
    @maharusiMedia 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We love Young African 🔰🔰

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Shukurani kwa allah

  • @fadhirimwaruka1905
    @fadhirimwaruka1905 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Anatuwakilisha vizuri boda boda maana walikuwa wanasema boda2 atuna akili boda boda oyeee

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongera sana

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawapenda sana vijana wangu 💚💚💚💚

  • @KulthumAbdalla-l7k
    @KulthumAbdalla-l7k วันที่ผ่านมา +3

    Nimekuwa wa kwanza maua yangu please 😋

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzize ni mchambuliaji hatari kwa sasa

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna majirani zao na dodoma jiji huku wanaumia ety kuhusu magoli yetu 😂😂😂😂kaz wanayo huku anafungwa mwengine wanaumia wao KWANI KUNA SHIDO 🙄🙄 YANGA BINGWA 🏆🏆🏆

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mchezaji ambae hataki kubadilika hapo yanga ni kibabage au ni kurujuani ya mzee magoma aende nae akaombewe😆😆😆

    • @MariaMsuku
      @MariaMsuku 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😅😅😅😅 nimecheka

    • @bollywoodentertainment8081
      @bollywoodentertainment8081 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kudadeq 😂😂😂😂😂

  • @UshindiGwivaha-y5y
    @UshindiGwivaha-y5y 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzize hamna kwenda Wydad😮😮

    • @Muna-en4yq
      @Muna-en4yq 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Utaki nae 😅😅😅

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    💚💚💚💛💛🤲🏼🤲🏼🙏🏽🙏🏽

  • @DaudMeck
    @DaudMeck 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dogo unajitaidi ongeza bidii nakukubali sana

  • @EmanuelMiyonjo
    @EmanuelMiyonjo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Clementinyo

    • @justinekinyaga6012
      @justinekinyaga6012 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmh jina linachangamxhaa nakubaliii 👍💯

  • @NestoryPrimus-i4e
    @NestoryPrimus-i4e 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga sahv ni moto kudadeki atucheki na kima 😂😂😂😂😂😂

  • @maharusiMedia
    @maharusiMedia 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅😅😅

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona.bado.wataoga.sana.minoti

  • @issadul-d5v
    @issadul-d5v 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ananiudhi uchoyo

  • @AishaMsungi
    @AishaMsungi 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pendaneni sana