Makosa ya uandishi wa vyeo tajwa ni makubwa sanaa,rekebisheni hivyo vyeo vinamaana kubwa sana,Brigedia Jenerali kumwita Meja Jenerali siyo sawa kabisa,Tena kwa chombo Cha kitaifa kama Tbc.
Second thought ingekusaidia tu kabla ya kurusha mzigo wa lawama. Una uhakika Stephen Mnkande na Jackson Mwaseba wenye mavazi ya Brigedia Jenerali sio Meja Jenerali kwa sasa? Hawa wamerekodiwa wakiwa Brigedia Jenerali, kipindi kinatoka ni Major Generals, mavazi yao yanakataa ili vyeo vyao vya sasa vinakubali.
TBC mbona mmekosea vyeo vya hao Makamanda wa JWTZ?? Vyeo vyao mnavyoviandika ni tofauti kabisa na vyeo vilivyo mabegani kwao. Meja Jenerali Stephen Mnkande (mabegani kwake ana cheo cha Brigedia Jenerali) na Meja Jenerali Jackson Mwaseba (mabegani kwake ana cheo cha Brigedia Jenerali). Rank matters very much, especially in the Military. Kindly correct.
Your concern is much appreciated. Kipindi wanarekodiwa walikuwa Brigadier Generals, kipindi kinatoka ni Major Generals, their currents ranks stand tall
@@hamzanjiku5255 hapana siyo mafunzo walihitaji kutoa mafunzo ya uafisa kwa maafisa wao kwa bahati mbaya wakawa hawana mahali ambapo ingefaa hivyo waliomba wapate nafasi hapo KURASINI yani majengo na vingine zaidi.
Ada zake ni kubwa sana takriban million 54 kwa kozi sio mchezo
Makosa ya uandishi wa vyeo tajwa ni makubwa sanaa,rekebisheni hivyo vyeo vinamaana kubwa sana,Brigedia Jenerali kumwita Meja Jenerali siyo sawa kabisa,Tena kwa chombo Cha kitaifa kama Tbc.
Makala haya yalirekodiwa na kuandaliwa kabla ya hao uliowataja hawajapandishwa ngazi husika
Second thought ingekusaidia tu kabla ya kurusha mzigo wa lawama. Una uhakika Stephen Mnkande na Jackson Mwaseba wenye mavazi ya Brigedia Jenerali sio Meja Jenerali kwa sasa?
Hawa wamerekodiwa wakiwa Brigedia Jenerali, kipindi kinatoka ni Major Generals, mavazi yao yanakataa ili vyeo vyao vya sasa vinakubali.
makala imejumuisha recording za muda kidogo Mwaseba na wenzie now ni majenerali wa nyota mbili so editor hajakosea
Tupe taarifa mlikofikia ujenzi wa makao makuu Dodoma
TBC mbona mmekosea vyeo vya hao Makamanda wa JWTZ?? Vyeo vyao mnavyoviandika ni tofauti kabisa na vyeo vilivyo mabegani kwao. Meja Jenerali Stephen Mnkande (mabegani kwake ana cheo cha Brigedia Jenerali) na Meja Jenerali Jackson Mwaseba (mabegani kwake ana cheo cha Brigedia Jenerali). Rank matters very much, especially in the Military. Kindly correct.
as we speak hao ni ma major general, inawezekana hii interview ilifanyika soon before their promotion
@@joesimba asante sana kwa hii clarification.🙏
Makala haya yalirekodiwa na kuandaliwa kabla ya hao uliowataja hawajapandishwa ngazi husika
Your concern is much appreciated. Kipindi wanarekodiwa walikuwa Brigadier Generals, kipindi kinatoka ni Major Generals, their currents ranks stand tall
Mbona vyeo mnavotaja na kuandika haviendani na walichovaa hao wakuu?
makala imejumuisha recording za muda kidogo Mwaseba na wenzie now ni majenerali wa nyota mbili so editor hajakosea
Jeshi la polisi lilianza kuwapa mafunzo ya kijeshi huko KURASINI, kipindi hicho Jeshi la ulinzi lilikuwa Bado ni changa
Sijaelewa yaaan wanajeshi walikuwa wanafundishwa na Polis?
@@hamzanjiku5255 hapana siyo mafunzo walihitaji kutoa mafunzo ya uafisa kwa maafisa wao kwa bahati mbaya wakawa hawana mahali ambapo ingefaa hivyo waliomba wapate nafasi hapo KURASINI yani majengo na vingine zaidi.
Kilimanjaro mashine tools wapewe jeshi wakiendeshe na wawaze kikitumia kutengeneza zana zao
💪