ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hongera sana shishi , yaan unatutia moyo hata sisi mwengine tuzidi kupambana 🙏
Maashaallaah shishi mungu azidi kukubariki inshaallah
Nipeni namie io kazi ya upi shi jamaniii shishi
Mungu akuraishishie Shishi kuku pend bure❤❤❤
Ongera dada Allah akuwekeye wepesi in shaa Allah ,mngeboresha kwa sababu ni capital city mtazame jisi ya kuwa kisasa in shaa Allah
Amin Amin Amin
Shishi,Uko vizuri Sana
Hongera sana dada yangu nakupongeza na naipenda kazi yako Inshaa Allaah,na mimi ntakuja kufata nyao zako.
Hongera kipenz changu nakukubali sana
Hongera kipnz,,,Asante pia
Nice shishi
Shishi anajituma mashaallah mungu akujalie salama
Shishi mwanamke mpambanaji Allah abariki kazi ya mikono yako in sha Allah
Ongera sana mwanangu,nakukubali sana wewe na kila wakati lazima nikuangalie yaan.
Shilole ana ka sauti kazuri
Pambana shost usiwe kama kina kajala unajitambua xixta angu.
Mashallah mashallah
Mungu akongeze
Shishi hongera mama mungu akubariki
Mashallah dada yangu nimtu ambe upo bizz na maisha haupo bizz na mitandao bila mafanikio navutiwa Sana na ww nakupenda natamani niwe Kama ww ila mm nipo kwenye juice za matunda
Unajua kucheza Na fursa vizuri
Wow good for her.
Shishi amewakondesha waudaku na fitina wa bongo 😃😃😃akambia mumewake beb pokes simu inaweza kwua simu muhimu hilo ni poa
Nampenda kazi kamayashishi
big up shishi piga kazi utafika mbali unanitia shauku sana ya kujituma
Nakupenda sana dada shishi naomba unitafutie nami frusa ya iyo ata mm ni mpambanaji
Saf
Hapo kwenye biriani shishi umenikamata ipo siku nitakuja na wenye mpira biriani
Shishi wangu. Nichukue na Mimi ni mwanamke mpambanaji. Nakupenda bure
Ajiea kibao tatizo mtaji
Ajira kibao tatizo mtaji
Hongera sana shilole m-mungu azidi kukujaalia.
Umewapa ajira vijana pia
Chimbo liko hilo Dom