FANYA DEMO YA VOICEOVER KWA USAHIHI | Ezden Jumanne
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
- Jifunze kufanya demo yako ya voiceover kwa usahihi. Sikiliza kwa makini ushauri huu halafu chukua script katika video hii: • CHUKUA SAMPLE SCRIPT N...
na uitumie kutengeneza demo yako itakayoweza kukupatia kazi nyingi za voiceover.
Tupo tayari kaka
Teacher Wewe ni mwamba Niko tayari..
Niko tayari
Funzo iko sawa saaana
Teacher 🎙️🎧
Nimefanya sana voice over nakutumia mzee baba
Check content inayofuata au kwenye kwenye description nimeweka link ina maelekezo maalum
Ok
Ni muhimu sana kutoa darasa hilo
Voice over ni big deal sana ila watu hatuna miongozo sahihi.
Muhimu Sana kuongeza ujuzi mimi mwenyewe nataka nisome zaidi
Teacher mm napenda sana kuwa Journalist .nielekeze zaidi nifanyaje??
Njoo WhatsApp na huo ujumbe wako 0759191076
Asante studios
Interested
Brother nilitafuta sana sehemu ya kuweza kupata hii knowledge ya Voice over. Nitakuchek WhatsApp nifahamu zaidi.
Natamani hiyo kazi unaweza kunifunza
Inawezekana... WhatsApp me 0759191076
Mimi ninakipaji nataka kuw natafasili movie lakin Bado Sina vifaa vya kurekodia Sasa nilikuw nataka angalau nipate uplication niwe nafanya fanya tu kw ajir ya kujibrudisha
Tuwasiliane nikuelekeze zaid