"ENDELEENI NA DHARAU,KAMA HUJAWAHI KUONA MWENGE UNARUDI NYUMA SASA UTAONA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #CgOnlineTv #MwengeWaUhuru
    "Kama hujawahi kukisikia Mwenge unarudi nyuma basi muamini kwamba Mwenge utarudi nyuma, nyaraka zote za manunuzi na mikataba yote kabla kiapo cha risala ya utii" Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa SAHILI GERARUMA wakati wa ukaguzi wa mradi wa Kituo cha Afya Igagala.

ความคิดเห็น •