Asante kwa hii simulizi..nakumbushwa neno la Mungu linalosema.. Kutii ni bora kuliko dhabihu...1Samweli 15:22 “Naye Samweli akasema, je! Bwana huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa na kuitii sauti ya Bwana? Angalia, KUTII ni bora kuliko dhabihu, Na KUSIKIA kuliko mafuta ya beberu. Yaani Modesta unapendwa sana na Mungu. Vitu vingi Mungu anasema na wewe waziwazi, jifunze kutii.
Modesta Ani nimesikia hasira Sana mtu unaambiwa uombe anashangaa tu hapo angekufa angeenda motoni kutokutii sauti ya mungu
Hata mm nimemchoka unaambiwa omba unapingana na sauti ya Mungu
Asante kwa hii simulizi..nakumbushwa neno la Mungu linalosema.. Kutii ni bora kuliko dhabihu...1Samweli 15:22 “Naye Samweli akasema, je! Bwana huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa na kuitii sauti ya Bwana? Angalia, KUTII ni bora kuliko dhabihu, Na KUSIKIA kuliko mafuta ya beberu. Yaani Modesta unapendwa sana na Mungu. Vitu vingi Mungu anasema na wewe waziwazi, jifunze kutii.
Eeee mungu utusaidie na watu wanao kuja mbele yetu inafika mda tunaogopa kuolewa kwa style hii
Mungu wangu, uyo kijana aliemuuwa ilo joka... Na yeye kawa chizi! 😢dah! Hatari Sanaa kwa kweli! 😣
Modesta endelea kuomba usiache uwepo wa mungu maishan mwako
Ahsante 🙏nimefurahi kuipata online yako vero
Thanks for bringing us simulizi tuned 🇰🇪
Jmn wajina wang
Yamungu mengi subhana allah
Uyoo mume ni pepoo
Nae ana ubish anashindwa kuskiliza saut ya Mungu na aombe
Sante Dada Veronika Frenk najifunza mengi Sana ktk simuliz I zako
Duh hii hatari
Mungu ni mwema Hakika asante dada Veronika tumejifunza haswa
Huyu mwanaume atakua mshirikina
Mungu ni mwema
Mme haoneshi ushirikiano wowote ,Ni hatari sana
ata mimi kuna wakati nikiota kitu kinatokea
🙌
Monedsta alikwama wapi jamani angeamka aombee
Aisee naogopa san,😭
🙏❤👍
Modesta modesta modesta uwiiiii so sad
Tanteeee
Ndio tatizo la kuolewa au kuoa watu wasio sahihi
Du Mungu nisaidie naogopa San
@@mzungukiboli8153 unaogopa nn?
Dunia ya leo inatisha hadi mtu unatamani uishi peke yako maisha yote.
@@khadijajuma7142 wakwako yupo
@@frankmtei3017 Inshaallah awepo lakini asiwe mwenye mauzauza kama haya. Sipendi vitisho mm