Gharama ya Mavazi ya Young Lunya ni Balaa | Dripcheck na Msanuaji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @KhamisHaroub-uj5ci
    @KhamisHaroub-uj5ci 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upuuzi tu mtoto wa kiume hajisifu kweny kuvaa

  • @bongeone
    @bongeone ปีที่แล้ว +1

    Mnamcholesha Sana mchizi😂😂😂 na yeye anajibu daargh

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว

    Wape haoooo 😂😂😂 nimeipenda hiyooo

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 ปีที่แล้ว +1

    Mnamdharirisha Mshikaji bila yeye kujua, hiyo Nguo ya kijeshi jeshi ikiwa full na koti lake inauzwa Tsh elfu 40, za kitanzania.. hicho kiatu kinauzwa elfu 45. za kitanzania.. kofia elfu 20 kwa 15. Unachukua.. na hiyo Tshet, ni Elfu 15, za kitanzania.. hivyo tu, kwa ufupi msitufanye wajinga tunaijua vyema thamani ya Dola.

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 ปีที่แล้ว

    Mbuuzi 💥

  • @Muda27
    @Muda27 ปีที่แล้ว

    Lunya lunya mbuzi tunakujua 😂😂😂😂 afu mbna hujang'aa

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 ปีที่แล้ว

    Aziuzwi kwa dollars uku msipigwe

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 ปีที่แล้ว

    Sisi tupo ugaibuni atupe Jina lailo vazi lakijeshi tuseme bei yake asiwapige weee izo dollar zote uku tunaziita makama flesh

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 ปีที่แล้ว +1

    Mkiugua Hamna hela mnaanza kutia uruma

  • @fredricksabick-hi1fl
    @fredricksabick-hi1fl ปีที่แล้ว

    Mkija kuomba michango kwa watu walikua wana save na kuvaa 70k full. Tutawaonesha izi video…

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 ปีที่แล้ว

    eti nguo garama

  • @EmmanuelMoswala-pj4hu
    @EmmanuelMoswala-pj4hu ปีที่แล้ว

    Kamwe huwezi kuwa mbuzi
    MBUZI NI FID Q 2

  • @mejjaaokonko
    @mejjaaokonko ปีที่แล้ว

    Utupi shida tunakujuwa lunya wewe ni mze wa kujisifu