Huu wimbo daah!! Mwanzoni nausikiliza sikuelewa hiyo mvua imekujajee😢 Aisee Ukijibiwa na Mungu ndo utaelewa nini maana ya huu wimbo kuwa mvua imekujaaa... Ni wimbo ninao urudia kila muda maana mvua imekuja na majibuuu yangu 🙌🙌🙌🙌 Ashukuriwe Roho Mtakatifu alienifunulia nini huu wimbo unamaanisha❤
Jamani hii nyimbo inata niuwa. Naomba uniambie historia ya uandishi ya hii nyimbo. Unaimba maisha yangu, nina lia machozi🇨🇩. Nous t'aimons ici à l'est de la RDC
Alooo😱🙌 ...Aisee mvua Imekuja na majibu yangu mengi Sana, I AM BLESSED... Thanks kaka Mruma and the team, I love the energy, anointing, declarations and the creativity in this song Kumb 12:28 Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Woooooooooooowwwww,I feel Unexplainable God’s presence from this sooong,,,HAKIKA IT IS RAINING,I AM BLESSED,I AM HEALED,I AM SUCCESSFUL,…MVUUUUUUUUUUUUUUUWAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Heeeeeeeeyyyyyy🎉🎉❤❤MZIDI KUBARIKIWA NA KUONGEZEKA SANA KATIKA KRISTO.AMEN
I love ur worship henrick mruma, ur singing in a level that God wants us worship him , in the bible he says ur belly's Will flow rivers of fresh water and that's what ur doing God bless you
Glory to the most High King The I Am That I AM for giving this generation a man like you and the team. A breath of fresh to the gospel of Christ. Baraka tele
WOOOOOW! WHEN THE LORD IS BEING GLORIFIED, EVERYTHING REMAINS AT STAND STILL. HUO MVUA UNANYESHA HAPA KENYA KWELI, VIWETE MAELUFU WANATEMBEA, VIPOFU WAMEFUNGULIWA MACHO, MAGONJWA SHUGU YAPONA. THE LETTER RAIN
MVUA IMEKUJA NA MAJIBU YA MASWALI, UPONYAJI, WANGU. HALLELUYA....SIJUI NI LINI WALA ITAKUAJE BALI NANGOJEA KWA SABURI NIKIMWAMINI MUNGU.......MVUUUUUUUUAAAAAAAAAA.....HEY1
Eeeeeeish....lam blessed... Iam healed ....Nami naaacha hii mvua ininyeshee.. Henrick you are so blessed . It's such a blessing to see this energy and zeal for the kingdom ajenda. Imani yetu, ujasiri wetu, kushinda kwetu...ni mambo twaweza tukajivunia na kujidai juu yake . Let the world know that salvation is more trendy and fashionable as well. More blessings ... More grace...
Huu wimbo daah!! Mwanzoni nausikiliza sikuelewa hiyo mvua imekujajee😢
Aisee Ukijibiwa na Mungu ndo utaelewa nini maana ya huu wimbo kuwa mvua imekujaaa... Ni wimbo ninao urudia kila muda maana mvua imekuja na majibuuu yangu 🙌🙌🙌🙌
Ashukuriwe Roho Mtakatifu alienifunulia nini huu wimbo unamaanisha❤
Mruma Mruma Mruma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏
tulipanda mbegu kwa imani kubwa tukasubiria mvua imekuja iwe kwangu leo Amina
Mbua Imekuja nyingi sana
Jamani hii nyimbo inata niuwa. Naomba uniambie historia ya uandishi ya hii nyimbo. Unaimba maisha yangu, nina lia machozi🇨🇩.
Nous t'aimons ici à l'est de la RDC
Mimi mwenyewe natamani kujua idea behind this song.
Mungu akubariki sana kaka angu Wimbo umenibariki sana,,, pamoja na stepu zako😁🫂🙌🏻
Hahahaha
Ubarikiwe Sana Patrick mungju azidi kukupa neema ya kupanda Daraja unanibarki sana
Okay 👌🏽…..my new fav. Minister
Mvuaaaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏿🇹🇿
Oooh God 🙌🙌🙌
Nimebarikiwa, Nimesamehewa 🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Yes Mvua Imekuja
Hatukujua lini wala ingekuaje...tulisubiria imetokea...what a ministration 🙏👋
Hakika mvua imekuja, inyeshe hata jangwa likageuzwa kuwa shamba lizaalo sana.Sooo powerful brother be blessed
Amen
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
THEME OF THE MONTH
MARCH - The month of Great Opportunities.
This song ina thibisha hilo. 🔥
Yoeli 2:23🔥🔥🔥🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️
🙏🙏
Tanzania 🔥🔥🔥🔥
Nimechelka KWA furaha saaaana asnte Yesu
Mvua🙌🙌
Wimbo umefunika jamani mi mzuri sana Mungu awwabariki
Amen
Mvua ya baraka 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Kaka kaka ni hatari
Ndugu yangu, hongera sana. Vitu vikubwa vya kimbingu
Beautiful sanaa😁😁... wacha pia mimi ininyesha kabisa.... i have enjoyed this, blessed and energized.
Be Blessed kaka mruma
Alooo😱🙌 ...Aisee mvua Imekuja na majibu yangu mengi Sana, I AM BLESSED... Thanks kaka Mruma and the team, I love the energy, anointing, declarations and the creativity in this song
Kumb 12:28 Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
God is the Greatest. Let all the glory be His forever. 🌧🌱
Heeeeyyyy🔥🔥💥💥
Who else is dancing to this powerful heavenly melody like I am? 💥🔥👏👏👏💥💥💥🔥🔥
Wow.... More Grace Man of God
Glory to God Almighty.
Niko hapa nanyeshewa na Mvua iliokuja
God bless you
Mvuaa Imekujaaaaaaaaaa! so Lit Brother
Glory to God
Woooooooooooowwwww,I feel Unexplainable God’s presence from this sooong,,,HAKIKA IT IS RAINING,I AM BLESSED,I AM HEALED,I AM SUCCESSFUL,…MVUUUUUUUUUUUUUUUWAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Heeeeeeeeyyyyyy🎉🎉❤❤MZIDI KUBARIKIWA NA KUONGEZEKA SANA KATIKA KRISTO.AMEN
May God make it rain to you today. 🌧🌱
Brother brother 🔥🔥🙌🏽
🙌🙌
🔥🔥🔥🔥 from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Mungu akuwezeshe mtumishi
Sasa mvua imekuja, imekuja na majibu yangu
Mungu akubariki mr henrki mrumaah
Dah aisee Mungu Akuninue sana umeleta radha tofauti kwenye Gospel music.
Yaani Upako 100%
Na Mziki mzuri 100%
Amen Amen
Zidi kuniombea.
Oh LORD , MVUA IMEKUJA- hatukujua lini wala ingekuwaje 😪😪😪
Hallelujah 🔥 Napokea majibu yangu sasa, Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu...Kenya tunapokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen. Mvua Imekuja kwako 🌧🌱
Wonderful may God bless you abundantly
Amen
Baraka Mtumishi 🔥🔥🔥🔥,mvua imekuja na mavuno na majibu yangu,,,this is powerful 🔥🔥🔥 More Grace as you become a blessing to this generation🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen. I receive
Hahaha Mvuuuuwaaaaaaa, backup wamenifurahisha sana
This man of God🙌.....Mvua imekuja na mavuno🔥🔥
Amen. 🙌🙌
It is falling 🌧️🌧️🔥🔥🔥🔥🔥
Mvua imeshuka na majibu yangu haleluyaaaah
Amen
Mvua Imekuja to the world🔥🔥🔥this is so Powerful 🙏
Amen Amen
This is awesome ,God bless you🙌🙌🙌🙌
Amen
Glory to God 🎉
Amen
I love ur worship henrick mruma, ur singing in a level that God wants us worship him , in the bible he says ur belly's Will flow rivers of fresh water and that's what ur doing God bless you
Wimbo wangu wa mwaka 🇩🇪🇩🇪
Maaan ,
I love this song 😃😃😃😃🔥🔥🔥
God bless you bro
Be blessed bro ,hakika mvua imekuja na mavuno
Hakika
❤❤❤❤ baraka
Nimependa 💕
Kakangu Mruma na team mnaimba vizuri. Good blessing 🎵🎵🎵 music with touch. Zidi
Napokea mvua ya baraka kwangu barikiwa mtumishi wa mungu ikanyeshe kwa kila amtegemea bwana wa majeshi na kumtumainia,Amen
Zidi kuniombea
What a song! Lazima uhisi uwepo wa Mungu pindi uisikilizapo! Kazi nzuri Sana Mr Mruma! Be blessed!
Hii mvua imekuwa kubwa hadi imetoboa bati langu aisee
The energy🔥
🙌🙌
I'M REALLY BLESSED
God bless you bro
Glory to the most High King The I Am That I AM for giving this generation a man like you and the team. A breath of fresh to the gospel of Christ. Baraka tele
Amen Amen
amen, Bwana Yesu asifiwe sana
Amen
WOOOOOW! WHEN THE LORD IS BEING GLORIFIED, EVERYTHING REMAINS AT STAND STILL.
HUO MVUA UNANYESHA HAPA KENYA KWELI, VIWETE MAELUFU WANATEMBEA, VIPOFU WAMEFUNGULIWA MACHO, MAGONJWA SHUGU YAPONA. THE LETTER RAIN
Woooooow amaizing song......vocals are amaizing......music arrangements are amazing..... good job by MD
All the glory to God
My My My My 🙌🙌
Jay G respect brother. May God bless you so much, you Guys the so called Band of Christ may God bless you a lot.
Wow……..❤❤❤❤❤🙏May God’s blessings continue to reign upon your life
Mvua mvua imekuja ,Nimebarikiwa
Kazi ya kiwango sana hii
MVUA IMEKUJA NA MAJIBU YA MASWALI, UPONYAJI, WANGU. HALLELUYA....SIJUI NI LINI WALA ITAKUAJE BALI NANGOJEA KWA SABURI NIKIMWAMINI MUNGU.......MVUUUUUUUUAAAAAAAAAA.....HEY1
I believe it. The rain is here. ❤️🇰🇪
The rain is falling
Hujawahi kukosea rafiki powefull song
Glory 🙏😇😇😇
🙌🙌
Mvua imekuja na mavuno 🔥🔥🔥🙏🏾
Kabisaa
Eeeeeeish....lam blessed... Iam healed ....Nami naaacha hii mvua ininyeshee.. Henrick you are so blessed . It's such a blessing to see this energy and zeal for the kingdom ajenda.
Imani yetu, ujasiri wetu, kushinda kwetu...ni mambo twaweza tukajivunia na kujidai juu yake .
Let the world know that salvation is more trendy and fashionable as well.
More blessings ... More grace...
Wimbo mzr kila wakati Mungu ni mwema
Mungu ambariki kila anayesubiria mvua baada ya kupanda mbegu, Mvua ya majibu imuendee
THIS IS PROPHETIC 💯💯💯. AMEN MVUA IMEKUJA
Amen
I envy this team...what?!!! I love you guys❤❤❤❤ Mvua imekuja nimebarikiwa
Napenda nyimbo zako mruma God bless you so much bro
Waooooooooo barikiwa sana watumish wa MUNGU it is true mvua yamafanikio yangu imeninyeshea🤙🤙🤙
Wooooow wonderful n powerful.....mob love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks A lot
A song ✅️🙏
What a song full of Revelation.. anointing...mob love bro Henrick.. karibu Kenya
Ankoo ankoo nimekuita mara mbili
Neema ya Mungu imezidi sana🔥🔥🔥
Amen
This is a prophetic song ,glory to God ,powerful
Amen brother
Wewe ni mtumishi wa Mungu sio mwimbaji epuka matamasha ya ajabu Mungu akulinde
Be Blessed man of God
Amen
Powerful worship song
Amen
I'm blessed
Mvua ya baraka imekuja Afrika🔥🇰🇪
Nyingi sana
God bless you kaka, my favorite song,
Ooh mvua ya Baraka nyesha Sasa leoo❤️❤️🔥🔥🔥🔥
Now I'm singing everywhere "Mvua imekuja..." 😅
Wimbo Kama movie
Wow, wow, what a revelation.. keep on shining fellow music minister
Very powerful song
Waaaao ... I feel blessed 🙏🙏. God's grace is sufficient. It's. Season of overflow
Glory to God
Where have you been man of God??? 🔥🔥🔥
Blessings brethrens this song is a blessing 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 ... My heart is full of gratitude 🙏
Nimebarikiwaaaaaaaaaa ...Mvuaaaaaaaa
a prophetic song at the rightful season....
This song deserve 100M Views
Brother Muruma.......this is real awesome 🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾 God bless u all u did an amazing Job it's real sounds amazing
Jesus is Lord 🙌🙌
Love this song ♥️ , God bless you
Wiliam babete wa Tanzania ndiye huyu sasa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍