Babu kipara sante sana, Umeongea lovely points and very important especially on equestion of availability of rights&equality on Democracy and stopping of Corruption here in Tanzania. Those will bring much peace and security.
Yaani kwa kweli hii nchi nazidi kuona ujinga unaoendelea kwa watu hivi mnahenda kuongea Nini au kusikiliza Nini ccm ishawadharau vyama pinzani na ninyi ni wakati wenu kuwa na misimamo na siyo mambo mengine
01:50:57 Vijana walishirikishwaje kwenye kutuma hizo SMS? Serikali ilitangaza wapi? Ili kupata reliable population group watakao changia kwenye pendekezo la Dira?
Wanakutumia SMS halafu hujui hata Nani umjibu au ujibu nn sioni sijaelewa hata watu wanapata wapi ajenda za kudadavua wakati wao walikuwa tuu wanatutumia jumbe bila ajenda
Kumbukeni miundominu kuijenga kuoitia serikari za mitaa si za afrika tu maana jengeni kwenu kwanza na je munajua barabara huko mtaani zimechakaa .tengenezeni miundombinu kwanza jengeni mitali muache siasa nyie munalipwa hamujui humu mtaani pakoje
Kwenye dira wekeni kipaumbele cha miundombinu mitaani mujenge mitaro ili kuepukana na asalu za mafuliko na muwe watafiti .kwa mfano mazao mutayasafidishaje bira miundominu ya mitaa au mawasiliano ya kiuchumi kati ya mtu na mtu kupeleka huduma .
Weaste of Time mnauwa watu . Ulikuwa unafaumu serekali ww mkumbo leo umeuzaa elimu n a maona yako kwa pesa tu .lipimba ww cc b don't west people Time. No justice no peace. Mnalazimisha vyama vije kwenye mikutano hii kila mtu anajua . Na vyama nya upinzani achaneni nao tupambaneni nao nchi yao
Hongera sana proficer Lipumba. I LOVE YOU SO MUCH for your really pasonalties statements. God blessing you.
01:21:40 Pointi nzuri sana, kuhusu maendeleo. That is Maslow Hierarchy of needs and development
Babu kipara sante sana, Umeongea lovely points and very important especially on equestion of availability of rights&equality on Democracy and stopping of Corruption here in Tanzania. Those will bring much peace and security.
Yaani kwa kweli hii nchi nazidi kuona ujinga unaoendelea kwa watu hivi mnahenda kuongea Nini au kusikiliza Nini ccm ishawadharau vyama pinzani na ninyi ni wakati wenu kuwa na misimamo na siyo mambo mengine
Ukikito Chadema na ACT kwa mbariiiii,,, ila Hivyo vyama vingineee ni matawii ya serikariii ili tuonekaneee tuna vyama vingi kumbe kudanganyanaa tyuuu
Miwani umeuwa sana umeongea point
Lipumba saying about good equestion of available of really and trust democracy in Tanzania.
51:05 Cheyo has provided very constructive critic
01:50:57 Vijana walishirikishwaje kwenye kutuma hizo SMS? Serikali ilitangaza wapi? Ili kupata reliable population group watakao changia kwenye pendekezo la Dira?
Wanakutumia SMS halafu hujui hata Nani umjibu au ujibu nn sioni sijaelewa hata watu wanapata wapi ajenda za kudadavua wakati wao walikuwa tuu wanatutumia jumbe bila ajenda
@ Aisee TZ tabu kwelikweli, serikali inatufanya watanzania wote ni vichwa maji. kuna ulakini na hizi data wanazo toa.
01:28:25 Pointi nzuri sana, sizani vijana tumeshirikishwa ipasavyo.
Kumbukeni miundominu kuijenga kuoitia serikari za mitaa si za afrika tu maana jengeni kwenu kwanza na je munajua barabara huko mtaani zimechakaa .tengenezeni miundombinu kwanza jengeni mitali muache siasa nyie munalipwa hamujui humu mtaani pakoje
Waziri atakiwi kuwa na chama
Kwenye dira wekeni kipaumbele cha miundombinu mitaani mujenge mitaro ili kuepukana na asalu za mafuliko na muwe watafiti .kwa mfano mazao mutayasafidishaje bira miundominu ya mitaa au mawasiliano ya kiuchumi kati ya mtu na mtu kupeleka huduma .
Muwe munashilikisha wananchi wenyewe na mufanye tafiti za kimazingir na misimu ya kiangazi na masika ili kujua pa kuanzi
Hiyo mipango wafanye tu wezi Wakura,,,,huwezi kuwaibia kura At unawaita kwenye mapendekezo,,,wakati unaeatharau kwenye Sanduku la kura na unawapora..
Tatizo population growth yetu ipo juu kutokana watanzania wengi hawana kazi, wapo wapo tu. Matokeo yake wanazaana pasipo mpangilio.
Weaste of Time mnauwa watu . Ulikuwa unafaumu serekali ww mkumbo leo umeuzaa elimu n a maona yako kwa pesa tu .lipimba ww cc b don't west people Time. No justice no peace.
Mnalazimisha vyama vije kwenye mikutano hii kila mtu anajua . Na vyama nya upinzani achaneni nao tupambaneni nao nchi yao
Ni hiviii tunataka katiba mpya
Hiki ni chama gani?
mnaend kupotez mda kwend kuwsikiliza awawa
Sasa wewe huna akili wewe mwenyewe unawasikiliza halafu unawmbia wenzio wanapoteza md wakati wewe had mb zinaenda
😂😂😂