Pole Sana Kwa Mapito yako yote. Mama Yetu Wa Nyimbo Za Injili Kwa Miaka Mingi. Endelea Kuisimamia Kweli Ya Kristo Yesu Mama Yetu katika nyakati hizi za uovu.
@@JenniferMgendichannel woow mm ndo mamayangu alikuwa akinileta duniani.. mwenyenzi Mungu Akujalie umri duniani dada jenifer na akupe ulizi kila unapoenezaa injili nyimbo zake Mungu akulinde nakila baya linalo kuja mbele yako akulinde utembeapo ulalapo uamkapo
Mungu akubariki, Swali langu ;yule mama aliegiza kama mama yako muzazi katika filamu" joto la roho" ndiye mama kamili? Na uliza Sababu naona kama munafanana!
Ushuhuda mzuri, na pia una ngozi nzuri. Mungu akubariki. ❤
Pole Sana Kwa Mapito yako yote. Mama Yetu Wa Nyimbo Za Injili Kwa Miaka Mingi. Endelea Kuisimamia Kweli Ya Kristo Yesu Mama Yetu katika nyakati hizi za uovu.
Ushuhuda mzito sana GOD BLESS YOU
Mungu wa mbinguni akusaidie uwe na mwisho mwema
Amen asante sana
Pole mwayaa ushuhuda mzbuti Mungu akubariki kwakila hatua unayokanyaga
Amen asante sana ubarikiwe pia
@@JenniferMgendichannel Amen kwasote
Ushuhuda mzito sana my
mate, ubarikiwe sana.
Yaani acha kabisa mate Mungu ni mwema ubarikiwe sana
Wewe ni wa kusudi mama. Jina Yesu ni jibu la maisha
Amen thanks daughter
Amen asante Mtumishi
Pole saaana my lovely❤
Nilishapoa mpendwa asante
Mungu akubariki sana Mtumishi
Hongera sana,Mungu wa mbinguni akutunze.
Amen assnte sana ubarikiwe
Hakika ni ushuhuda mkubwa sana,Mungu aendelee kukutunza tunakupenda
Amen asante sana Mtumishi
1981 ama nimesikia vibayaa mana ndo nazaliwaa
Hujasikia vibaya, mwaka ndio huo. Namfahamu, alipitia hayo akiwa shule ya msingi
Kabisa mate wanifahamu sana my mate@@wendomlahagwaolema6063
Ndio ni 1981
@@JenniferMgendichannel woow mm ndo mamayangu alikuwa akinileta duniani.. mwenyenzi Mungu Akujalie umri duniani dada jenifer na akupe ulizi kila unapoenezaa injili nyimbo zake Mungu akulinde nakila baya linalo kuja mbele yako akulinde utembeapo ulalapo uamkapo
Kumbe huduma yako ulianza kupigwa Vita tangu utotoni,duh,Mungu alikutetea sana!
Tunamshukuru Mungu
😅😅😅😅q😅😅q QQq😅😅😅q😅😅😅
Mungu akubariki,
Swali langu ;yule mama aliegiza kama mama yako muzazi katika filamu" joto la roho" ndiye mama kamili?
Na uliza Sababu naona kama munafanana!
Kwn 1981 ulikua na miaka ngapi malkia 😢
Please sana mama
Asante ubarikiwe