Story nzuri,nzuri sana.Ushauri wangu ;kupitia hii story naiona fursa nyingine ,kama anaweza afanye movie ya hii story,inaweza kuwa sababu ya kujiongezea kipato na kuwa maarufu zaidi
That's why I do say if u see someone driving his/her car or living a good life stop asking where they got that money or stop saying they are ritualist because when they didn't have it u didn't ask them the source of there poverty,,, you don't know what some people went through to get where they are,,,,, if u don't want to listen to their story of life then you don't have to judge them,,,,, so touching 😭😭 and emotional
Dr Kumbuka you should write a book, this is really educational to everybody.. don’t judge anyone without knowledge about their life struggle.. Pls write a book, I am a huge fan of yours.. Thank you SNS for the story.. 🇸🇪🇳🇴🇩🇰🇫🇮
Mpk machozi yamenitoka damu yangu dk kumbuka ila stor yako inafanana na maisha yangu kwel umeshinda kaka hongera sana pole sana wewe ni mshindi yaaan sina la kusema ila we ni mtu na nusu
Haa Dr. Kumbuka Mungu yuko na weye usivunjike moyo wanawake wote siyo sawa utapata zaidi ya hao na utastareh be patient my brother... Matam duniani kwa Mungu machungu aliye kunyanyasa kwa mwanao atalipwa kwa makosa yake na huyo kaka wa aliye kuwa mchumba wako amepata kipigo cha sawa yake mwache azidi kukunyanyasa. Zidi usubiri Mungu anamuhifadhi myonge
As long as Life goes on never give up bro forget the past keep going just remember who pulled you up to continue moving your the teacher we learn from you bro
Mungu huwa anahukumu hapahapa duniani jaman pole umepitia magumu yasioelezeka yaan kama firamu Duh ,hakika ubinadamu kazi Pesa imechukuwa sehem kubwa kuliko mapenzi ya kweli .
Msimuliaj nae yuko vizur tumpe sifa yake 👍👍👍
Ni kweli
Kabsa 💯💯
Story nzuri,nzuri sana.Ushauri wangu ;kupitia hii story naiona fursa nyingine ,kama anaweza afanye movie ya hii story,inaweza kuwa sababu ya kujiongezea kipato na kuwa maarufu zaidi
😥😥 kweli duniani kuna mapito mengi sana dah!
Duuuh! Mbona hii ni filamu kabisa! Hakika maisha ni safari tena Yenye milima na mabonde! Pole Sana na hongera sana dk kumbuka
Doctor kumbuka story yako imenifanya nijione mpya kabisaaa. dhuu. mungu akubariki na.akulinde
Ma sha allah.. Story yako inaccmua saana. Ila ushauri wng, Dida ucmsahau maisha yako. Mfanye km dadaako wa kuzaliwa tumbo moja. 👍❤️
Pole mitihan kaka
Sorry bro
Dash mshukur Allah IL usimsahau dida
Uyo rafiki ake Dr. Kumbuka ni mtu mzuri sana.
Sana
Tena sana
Alikuwa anaitwa Emma alikufa kwenye ajari.
So sad kwakel be blessed DK kumbuka mwenye kumbukumbu zake town
Aisee hii siyo poa kweli maisha ni sfr ndefu Mungu akufanyie wepesi mr kumbuka
Pole sana kumbuka hii dunia mungu hawezi kukupa kitu kwa urahisi hadi upitie mtihani 👏👏👏
Watu tunamengi moyoni jamanii daaaah pole Sana kumbuka jamaniii mmmmh mtihani kwakweli Dunia inamengi😭😭😭😭😭😭
Daaah....Nashukuru SnS wallahy mmenifaa sana coz mie mvivu sana kusoma...Ahsanteni sana.
Tokea nimekufahamu sijawahi kukuhukumu hata siku1 Inatosha kusema Nakuelewa San Dr Kumbuka 😘😘😘Mungu pekee 🙏🙏Binadamu hatufai kabisa 😥
Everyone has a past full of pains and betrayals..Congratulations bro your story is indeed inspiring
Pole sana kaka,nimeumiya sana
Pole Sana kwa mkasa huo is a Mungu alikuwa na makusudi na ww ndio una pitia kwenye mitihani ndio kuinuliwa kwako ubarikiwe sana
Duh pole saana DR kumbuka..chuma juwana ulee kivulini
You’re special Dr Kumbuka
Pole kakangu M mungu hamtupi mja wake.naomba iendelee uzidi kutufundisha life.
Nice emotional story, akiigeuza ifanywe kama film, true story, itavuma sana
Pole sana Kumbuka jamani.Huyo bi dada yupo?anakuonaje sasa kweli mungu ni mwema.
dr kumbuka ilove you bro
Mimi machozi yanitoka jamani 😭😭😭😭😭
Safi sana dr kumbuka kaza mungu atazadi kukufungulia
Duuuuh big up bro..mungu akutangulie daima yeye hashindwi
Mungu ulipa hapa hapa walipigwa fimbo ya mungu shetani akawa peleka kwa mganga wakamuona kumbuka waganga nao waongo Pole kumbuka nakupenda bro
Duh, pole sana Dr kumbuka, Allah azidi kukubariki,
Ameen
Dah! So sad, story imeniumiza mpaka mimi mwenyewe, hongera sana Dr kwa kuvuka kwenye magumu yote na kuwa hapo ulipo 🙏😘 TUNAKUPENA sana.
Yooooo polesana. Kakayangu
It's like a movie. Very touchable story
"Touching "
Mm mwwnyew imenisikitisha Sana hakika kumbuka nimwaume wakwel kwakit alichofanya kwauyo dada alafu akasamehe namungu akamuhukum aise malipo nichin ya jua
Jamani pole mno imeniuma mno dunia hii ni ngumu sana
Pole sana Dkt
That's why I do say if u see someone driving his/her car or living a good life stop asking where they got that money or stop saying they are ritualist because when they didn't have it u didn't ask them the source of there poverty,,, you don't know what some people went through to get where they are,,,,, if u don't want to listen to their story of life then you don't have to judge them,,,,, so touching 😭😭 and emotional
What ❓😐❓😄😄😄😄
I like the way you think👍🏼, very analytical
Dr Kumbuka I salute U
Pole sana Kaka mungu yu pamoja nawe
Dr.Kumbuka Mungu akusimamie na kukuongoza!
Dah.., pole sana Dr. Kumbuka.., Mungu ni Mwema wakati wote!!!!
Doct kumbuka polenisana But Store it’s nice 🔥🥰mwendelezo jamani✍🏿
Mungu ajalie maisha marefu zaidi 🙏 👏👏
Pole Dr kumbuka pole Sana mungu akupandishe kiwango Cha juu zaidi
Pole sana docter kumbuka
Polesana kakayangu ndomana wanasemaga subra haina hasara 🙏penyewako wakiwa wanashuhudia maishayako kwasasa ayibu inawapata 😭😭😭😭😭😭😭 amakweli usimdharawu usomjuwa kwasababu hujuwi keshoyake 😭😭😭😭😭
Dah maisha haya kweli watu wametoka bali🙊 keep on going Dr kumbuka 😘
Story nzuri pole kumbuka kwa yote ulopitia uvumilivu wako na maombi ndo yamekufikisha hapo Mungu wetu ni mwema sana
Daah mwenyez mungu amjaalie maisha marefu yenye afya njema inshallah
Pole sana dr kumbuka maisha ni safari ndefuuu
Nampenda sanaaaa doc,,❤️❤️❤️❤️❤️❤️
kwer we noma
Pole my brother mungu ni mwema
Duh pole sana DR KUMBUKA
Inahuma sana 😭😭😭
Dr Kumbuka you should write a book, this is really educational to everybody.. don’t judge anyone without knowledge about their life struggle.. Pls write a book, I am a huge fan of yours.. Thank you SNS for the story.. 🇸🇪🇳🇴🇩🇰🇫🇮
Pôle saaana Ndugu Doctor 👨⚕️ Kumbuka Asante saaana Sns #Chris 🙏🙏🙏
Inauma sna
Mpk machozi yamenitoka damu yangu dk kumbuka ila stor yako inafanana na maisha yangu kwel umeshinda kaka hongera sana pole sana wewe ni mshindi yaaan sina la kusema ila we ni mtu na nusu
Imetugusa wengi nistori yakusisimua 👌
Nimelia haki
Pole sana Mungu akujalie subra InshaAllah
Dah love ni upuuzi ambao ukiufikiriaa unaweza semaa bora utafute life tu
Daaah imeniumiza saana pole. Dr kumbuka mungu yupo unapo mtendea mwenzako mabaya malipo ni hapa hapa duniani.
Ni kweli
Pole sana kumbuka.. umeniliza
Asante kwa kusimulia maana nlikuwa mvivu sana kusoma nyaraka za kumbuka hapo insta na pia ubize
Daaaaaaaa nimelia sana kweli Dunia ngum hiii pole sana kaka kumbuka
Nime penda sana hii stori duh Mungu ni mwema
Story nzuri sana
Dah watu wanasafari za maisha ,,,, usichukulie watu poa poa
Kwakweli
Daaah pole kk kumbuka imeniuma sana ila allah atakulipa kk yang subra inamalipo makubwa
😭😭😭😭😭😭Dr kumbuka pore saaana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Pole
Nicee storyyyy , Na Msimulizii yuko sawa kabisaa
🏊Qatar nini😂😂😂😂😂😂
🏊Qatar nini😂😂😂😂😂😂
So sad story 😢
So sad 😪 Umejua kututoa Machozi Dr Kumbula 💕😭😭😭
Nimelia mnooooo naumiaaaa naumiaaaaaa du jamaniii
Yoooooooohooooooooo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nakupenda sana Dr. kumbuka
Allah atazidi kukubariki maisha yana changamoto nyingi usijaribu kumuongelea mtu vibaya wakati alipotoka hupajui
Ukwelikabisa,👌 daa fatma binaadam hupenda Ku judge sana
Haa Dr. Kumbuka Mungu yuko na weye usivunjike moyo wanawake wote siyo sawa utapata zaidi ya hao na utastareh be patient my brother...
Matam duniani kwa Mungu machungu aliye kunyanyasa kwa mwanao atalipwa kwa makosa yake na huyo kaka wa aliye kuwa mchumba wako amepata kipigo cha sawa yake mwache azidi kukunyanyasa. Zidi usubiri Mungu anamuhifadhi myonge
Pole sana😢
Wow!, I’m speechless .it’s sad and long journey 💪🏽😘
Da pole sana umepitia mengi lakini Mungu ni mwema
Ishi sana kaka angu
Mfadhili mbuzi binaadam anamaudhi. Pole sana Mungu yupo pamoja na wewe.
Mungu ni mkubwa💪
Pole sana dogo,keep on moving..
Brother pole sana 2nakuona unang'aa kumbe umepitia meng hvyo aisee!
Wooii dunia hii
Duu pole sanaa ndg
Daa nimejifunza kitu kwakweli
Duuu Dr kumbuka umepitia magumu sana pole sana mpenzi 😭😭😭duu sijui nisemeje
As long as Life goes on never give up bro forget the past keep going just remember who pulled you up to continue moving your the teacher we learn from you bro
Dah story inaumiza jmni
Dotka kumbuka. Nimeguswa sana nahiyo habari yako mungu mubwa sana ndugu yangu kira raheri maisha yako nimufano muzuri assanti sana
Daaaah bonge la story
Watu wamepitia mitihani haswa, pole sana kaka
Kweli maisha ni safari ndefu sana ina milima na mabonde bila kuyapitia we sio mwanadamu uliyekamilika.
C'est vraiment touchant
Oui
Mungu ni.wema ashukuriwe
Mungu huwa anahukumu hapahapa duniani jaman pole umepitia magumu yasioelezeka yaan kama firamu
Duh ,hakika ubinadamu kazi
Pesa imechukuwa sehem kubwa kuliko mapenzi ya kweli .
poleSana kaka
Jana tulikuwa na dk kumbuka Zanzibar ni mc mzuri sana tumeenjoy sana kuwa nae mtu mzuri haringi tunepiga nae picha 😍
pole sana Umepitia changamoto kweli
Kila mwenye mafanikio ana mengi yakuelezea daah. Pole sana.
Daah pole 😱
Very painful
God is more than gold
Duh mwamba... Pole sana
So sad😭😭😭
wow Allah azidikukufungulia brother 🇸🇦
Ameen