Pole Sana ndugu yetu Modesta,naamini Mungu yupo hajakuacha, nafikiri Kuna kitu kimejificha hakijajulikana shirikisha watumishi wa Mungu wakupe nguvu ya maombi ,pole pole pole sana😢
Pole sana Dada modestar. Mitihani ni sehemu ya maisha ya binaadamu ..hongera Dada vero kwa kutuwakilishia simulizi halisi za maisha ya watu. ..Allah akubarik katika kazi zako.
Modesta, mume wako alikuwa mshirikina sana halafu Mungu akawa anakuonyesha mambo yake ..na kukuwekea mkono kwenye utosi itakuwa alitaka kukutoa wewe kafara lkn Mungu alikulinda
Sister Vero, Kuna mwenye hua anawahi kupost simulizi zako, Nilitafuta your original Vero simulizi but napata tu channel ingine, so sijui yeye hua ana upload mbele yako, anyways you're doing a great job
Pole Sana ndugu yetu Modesta,naamini Mungu yupo hajakuacha, nafikiri Kuna kitu kimejificha hakijajulikana shirikisha watumishi wa Mungu wakupe nguvu ya maombi ,pole pole pole sana😢
Aki simulizi zinafundisha sana Asante sana sister Veronica
Hii simulizi imeniumiza sana pole sana dada Modesta kwamapito unayo yapitia mungu akutie nguvu
Polesana anti matatizo yaposana duniani ilatujifunze kumjua m/mungu kwa ibada natujuwe matumizi yaakili
Pole sana Dada modestar. Mitihani ni sehemu ya maisha ya binaadamu ..hongera Dada vero kwa kutuwakilishia simulizi halisi za maisha ya watu. ..Allah akubarik katika kazi zako.
Modesta, mume wako alikuwa mshirikina sana halafu Mungu akawa anakuonyesha mambo yake ..na kukuwekea mkono kwenye utosi itakuwa alitaka kukutoa wewe kafara lkn Mungu alikulinda
Acha nife nikiwa singomama nilee mwanangu nishike ibada staki kucjanganya mifamilia ya kishetan jitu usilolijua staki mie
Nahisi mumewe anahusika kwenye hayo mauza uza
Siyo anahusika,hizo mali nadhani kazipata kupitia hayo nihatari sana
Nayawasilisha na sio nanayawakilisha
hii story, inaonyesha ya kusisimua kweli! 👍❤
Duuh napitia mitihani sana hatima yake cjui nn maskin pole sana modesta
No one,,,,nipeni likes walau 50 basi
Nzur🥰
Sister Vero, Kuna mwenye hua anawahi kupost simulizi zako, Nilitafuta your original Vero simulizi but napata tu channel ingine, so sijui yeye hua ana upload mbele yako, anyways you're doing a great job
Mh! Hatari sana lakn yote juu ya yote Mungu yupo
Hapo mumeo anahusika kutoa kafara, utajir wake udumu
Dada Vero una sauti nzuuur saaana,na story inasikitisha mno jaman, Nadhan Mumewe Na Modesta ndy muhusika wa yote
Iyi simulizi mmm dada vero yinatisha nainamafundisho mengi
Hizi story zinanifungua akir xna jaman
Walahi dada Veronica unatukosha wadau wako
Mimi ndio Modesta ninawashukuru.sana kwa kunipa polr
Mungu akutie nguvu akupe subra
Hata Sikuamini 😂😂😂Wala Sio Wewe
Kila Muda nakuja kuchungulia kama usha-upload simulizi hii... @veronicasimulizi Asante Sana.🙏
Atamimi pia
Jmn mung ni mwema kwa kila jambo
Jamani mbona hiyo Picha hayo macho kama ya Veronica??!!
Hata mi nimehisi ivyo !
Nawewe umeona .cmuliz Kama hz huwez weka picha ya mtu husika ili kumlinda muhucka
Mtihan mkubwa
Nahisi huyo mume nini
Uliolewa na jini na hao watoto uliowazaa sio binadam ni majini pia ndo mana mume wako alikuwa anasema unamuharibia mambo yake
Kwakweli
Ngumu kumeza
nakupenda sana dada veronica simulizi zinafundisha sana
Mungu wangu 😭