🛑FRIJI BOVU: SIMBA HII YA DEBORA FERNANDES MAVAMBO NA AHOUA KUNA TIMU ZITAKULA KUMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • FRIJI BOVU: SIMBA HII YA DEBORA FERNANDES MAVAMBO NA AHOUA KUNA TIMU ZITAKULA KUMI , #footballclub #simba #simbasc #wasafi #yanga #azamfc #football #live #globaltvonline #millardayo

ความคิดเห็น • 33

  • @johntulio2644
    @johntulio2644 18 วันที่ผ่านมา +4

    Tatizo la Azamu ni kukumbatia viongozi wengi wa Uto ndomana wakicheza na Simba wanakamia Sana ukilinganisha na Uto! Njia rahisi ni kufukuza viongozi wote wenye mapenzi ya Simba na Uto!!!!!

  • @nassirabas
    @nassirabas 18 วันที่ผ่านมา +1

    ❤simba weka love

  • @sulejmandj7582
    @sulejmandj7582 18 วันที่ผ่านมา +2

    Simba inatia raha jamn ukiangalia unaenjoy sanaa ❤🎉🎉🫶🏽

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 18 วันที่ผ่านมา +1

    This is 🦁💪

  • @sulejmandj7582
    @sulejmandj7582 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂Kaka mnanifuraisha sanaaaa ✌🏽

  • @CydneyJackson
    @CydneyJackson 15 วันที่ผ่านมา

    W frij bovu n shabik wa simb lilia

  • @CiaramboMerlin
    @CiaramboMerlin 17 วันที่ผ่านมา +1

    Friji bovu mm nakuunga mkono chasambi acheze makocha wasipokemewa wataendelea kupoteza vipaji vyawachezaji tuendelee kuwasema wabadilike

  • @user-ec3iz6pg2i
    @user-ec3iz6pg2i 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ahua huyu ndio mchezaji wangu wa msimu huu yeye na mashaka mashaka

  • @MBWANAMWAMBUNGU
    @MBWANAMWAMBUNGU 18 วันที่ผ่านมา +1

    Unasema ukweli uongozi wao haupo makini kuiandaa timu

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 18 วันที่ผ่านมา

    Aise! Nikiwa napita pita humu, nikishawaona tuu! Huwa siwapit mpo vizurii sana ktk uchambuzi! Hata ukaaji ni wa kipekee mnabirimita vizuri sana! 🎉🎉🎉

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 16 วันที่ผ่านมา

    Jaman chasambi mbona hachezi ubaya ubela Nathan kumuona anachezea talehe 31

  • @KulwaMartine
    @KulwaMartine 16 วันที่ผ่านมา

    Hajitahidi kwenye mazoezi huyooooo

  • @user-gp3pm4qp5y
    @user-gp3pm4qp5y 18 วันที่ผ่านมา +1

    Colombia sio hoja wana uwezo wa bori inawezekana huko Colombia ni wauza magimbi

  • @AthumanBitegaAthumanBitega
    @AthumanBitegaAthumanBitega 17 วันที่ผ่านมา

    🦁🦁

  • @hizzakijangombe7392
    @hizzakijangombe7392 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ebwana ni mnyama nimekushitukia wewe unaipenda simba

  • @deusmanyenye5190
    @deusmanyenye5190 17 วันที่ผ่านมา

    CHASAMBI ACHEZE!

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm 17 วันที่ผ่านมา

    Nawaomba tu msianze kumchanganya kocha tusifanye makosa tulio kuwa tunafanya enzi za chama kwa robatinyo kocha tunacho taka ni matokeo na magoli mengi na sio kumpangia kocha amesha onyesha mwanga mwacheni cha misingi tumwoombee asipoteze mechi asitoe sare na atoke na clean sheet kila mtu atacheza kama ana kitu bado mapema sana

  • @user-mg7xx7ty1t
    @user-mg7xx7ty1t 18 วันที่ผ่านมา

    Azam wameamua kuliaibisha taifa kabixaaa

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin 17 วันที่ผ่านมา

    Hawa simba watafunga sana

  • @CydneyJackson
    @CydneyJackson 15 วันที่ผ่านมา

    Kila xiku unaixifia ximba coz yang w n xhabik wa simba lilia

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 14 วันที่ผ่านมา

      Yanga yanini sasa hiyo no timu ya mashoga mobeto

  • @Isakhiayusuph-jb3yx
    @Isakhiayusuph-jb3yx 18 วันที่ผ่านมา

    Dahh huyo dogo kanifanya nimeze taksima 😂😂😂 pumbavu zake dahh dogo unampeleka friji bovu

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 14 วันที่ผ่านมา

    Mbn frij bov unaongea kama sio mtu wa mpira?,,,,ladaki apambane

  • @user-mg7xx7ty1t
    @user-mg7xx7ty1t 18 วันที่ผ่านมา

    Friji bovu eeeh tuliza mtori nyama zipo chini atacheza xana tu uyo chasambi ndio kwanza safar inaanza

  • @MBWANAMWAMBUNGU
    @MBWANAMWAMBUNGU 18 วันที่ผ่านมา

    Azam usajili wao mbovu na coach sio mzuri ona mechi walivyocheza na Yanga wachezaji hawajitoi ni Fei sal tu pale

  • @MBWANAMWAMBUNGU
    @MBWANAMWAMBUNGU 18 วันที่ผ่านมา

    Magoli waliofungwa na Yanga yote ukabaji sio wa timu ya ushindani mechi ilikua draw au kufungwa mbili kama wangejito hamna kitu pale

  • @user-ec3iz6pg2i
    @user-ec3iz6pg2i 18 วันที่ผ่านมา

    Frigi wewe ni mtu hasa unajua sana huna kujiona upo na furaha sana napenda kazi yako.

  • @nassirabas
    @nassirabas 18 วันที่ผ่านมา

    Timu inaposhinda wazawa wapewe nafas ya kucheza sio lazm kumaliza wachezaj hawo hawo

  • @user-ou1vg3ry9k
    @user-ou1vg3ry9k 17 วันที่ผ่านมา

    Kaka nikweli kbs Azam Kun fesal na kamiko na silaa bc😂😂😂

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 18 วันที่ผ่านมา

    TUMWACHIE KOCHA TUSIMPANGIE KIKOSI NDY TUTAFELI.

  • @MBWANAMWAMBUNGU
    @MBWANAMWAMBUNGU 18 วันที่ผ่านมา

    Simba walimuuza Haruna Moshi siku nne kabla ya mechi na Yanga na Ikafungwa goli la Mussa mgosi kama mnakumbuka Yanga washamba wengi ndio maana club hipo ktk mfereji wa pombe hakiliyao itakuaje