Kupitia unabii huu wa masanja Mimi pamoja na familia yangu pamoja na majirani zangu tunajiunganisha maisha yetu yapate kufanikiwa katika jina la Yesu kristo
Kupitia unabii anao pewa masanja nami najiungamanisha maisha yangu mwanangu wadogo zangu namimi na kazi yangu kupitia unabii huu was masanja maisha yangu yanyoookee kwajina layesu
Uyo jama anaye jibu jibu apo simuelewi kabisa,mwambieni awe sérieux jamani,kwa maana simuelewi mara ndio mara amen mara ivi mara vile mwambieni aache madoido ayo
Anaboa sana huyu jamaa na anaharibu anaonekana kabisa kuwa anafanya kazi kama kazi kawekwa kwaajili ya kusema hivyo Ili kuwapa amsha amsha watu ila ANAHARIBU
Babaa naomba uniunganishaa na madhabahuu Yako Mimi ni mwenye dhambi familia tangu wote wamekuwaa wanywapombe huyo mtumishi niombee pamojaa na ukoo wangu pamojaa na familiaaa yangu najuaa Mimi ni mwenye dhambi lalimi kupitiaa madhabahuu Yako babaa utaniponyaaa
Atukuzwe bwana YESU KRISTO mwpkozit wote
Kupitia unabii huu wa masanja Mimi pamoja na familia yangu pamoja na majirani zangu tunajiunganisha maisha yetu yapate kufanikiwa katika jina la Yesu kristo
Kupitia unabii anao pewa masanja nami najiungamanisha maisha yangu mwanangu wadogo zangu namimi na kazi yangu kupitia unabii huu was masanja maisha yangu yanyoookee kwajina layesu
Huyo jamaa, wa mic anayeitikia, anaboa sana
Anakera mnooo na watu wengi wanachukia ibada za huyu kuhani sababu ya kwanza huyo jamaa mengine yanafuata
UMEONA EEEEEEE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli baba umeongea point
Huyo ane itikia Amina,Ndio mwambieni aache, anapoteza usikivu
Kupitia ibada hii ya jumaine najiugamanisha mm na watoto wangu kwa jina la yesu amen 🙏 🙌
Jamani maana ya amina kwa wanaokosoa neno la yesu analolifundisha ikawe hivyo au iwe ivyo au itakuwa hivyo kwa hiyo mtuwie radhi
Inawezekana Mungu kutuinuah vijana emen
Amen Amen🙏🙏
huyu jamaa anaitikia ameharibu sana uwepo ameniudhi saaaaaaaana
Mzinguaji saut mbaya
Daa huyo jamaaa anayeitikia anatupotezea usikivu na upakoo daaa anaudh sana amina,ndio, cheka, ndio, kabisa, cheka, anazingua
Hahahaha Aminaaa Aminaaa Sanaaa
Amen 🙏🙏 the
Ana Alibu sasa Sasa anaitikiaje ivyo
Kuitikia bei gani au niwe chawa wa mkandamizaji😆😆
Uyo jama anaye jibu jibu apo simuelewi kabisa,mwambieni awe sérieux jamani,kwa maana simuelewi mara ndio mara amen mara ivi mara vile mwambieni aache madoido ayo
We are praying for you Evangelist Masanja
Kuhani mbona haangalii macho anayafumba simuelewi??
Ohooooooo Usikute Ni Masharti Ya roho mtakafujo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Jamani huyu mtu anaeitikia sijapenda kabisa
Freeemason itawamalizaa
hakika,,,mpaka upewe jicho la ndani ndo utayajua haya
Acha itumalize kwa kweli lakni atuachi kumtumikia Mungu wa kuhani musa
Hivi huyo anaeitikia ni wito wake au, ni ushamba wa hali ya juu, ameharibu taarifa yote kabisa
Huyo kaajiliwa kwaajili ya hivyo ila anaboa atar
nabii wetu tunaomba huyo anae ltikia amina apunguze kidogo tusikie vizuli unacho kiongea sisi niwatu tunao kufatilia kwenye cm na tv
Fact sana barikiwa
@@victoriajulius5239 kwakweli anaboa.
Anaboa sana huyu jamaa na anaharibu anaonekana kabisa kuwa anafanya kazi kama kazi kawekwa kwaajili ya kusema hivyo Ili kuwapa amsha amsha watu ila ANAHARIBU
Tunamuombea mtumish
Simuelew huyo anayesema amina.n kama anaigiza
Uyo anayeitikia anaalibu mambo so atulie
Sauti ya mwitikiaji apunguze
Nianakera sana sema watu wanashindwa tu kusema Ila anaharibu sana ibada
Naungamana na ngome ako kuhani mussa
Uyo aneitikia vipi tena😅
Anazngua sanaaa
Amina Mungu awabariki sana 🙏🙏
Naomba namba jmn nisaidien
Huyo jamaa anayeitikia anapoteza umakini wa kinachosemwa..😡😡 anazingua kiukweli
Kabisa
Anapoteza content
Lazima aitikie coz ndio makanisaa ya kinabiii na kikuhanii kuitikia lazima apo vuvuzela limekosekana tu
@@philipinalyimo7164 hakuna ulazima wa kuitikia hivo, basi tu
Kabisa
Anakera kwakifupu yaani
Amina
Babaa naomba uniunganishaa na madhabahuu Yako Mimi ni mwenye dhambi familia tangu wote wamekuwaa wanywapombe huyo mtumishi niombee pamojaa na ukoo wangu pamojaa na familiaaa yangu najuaa Mimi ni mwenye dhambi lalimi kupitiaa madhabahuu Yako babaa utaniponyaaa
MUNGU naomba mponye mwanangu na uponye uchumi wangu ktk jina YESU
Huyo muitikiaji 🤔