#MBUNGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Benaya Liuka kapinga mbunge wa jimbo la mbinga vijijini,Amekemea dhuruma na ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya viongozi wa amcos katika mfumo wa mauzo ya kahawa,amesema mfumo mbovu unaotumika sasa haumnufaishi mkulima ila unafaida kwa baadhi ya viongozi wa amcos lakini pia mfumo huu unasababisha mkulima kupata malipo kidogo,na wakati mwingine kucheleweshewa sana kulipwa,Ameyasema hayo katika kijiji cha nyoni alipokuwa akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwenye ziara yake maalumu ya kukagua utekelezwaji wa miradi,kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa jimbo la mbinga vijijini...Endelea kutazama.
    TH-cam channel ya Habari za Siasa,Michezo pamoja na Habari za Burudani..Inamilikiwa na NYUMBANI DIGITAL TV.
    .
    .
    #itvtanzania #azamtv #datasports #manaratv #citizentv #wasafimedia #sammisago #ruvumatv #clouds360 #chademamedia​ #ccmtanzania​ #chadema​ #actwazalendo​ #ccmzanzibar​ #uvccmtaifa​ #mwanza​ #songea​ #uwanjawamkapa​ #azamtv​ #uchaguzimkuu #wasafitv​ #manaratv​ #wasafifm​ #timesfm​ #mbossokhan​ #diamondplatnumz​ #zuchu​ #tiktokchina2021​ #uhondotv​ #sammisago​ #citizentv​ #ntvnews​ #jambofmtz​ #rwandaupdate​ #rwandatoday​ #burunditoday​ #ugandatoday​ #kenyadigitalnews​ #itvtanzania​ #ruvumatv​ #tbcfmlive​ #tbctv​ #mahakamani #sheria #polisiindonesia #jeshilapolisi #dppolice #usalama #gereza #grobaltvonline #chaneltentanzania #lemutuz #mangeshkumar #mangekimambi #mpenjatv #habarileo #mwananchi #mwanahabari #nipashe #kishambamedia
    .
    .
    TH-cam channel for Politics News,Sports as well as Entertainment News..Owned By NYUMBANI DIGITAL TV.

ความคิดเห็น •