Amen amen amen. Hapana hapana. Kristo Yesu Mwokozi amkumbuke mama yenu na akapokee uponyaji kwa utukufu wa Mungu mkuu. Amen amen amen. Mungu mkuu awakumbuke na afute msiba wenu. Amen.
poleni sana vijana huo ni katika mitihani ya mwenyezi mungu kwenu nyie zindisheni duwa kuomba allwa ukuondoshieni huo tihani kwani yeye allwa ndio mwenye kuponya amiina mwezimungu afanyie taafifu
Tuamini na tumuombee huyu mama,"Baba katika jina la yesu kristo,namkabithi huyu mama mikononi mwako, naomba kwa mapenzi yako umfungue huyu mama na umpe uponyaji kwa jina la yesu na chochote kilicho kinyume na yeye kikashindwe Kwa jina la yesu,mungu walinde watoto wake pia,mama atakapopona tutalitukuza jina lako,kupitia kwa jina la yesu kristo nimeomba na kuamini,Amen.
Roho mtakatifu na Malaika washuke juu yako MAMA na ukapokee uponyaji kwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI. Amen. Pole sana mama. Wanadamu tusisubiri msibani ndiyo tutoe michango hapana. Tutoe akiwa hai na Mungu mkuu atatubariki. Amen.
Mungu tunayemtumikia Yuko hai na ni mwaminifu ,,atawasaidia familia hii na kumponya mama Yao bora tukimwomba Kwa Imani,,,lord,thy will be done to this family.Amen
MUNGU yuu mwema kila jaribu linanjia ya kutokea MUNGU mwenyezi mfalme wa aridhi na mbingu msaidie mama huyu apone sisi wanadamu hatuwezi ila wewe amina.
Mwanzo Nashukuru Mungu kwa Uzima wa mwili kwangu na Hata kwa familia yetu zidi kutulinda Amina 🙏pili namwombea mama huyu apate nafuu kwa haraka in Jesus Name for the sake of those children nkumbuke tuh🙏Amina
Ewe Mungu, uliye Alfa na Omega, kwa Ombi hili, sibahatishi wala sibabaiki. Sisemi kama asiye na matumaini, najua tatizo hili halikuwa na budi kutokea, ili utukuke ewe mwenyesi mungu katika pembe zote za Dunia. Pamoja na maombi ya walio na nia njema, Katika Jina la Yesu na anyanyuke na atembee İn Jesus name .Amen.
Mungu wetu wewe unajua kuketi kwake na kuondoka kwake kama siku zake za kuishi bado zipo mjalie kupona maana anateseka ee yarabi
Amiin😥🤲
Subhanallah inauma sana mungu nimwema inshallah allah atawajaria heri na afya njema kwa mama
Damu ya Yesu Kristo imponye haraka. Mubarikiwe
MUNGU mwazo MUNGU mwisho,mapenzi Yako yatimie Ameen
Amen amen amen. Hapana hapana. Kristo Yesu Mwokozi amkumbuke mama yenu na akapokee uponyaji kwa utukufu wa Mungu mkuu. Amen amen amen. Mungu mkuu awakumbuke na afute msiba wenu. Amen.
Mungu najua we n mungu wa miungu uyu mama atapoana katika njina la yesu
Eeh, mwenyezi Mungu huhishie maali pakuhinuka juu ,tazama mama huyu mpe uponyaji kwa jina lako takatifu Amen.
Mwenyezi Mungu tunaomba umponye mama huyu 😭
Ya Allah Mponye mama yetu ya rabbi Mjalie uzima mama yetu❤️😭
Ammina yarab
Amiin
Muondolee maradhi huyu Mama yetu in sha Allah kwani wewe ndiwe muweza wayote Aameen 😢
Amin yaarabi
Mungu Baba katika jina la YESU tunaomba rehema na msamaha kwa uasi wowote MUNGU mrehemu na kumponya kwa jina la YESU
Eeeh mungu wangu ninakuomba umutumie huyu mama upoyaji wa halaka amen
Mwanadam ukiwa mzima mshukuru mungu natuwaombee wengine kweli inauma sana
Mwenyezi mungu akupone mama❤😢😢😢pona katika jina la yesu.
Amen
Mwenyezi mungu ni mwingi wa rehema atapona tu inshaallah
Poleni Sana watoto mungu awape subra manake mnapitia kipindi kigumu sana
Mungu ulie ju mbinguni muangalia mama huu na muponye kbs kwa Jina la mwanao yesu kristo,
poleni sana vijana huo ni katika mitihani ya mwenyezi mungu kwenu nyie zindisheni duwa kuomba allwa ukuondoshieni huo tihani kwani yeye allwa ndio mwenye kuponya amiina mwezimungu afanyie taafifu
We mungu tunakuomba ujitukuze kwa mama huyu kwa njia ya yesu Kristi mponyaji wetu amen
Yaaa rab tusaidie sis waj wako kwa makosa tunayo tenda sis
Insha Allah kwa uwezo wake Allah Atapona maradhi Yanayo msumbua
Mungu twaombea huyu mama apate uponyaje kwa jina lako Mungu mkuu,,,, wenye tunaangalia ii picha hutuwezi zaidia hata kaa n chakula😭😭😭😭
Tuamini na tumuombee huyu mama,"Baba katika jina la yesu kristo,namkabithi huyu mama mikononi mwako, naomba kwa mapenzi yako umfungue huyu mama na umpe uponyaji kwa jina la yesu na chochote kilicho kinyume na yeye kikashindwe Kwa jina la yesu,mungu walinde watoto wake pia,mama atakapopona tutalitukuza jina lako,kupitia kwa jina la yesu kristo nimeomba na kuamini,Amen.
😢
amen
Amina 🙏🙏
Amen
Yesu Kristo mtenda miujiza naomba onekana Kwa familia hii,haujawahi shindwa baba yangu🙏
Mungu mwenye neema na aingilie hali ya hii familia na awape chochote wanaokihitaji na sifa na shukurani zikurudie Wewe MUNGU🙌🏿
Mungu wangu wee saidia watu wako 🎉🎉❤
Roho mtakatifu na Malaika washuke juu yako MAMA na ukapokee uponyaji kwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI. Amen. Pole sana mama. Wanadamu tusisubiri msibani ndiyo tutoe michango hapana. Tutoe akiwa hai na Mungu mkuu atatubariki. Amen.
Mungu mjaliye mama huyu aweze kipona alee wanawe l believe she will be healed in the mighty name of Jesus
Pole sana mama yngu m/mungu atakuhafu
Eeh mwenyez mungu mponye mama huyu kwa jina lako kuu Amen
Mungu tunayemtumikia Yuko hai na ni mwaminifu ,,atawasaidia familia hii na kumponya mama Yao bora tukimwomba Kwa Imani,,,lord,thy will be done to this family.Amen
Polen sana mama ang mwenyez mungu yupo na wew utapon 🙏🙏🙏💜
Mwenyezi mungu aezi muaja na atapona katika jina la yesu
Mungu amfanhie wepesi uyo mama katika matatizo yake amuondo Lee maradhi amponye inshaalha.
Pole sn mm mwenyezi mungu yuko
Na ww atkuponya
Mungu wangu mwenyez mungu ampe shofaa anaumwa nin ni wap kwan huko
Mungu msaidiye mama uyu apone
Ee mungu chukua nafasi katika maisha yake ameeeeeen
Mpeleken Kwa YESU, kanisani
Eeh mungu mjarie mwana mama huyu pamoja na wanae amen
polen sna
MUNGU MUNGU. wangu ww nimwenaa kwetu cc tunakutegemea ww. Utusaidie tunaombaa umsaidie saana saãanaa huyu mama na familia ykee MUNGU WANGU🙏🙏🙏
Ee Mungu mwenyezi onyesha uwezo wako,
Mungu akubonye mama
Daah inauzunisha sana
Mwenyezi mungu simama na huyu mama mponye mama
Mungu yupo
😢😢😢 mwenyenzi mungu tunaomba uponyaji wako juu ya huyu mama
Mwenyezi Mungu akuponye
Mungu wafanyie wepesi.
Mungu na amuponye mama uyu kwa jina la yesu
Pole sana
Mungu akupone huyo mama eee mungu mponye mamahuu
MUNGU yuu mwema kila jaribu linanjia ya kutokea MUNGU mwenyezi mfalme wa aridhi na mbingu msaidie mama huyu apone sisi wanadamu hatuwezi ila wewe amina.
Mungu baba, mguze kila ndoa na nyama inauma na upate uponyaji. Tunaendelea na kutubu dhambi zake
Mungu kumbuka mama huyu
Mungu mponye huyu mama ahsante amen
E mwenyezi mungu mponye hyu mama nateseka sna
Huruma ya Mungu imsaidie
Yaa rabi mjalie uyu maman aweze kupona
Mwanzo Nashukuru Mungu kwa Uzima wa mwili kwangu na Hata kwa familia yetu zidi kutulinda Amina 🙏pili namwombea mama huyu apate nafuu kwa haraka in Jesus Name for the sake of those children nkumbuke tuh🙏Amina
Mungu awasaidie
Amena
Subhannallah ya Allah mpee shifaa huyu mama
Mungu atamuponya pole sana
EE MWENYEZI MUNGU NAKUOMBA UMPONYE MAMA HUYO AMINA BABA
Mungu wa mbinguni kwa huruma yako mponye mama yetu mpendwa
Mungu BABA TUHURUMIE SISI NA DUNIA NZIMA.
Mungu atakuponya mama
Mungu nimwema 3:46
My God have mercy on you 😭 😭😭💔💔 so painful Quick recovery in Jesus name 🙏🙏🙏mungu ana weza akuna ilio msinda kuweni to na Mani kwa mungu
Mungu fanya njia juu ya familia
Eaa mungu wangu musaidia
Ewe mwenzi mungu mtete mama uyu
Kwaker inauzinisha dana We mungu muangarie huyu mama
Nimelipa Sanaa eeemwenyezimungu onyesha miujiza apone mungu wewendio kilakitu
Polen nduguzangu 😭😭 mungu Yuko pamoja nanyi atafungua njia
Subhanallah mungu yupo atapona
Mungu msaidie uyu mama
William mapunda pole sana mungu atakusaidia tu
أنت حكيم يارب
There is power in healing may Jesus heal her
Ewe Mungu, uliye Alfa na Omega, kwa Ombi hili, sibahatishi wala sibabaiki. Sisemi kama asiye na matumaini, najua tatizo hili halikuwa na budi kutokea, ili utukuke ewe mwenyesi mungu katika pembe zote za Dunia. Pamoja na maombi ya walio na nia njema, Katika Jina la Yesu na anyanyuke na atembee İn Jesus name .Amen.
Mungu nakuomba umponye huyu mama apone alee watoto wake
Mungu naomba umponye mama huyu mana wew nikimbilio letu
Mungu tends miujiza
Pole sana mama
Mungu Wahurumie Watoto Hao Wewe Ni Wa Huruma Waponye Watie Nguvu Yesu Yesu Yesu Wewe Ni Mwema Kweli Kweli.
Wa toto wazuri Kweli maskini Allah awatie moyo na nguvu na awape ufumbuzi wa jambo hilo
Mungu atakuafu kikubwa omba sana duaa otapona kwa uwezo wa alah😢😢😢
Ooooh my GOD bless this Martha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu amjalie mama apone
Duh ,Eeeh Mungu Babà Naomba wasadie hii ni ngumu kwa watoto wadogo wanapitia magumu je wako nchi gan mkoa jaman wachangieni waende hospital 😢
Mungu akuepushe na maumivu dada yangu
Yarabb mjalie mama huyu shufaa aendeleevkulea watoto wake kwani ww Allah subhana wathaAllah hakuna kinachokushinda Ameen yarabb allamin InshaAllah 🤲
Usikae kimya Mungu wangu,sema neno,sema neno atapona
Mungu Wewe Ni Mwema Msaidie Mponye Kwa Damu Yako Wewe Huwahi wala Huchelewi Mungu Mrehemu Mtoto Wako.
Mungu amfanyie maajabu huyu mama
Eeeh Yesu wewe wajua🙏🙏
Mungu uwapiganie hii familia