Let me tell you maina,who is this cris😂😂nani alimpee ruhusa ya kukaa Arab life in Kenya😂😂na serikali tu imetulia😂anyway hiyo kitchen yake looks like gulf 😂wanagulf pingeni likes hapa kama ni ukweli😊
Congratulations Chris lemme tell u maina call Chris and tell her his wife is in village not here in social media juu weee wako wengi hapa but ni juu ya chenye wameona😊
Wenye wanauliza if ako single mtaeza kazi ya kuorganize vitu hivo?Na that's only his kitchen.Ukisahau uache uchafu umeleta vita.Anyway,aambie watu watume applications wapi
Let me tell you maina,who is this cris😂😂nani alimpee ruhusa ya kukaa Arab life in Kenya😂😂na serikali tu imetulia😂anyway hiyo kitchen yake looks like gulf 😂wanagulf pingeni likes hapa kama ni ukweli😊
Mbna unasema ukweli ww😂😂😂😂
💯 kiarabu style
@@melvinngara9257 manze😅🤣🤣
Walai hio hao ni kali kuliko ya waiguru wangu 😂😂😂😂
@@user-gt4qd9mf3r be nice mbna unataka kuaibisha tajiri wako🤣🤣🤣
Wow very nice congrats 🎉 👏 to him
So beautiful ❤ neat and organized big up Chris 🎉🎉
Umependeza naomba mnipitieni guys ntashukuru saana aki guys I will appreciate guys na mtabarikiwa
Wow Chris congrats 👏
Waah the kitchen is mwaaa❤❤❤imepangwa ikapangika
Blessed I admire the kitchen
Wow Leo nimewai wa kwanza ❤❤
Wow❤
Very organised kitchen i like it
Nawapenda Bure
Kuja kwangu😂
This guy has come along way,May the Lord continue blessing him #kirubi
Chris is so sweet and humble aki
He's a good guy... indeed like brother
Watu wa cowboy mkono juu
Ata kama uliniblock TikTok ndaendelea kukusupport uku😂..Go girl ..🎉the kitchen is beautiful woow
Wow it's so beautiful ❤
Wueh imebidi nimesub❤
I love how hanna aliigia kwa fridge kujigawia tuvitu😂😂😂😂😂
Kitchen kama ya arabs,big up Chris
I love this,
mnafaa kukua couple
Groly to God ety huyu ni kirubi. ...former homii but walihama .....am happy for where you are today
Aky hanna kanakuaga karembo😍😍😍
Happy faredines
Congratulations Chris lemme tell u maina call Chris and tell her his wife is in village not here in social media juu weee wako wengi hapa but ni juu ya chenye wameona😊
Nimeona cowboy
Nyumba ni kitchen full of food personally Im inspired 🎉
Wah he's sooooo organized aman in a million if only someone can give this man I'll be the best woman
Chris ❤so neat amazing 😻,kaa ako singular nikuconnect 😁😁👏❤️
The space is more than enough and well organized 😍😝
Khai mm nilikosea mungu wapy😢😢😢😢😢
Chris amesema Ata hajapanga kitchen 😂😂😂
Ati lazima ubebe nini Hannah😂😂chakula na wewe amuachani😂😂Nakupenda bure mamaa❤❤
Very organized man ❤❤❤❤ love the house
Next tembelea tiff
Waaah I need to work harder
Kitchen goals
Kwa neatness nayo chris anakuwanga top🔥👌👌
Aky huyu hawezi oa. Yani nikuje tuzae then boom..nataka nguo zetu na watoi, sina pesa. Weh!
Kakitu ka kunyoa got me😂😂😂aki Hannah
Sahani ya samaki😂😂😂
Tembelea mweti
The girl be giving us kitchen tour ya wenyewe and and also saying, hii nitabeba and am like weeee aki Hannah wewe😂
Next tembelea tiff dolly
next nitembelee😂😂
😂😂😂nikaribishwe I'm a new here
Next mary musyoka❤❤❤
Hizi ndio tunataka Sasa votu za kutupea presure ya kutafuta pesa😂
Ok nifikisheni 350
Hannah mwambie nko single😅😅
Next tembelea faustine kitchen
Mwiti
Sijui nitag waiguru wangu Huku 😁😁😁😅😂
Very organised bt hapo kwa kuelezea ukisema lazma ubebe rekebisha coz the day hiyo kitchen itapata mwenyewe kitakuramba😂😂😂😂
Alafu mwenye ataolewa huku apeleke kitumbo kubwa afukuzwe😂😂
Wenye wanauliza if ako single mtaeza kazi ya kuorganize vitu hivo?Na that's only his kitchen.Ukisahau uache uchafu umeleta vita.Anyway,aambie watu watume applications wapi
Hannah gaitu ri.❤❤❤ nakupendabure
Mc chris have you ever visited arabs bro am working there but wewe na wao hivi😅😅Eeiy mungu anibariki pia mmi big up❤
House manger anafaa kuwa ametoka gulf coz n wao tu wanajua how to wash those dishes 😂😂
Mtembelee Mary musyoka
The man is red flag to me that level hopes nitafika hapo
wait mlikuja kwangu kama siko😂😂
❤❤❤u gal
Ivo ndio kwa warabu hukaa😂😂😂
Mnajifanya hamjaona kichungi ya chai
Tembelea walda na umprank
Tunaweza penda kuona ya kwao ushago😂😂😂
Inakaa supermarket,,,people are blessed
Mary musyoka
Hadi cowboy 😢😢😢😢
Huyu anataka aoe chef
😂😂nliishi kuota na mpoa kama huyu but i got married😂😂😂😂
Is that yuson say hello. Tell him daisy wa zimmerman Ana mtafuta please
😂😂
Go go hommie more love sam
Huyu hawazi marry he is so organised sana 😂😂😂😂
Ati kakitu kàkunyoa kitchen anyways looks soo much beautiful than my marriage 😂
Huyu hawezi oa😅😅😅😅
Akh ukweli ukiona jamaa ako very clean and organized ni NGUMU sana kuoa akh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
NIPITIENI FAM AS WE WATCH❤
😂😂😂😂hanna surely kitu ya kunyoa kitchen 😅😅
😂😂😂aki ww hanna unatupandishia presha why🙆♂️😂😂😂
Eti kakitu kakunyoa 😂😂😂😂,iyo ni ya kuchonga carrots,,,viazi ,,,,
Me nikifika huko the last part of the kitchen for me
@HANNAH BENTA. Uliza chris kama anataka wife material sasa since ako sorted😂😂😂😂😂😂
Chris anioe tu wiki moja😂😂😂
Next ni mary musyoka🤣
Kakitu kakunyoa nini😅😅😅 Hannah benta wewe
Hanna ebu ambia Chris am single and a mother of one daughter
Hiyo kitchen ni mtu ako na pesa mbaya the fridge can tel😂😂😂
Kakitu ka kunyoa kitchen😂😂 Hannah surely
Mwambie anioe
Niliblokiwa kwa live yako bure but nitakusupport huku
Life is for the living ❤
Ako na bibi asking for my friend
Tiff😂❤
Baaasi kakitu ka kunyoa kako kitchen Hannah😂😂
Chris nimepata pressure hadi nikajiuliza hii Dunia nilizaliwa siku gan😢😢
Ipo siku😘
Next tizian au Mary
Akona mtu?
Ako na mtu ama tumtafutee