MARTHA MWAIPAJA AFIKA KANISANI KWA MCHUNGAJI JOSE KUPEWA USHAURI // ASIMJIBU MAMA YAKE MZAZI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 245

  • @Hellenah_Sufii
    @Hellenah_Sufii 25 วันที่ผ่านมา +5

    Pastor you have spoken my heart
    @Martha Mwaipaja siri ni ukimya. Waache waongee Mungu yupo pamoja nawe

  • @FrankHaji
    @FrankHaji 21 วันที่ผ่านมา +5

    Sio kweli unacho SEMA

  • @AdolfoMateusRufijiRufiji
    @AdolfoMateusRufijiRufiji 26 วันที่ผ่านมา +9

    Pastor simpendi maneno yako Mungu akusaidiye 😢😢

    • @Faraja-j2z
      @Faraja-j2z 26 วันที่ผ่านมา

      Hujielewi

    • @Faraja-j2z
      @Faraja-j2z 26 วันที่ผ่านมา

      Hujielewi

    • @Faraja-j2z
      @Faraja-j2z 26 วันที่ผ่านมา +1

      We ndo mkamilifu!

    • @kashindijohn5145
      @kashindijohn5145 25 วันที่ผ่านมา +1

      Yaan huyu hajielewi.

    • @margaretmkangala7774
      @margaretmkangala7774 24 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo la huyu pastor ni ushabiki

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 25 วันที่ผ่านมา +4

    Mama hata kama anamakosa kiasi Gani ni mama tu huyo pepo kamuingiya kwanza mama mwenyewe anaonekana mtu wa mungu na kawalea kimaandili kama angewalea mitaani basi hata hizo kwaya wasingekuwa wanaimba watanzania wachunguja mnaomtetea marthar mjitambuwe

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 10 วันที่ผ่านมา

      ni kweli watu wanaogopa tajir kumwambia ukweli wanajua watanyimwa msaada.wao wako vzr kwa wazazi wao mwenzao wanamkandamiza matha jitambue

  • @ceomomtz
    @ceomomtz 25 วันที่ผ่านมา +5

    Wewe ndio umeongea lugha yangu. Ukeli ndio huo. Watu wamemlaumu sana Martha. Mungu amsaidie

  • @Ruthnyamai-y6l
    @Ruthnyamai-y6l 26 วันที่ผ่านมา +12

    Ee mungu msaidie martha kwa hili🙏,mungu akupe hekima na nguvu ya kulishinda jaribu😢🛐

  • @Baraka-l8v
    @Baraka-l8v 23 วันที่ผ่านมา +4

    wote mnaemsapoti uyu mchungaji wapagani mungu alisema waeshimu wazazi yeye mungu yup anaemtumikia kama siyo shetani

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 25 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa hajui kitu.Anajifanya kujuwa kuliko mama mzazi,baba mlezi na watu wa familia.

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 26 วันที่ผ่านมา +5

    Ulikuwa wapi mtumishi.😢😢jamani msaidie I Martha msaidieni Sana martha.hujui mbona amenyamaza anapitia mengi.sana.

  • @FloraNyendikuu
    @FloraNyendikuu 23 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu anamtetea tu Martha we Kama unampenda kweli Martha mwambie arudi kwa mam yake.
    Na inaonekana wewe unafurahi. Wazazi wa Martha kuteseka

  • @LinnaJohn
    @LinnaJohn 25 วันที่ผ่านมา +3

    Jmn baba sijui kaka mm ni mzazi nimeliona kwenye familia yetu mtt alihe badilishwa ata uwe mzazi mtt awezi kukusikia mama yupo sahii kuongea mnajua watumishi wengi mnamaovu ya kimya kimya mama sio mjinga nina imani matha ataenda nyumbani kwa mama tu ata iweje tusitetehe mambo ya ovyo

  • @lorenahomondi1293
    @lorenahomondi1293 26 วันที่ผ่านมา +3

    You are wise pastor Jose. Umeyaelewa vizuri🇰🇪🇰🇪

  • @ZoeLocalPoultryFarmHellenaDCEO
    @ZoeLocalPoultryFarmHellenaDCEO 26 วันที่ผ่านมา +2

    Thanks for speaking mi heart pastor, atleast now mi heart has rest n peace ❤, thanks

  • @Salmabah333
    @Salmabah333 6 วันที่ผ่านมา +1

    The rate of hypocrisy in this generation is so very alarming. Who is without a sin should cast the first stone on sister Martha. People are so concerned about the negative forgetting that we are all humans. God is looking for imperfect people and not perfect for there’s no perfection in humanity! God of Heaven knows Martha is not perfect. Why the hate on Martha that has done nothing to people? Every family has it’s own ups and downs, lows
    and highs Martha’s family is not an exception! We all have to stand before the judgement of God Almighty, so people should be concerned about themselves and stop ghosting or gaslighting Martha that has used her platform to liberate Nations of the world! She is Martha for a reason! Martha for The World! We just love Martha!!!’ ❤️🙏🙏🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @MussaMelosiokilaizerLaizer
    @MussaMelosiokilaizerLaizer 25 วันที่ผ่านมา +4

    Pastor mkweli ubarikiwe sana

  • @PendoPendos
    @PendoPendos 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mnao sema Martha kaa kimya mnakuja mtu aliye kaa kimya nahuyo mtoto anavyotukana si yeye anaye mtuma

  • @IrivuLunk
    @IrivuLunk 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ushuda gani ni wawurize ukweri nikitu wamepanga na ware ma pastor kumusha mburiya pamoja nahuyo nduguyake ira ushindi upo ume ongeya ukweri🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @Michaelchadrack01
    @Michaelchadrack01 26 วันที่ผ่านมา +6

    HIVI NA WEWE NI MTANZANIA ?
    NILIFIKIRI WATANZANIA WOTE NIWA JINGA JINGA.
    WEWE UNA BUSARA SANA .
    UNA AKILI YA KIMUNGU KABISA.
    GOD BLESS YOU MORE

    • @jamesmbuvi3853
      @jamesmbuvi3853 24 วันที่ผ่านมา +1

      wacha ushenzi! watanzania wote!!!!!

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mazzini Hana kosakwamtoto Ila mikataba ndo iyo nauliza kwann waimbaji wakike ni wazinzi

  • @ManHussein.
    @ManHussein. 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe ni mchungaji wa mchongo

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 20 วันที่ผ่านมา +2

    Maandiko yanasema kila kazi ya mtu itapimwa acha tuone Matha mwaipaja kazi yake ipimwe tusiingilie pepeto lipo acha apepetwe mm naamini Matha anatengenezwa uhuru.umemzidi.muimbaji wa injili anavaa suruali mm ninachoamini.mama ni chambo tu ila gema lilikuweko.sehemu acha Mungu.amsafishe atengeneze

  • @SuzanShayo
    @SuzanShayo 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka nimekukubali

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 25 วันที่ผ่านมา +2

    Na we toka huko, Martha atubu kwa Mungu na kumuomba mama ake msamaha ,ila tusisahau kumuombeea maana yule pepo Joan anaweza muua

  • @NiyogushimaOscar-rd6ur
    @NiyogushimaOscar-rd6ur 24 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu naye anaulewa mdogo sana mtu mkubwa kama huyu na anaongea upumba tu kwani Mama yake Martha unajuwa anadanganya kwani hakutuambia wemesha fanya vikao lakini Joan ndie aliharibu

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mi sijamuelewa vizuri huyu pastor haijalishi mama kaongea wapi mama ni mama tu mtumishi ukiona mtu kaenda public kwingine kote imeshindikana hivi Kwa akili zetu tunafikiri hawajafanya yote kama familia?

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 26 วันที่ผ่านมา +1

    U are true man of God 🙏🙏🙏 love from Zambia

  • @Kaylyn-z6y
    @Kaylyn-z6y 25 วันที่ผ่านมา +1

    Aduii ni Joan..... Martha amurudie Mungu

  • @1997Godsbest
    @1997Godsbest 26 วันที่ผ่านมา +2

    haki....Pia sikuona sababu ya kuwaambia vyombo vya habari hivyo. ukiwa na pesa kwanini huwezi kuwasaidia wazazi wako, kwanini usubiri dada au kaka yako awahudumie. be blessed pastor

  • @JOSEHUMADUKA
    @JOSEHUMADUKA 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubari sana mtumishi wa mungu uko sawa

  • @FaustinaBoniface
    @FaustinaBoniface 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kila kilichotokea ni mpango wa Mungu, na Mungu anajua namna ya kulimaliza hili.

  • @lilianenyirankamishauwiman7661
    @lilianenyirankamishauwiman7661 26 วันที่ผ่านมา +11

    Wewe ndo mtanzania ulio sema ukweli kbs ulifunuliwa na mungu❤❤❤

    • @tantinendayishimiye579
      @tantinendayishimiye579 26 วันที่ผ่านมา

      Kabisa abarikiwe sana ila wengine nikumsimanga nakutaka kumuangushia kipaji chake

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 26 วันที่ผ่านมา +1

      @@tantinendayishimiye579 Ukweli gani wakati amemtelekeza mzazi, hivi mnaelewa maana ya mzazi nyie mnajua maumivu anayopitia nyie

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 16 วันที่ผ่านมา +1

    Inawezekana sadaka ya mtu ni nzuri hapa😂😂😂 duniani jamani ,,bora uombee na upatanishe .Mungu atatuuliza aosee ,msimuhumize mama martha mmemjua ukubwani hamjuhi ametokanaye wapi,,mama ni mama.

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 26 วันที่ผ่านมา +4

    True spoken 👏 🙌 👌 🙏 👍 💯 👏

  • @Laizer-s3g
    @Laizer-s3g 26 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu sio mtumishi wa Mungu,mtumishi wa kweli hawezi toa maeneno Kama hzo yeye angemxhauri Martha aende Kwa mama yake akaombe msamaha,sas wewe Jose matamshi yako sio nzuri hatujatarajia kama ungetoa maneno kama hzo

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 26 วันที่ผ่านมา

      Kuna sehemu umesikia mama yake anasema Martha kakosea au kuna sehemu umesikia Martha hajanunua vitu kwake ukiwa humpendi Martha utaandika maneno ya uwivu. Sisi tumetajiwa mengi aliyonunua Martha kwa mama yake au mlitaka anunue chipsi mayai ndio mfurahi.

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 25 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo mchungaji au mlevi tu

  • @evaamos1591
    @evaamos1591 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu yupo Martha. Atamshindiaa tupo nyuma akee. I love you my math

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mch. Longan ameshuhudia kushikwa kwa Martha akisagana na mwenzie huko DRC. Mama anamlalamikia bintiye. Joan naye ndiye huyo. Acheni kujiingiza kwenye vita na Mungu. Mkemeeni, mwonyeni, mwombeeni Martha arudi kundini.

    • @dianajohn8520
      @dianajohn8520 16 วันที่ผ่านมา +1

      Matengenezo ni muhimu,,

    • @dianajohn8520
      @dianajohn8520 16 วันที่ผ่านมา +1

      Usimwambie kunyamaza aombe msamaha kwa wazazi acha kumpotosha,,,msamaha Huwa unaangusha mtu sidhani .nenda kwenye familia Yao uwapatanishe furaha yangu ni kuona wanafurahi na kupatana .

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 10 วันที่ผ่านมา

      anataka msaada kwa boss matha ndomaana

  • @judyagano
    @judyagano 26 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubariki mtumishi WA mungu na akuzidishie

  • @SuzanShayo
    @SuzanShayo 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde baba

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 26 วันที่ผ่านมา +7

    Nashangaa kuona mchungaji anatafuta kiki kwa Martha, mtu ambaye hutaki kumuambia mtu ukweli na kusifia ujinga huyo ndo shetani wa maisha yako. Nawewe mchg wa mchongo nimegundua Kuna kitu unatafuta kwa Martha. Hyo syo hekima hata kidogo. Mwambie Martha ukweli acha kumpoteza zaidi. Hufai hata kuwa baba Bora wa familia. Naona empty set kabisa kichwani.

    • @nurumwinuka9724
      @nurumwinuka9724 26 วันที่ผ่านมา +3

      Shetani wewe unae pelekwa na upepo, maana unaplekwa na upepo unao vuma kw nguvu unafwata kama lig'ombe

    • @1997Godsbest
      @1997Godsbest 26 วันที่ผ่านมา +3

      usihukumu usije ukahukumiwa. usiseme kamwe kuwa unajua ukweli ikiwa hujui ukweli halisi. Kama mimi, sitawahi kumhukumu mtu yeyote, ukweli utatoka siku moja.

    • @1997Godsbest
      @1997Godsbest 26 วันที่ผ่านมา +2

      have you ever asked yourself why martha is quite

    • @brigethsauzand3926
      @brigethsauzand3926 25 วันที่ผ่านมา +3

      Ila mwandishi nimekupenda sana Mungu akubariki Kuna maswali umemjoki sana

  • @AsiaSiraji-ud9ju
    @AsiaSiraji-ud9ju 26 วันที่ผ่านมา +3

    Ukute na ww ni walewale wasowajali wazazi😢😢

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 10 วันที่ผ่านมา

      sanaa hata huduma kwa mama hapeleki huyu wala salamu kwa mama noo maana wako ndugu zake wanatosha

  • @kashindijohn5145
    @kashindijohn5145 25 วันที่ผ่านมา +1

    Sio kwamba ni Matha, Baali ni roho ya sheteni iliyo mtembelea na kumshika Matha, sio kwamba akae kimya, shetani alike mvaa dada Matha😂 lazima ashambuliwe kwa upendo na maombi ya kweli.WEWE KAMA NI PASTOR ACHA KUPOTEZA WATU.

  • @augustinaturnedinwithmyfam7270
    @augustinaturnedinwithmyfam7270 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana mchungaji kwa ukweli uliosema

  • @EzrahMassawe-ug5uo
    @EzrahMassawe-ug5uo 26 วันที่ผ่านมา +2

    Amen mtumishi nakuunga mkono Martha akae kimia mtumishi uko sahihi sana

  • @gracekasereka3177
    @gracekasereka3177 26 วันที่ผ่านมา +5

    Kweli kabisa Mungu akubariki sana mutumishi

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 26 วันที่ผ่านมา +1

    WEWESIO MTUMISHI WA MUNGU
    WEWE NA JOAN NIKOMOJA SHETANI SIRIZAKE ZIKITOKA ANA KASIRIKA USHUHUDA WA B T ULITOA SIRINZITO KWA JOAN

  • @FloraNyendikuu
    @FloraNyendikuu 23 วันที่ผ่านมา +1

    Na kama wazazi walishasema hasikii, acha maneno bhana una point

  • @WilliamLubongo-eu6fi
    @WilliamLubongo-eu6fi 26 วันที่ผ่านมา +3

    Ubarikiwe Mtumishi

  • @brendahnyerere2190
    @brendahnyerere2190 26 วันที่ผ่านมา +3

    Wakoseya kusema Marth akaye kimia kwa sababu apo apo nyamaza ndio watu wanaongea sana pia watu wapenze wa nyimbo zaye wanapoteza emani kwake ww mtumeshi unampoteza Marth kwa kweli

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l 26 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani huyo mama wa wawatu hakuongea kwa ubaya juu alisema amemkanya mwanae ila hajafanikiwa sasa anaomba msaada kwa watumishi wamshauri mwanae ila watu walilibeba tofauti xana nahata huyo dada yake hakushuhudia kwa ubaya jamani 😢😢😢😢

  • @CyprianNyakundi-m8d
    @CyprianNyakundi-m8d 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi kama mkenya hili si jambo la kukanyagia ama kutetea Martha angejielezea yeye mwenyewe but naona ni kama ameshindwa cha kuongea maana yeye na huyo mtu wake mwenye anasema ni mtoto wake mambo yenye ufanya mitandaoni n ya aibu ah huyu Martha naye kwa kweli hasemeseki wala aambiliki anawezaje kusaidia watu wa nje huku familia yake ikihangaika ama ni masharti anafuata?

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 26 วันที่ผ่านมา +3

    Watu meshaongea,wameshaitana,Martha ame wa block,Sasa wakasemee wapi?wanapenda ndugu yao, Joan ndio tatizo

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 26 วันที่ผ่านมา +3

    Mama ana sema vikao vimekaliwa vingi bila suluhisho.... Huyu mama yuko sawa!

    • @saumusulaiman4742
      @saumusulaiman4742 26 วันที่ผ่านมา +3

      Ndio yuko xw mama coz wapo wengi 2meona familia zina vikao kila siku lkn havina suluhisho. So mama alisema hvy ili ht viongoz wa dini watumishi wa mungu waeze kukaa kuongea na matha ili matha ajirudi kwa mama .hakuna km mama . Na ck zote ht km mama kakosea bc unaambiwa mama hakosei... 😢😢😢 matha mng akufungue urudi kwa mama mama ni mama❤🎉

    • @samwa9496
      @samwa9496 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@saumusulaiman4742Kuna shida baina yao roho ya utengano na hiyo imeanzia kwenye ukoo wasimlaumu Martha wavunje hiyo roho atakuja wasimlaumu tuu

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 26 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe mama kataja vitu alivyonunuliwa na Martha saasa leta alivyotaja Beatrice wote ni waimbaji wote wana pesa za uimbaji. Beatrice Amlee mama yake inatosha.

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@isaacmwaseba9972
      mama anataka kumuona mwanawe siyo vitu jmn

  • @halimaally5349
    @halimaally5349 26 วันที่ผ่านมา +6

    We mchungaji ujielewi we mbona unamjali mama yako

  • @emmanuelnazareth3096
    @emmanuelnazareth3096 24 วันที่ผ่านมา +1

    Yani uko kwenye mawazo yangu 100%

  • @Baraka-l8v
    @Baraka-l8v 23 วันที่ผ่านมา +2

    una jipya

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 20 วันที่ผ่านมา +1

    🔥🔥💯💯💯

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l 26 วันที่ผ่านมา +1

    Inauma xana kwakweli mama anamwaga machozi ya uchungu xana 😢😢😢

  • @SophiaPatson
    @SophiaPatson 26 วันที่ผ่านมา +2

    Ushuhuda,nikuongoa matendo makuu aliyo kufanhia Mungu sio kuongelea familia yako,Walio mshauli Bitrici wamekosea sana!

  • @athumanmdimu
    @athumanmdimu 26 วันที่ผ่านมา +3

    Nyie semeni mama ana ongea sana nyie simezaa ngojeni yawakute ndo utajua hujui

  • @JoyceMtandu
    @JoyceMtandu 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wew mwanamke mwenzangu ebu acha kuendelea kumuweka mtt wako mitandaon , kama kweli wew ni mcha mungu ongea na mungu

  • @vincej9275
    @vincej9275 25 วันที่ผ่านมา +1

    Upuzi ! mama ni mama.

  • @JoyceMtandu
    @JoyceMtandu 26 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sahii mtumish

  • @DzameHamisi
    @DzameHamisi 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa kusema ukweli tangu nianze kusikiza hivi nimepata mtu ninaye mpenda hongera sana muchungaji haina haja umulaumu mwenzako na wewe umezaliwa

  • @controlroomtncl3601
    @controlroomtncl3601 26 วันที่ผ่านมา +1

    Unatakiwa ujue kitu kimoja Mtumishi vyombo vya habari ndio vinavyo mtafuta mama na si mama kuvitafuta vyombo vya habari. Beatrice hakuita vyombo vya habari ila ilitoa ushuhuda wakiwa kanisani ambako kulikua na hiyo sherehe.

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 26 วันที่ผ่านมา +2

    Hujaelewa vzr kwani mama hajasema ukweli? Lengo la yote hayo mi kutaka matha aache usagaji tu sio swala la matunzo ww jiulize wamesema wametafuta suluhu ikakosekana ww mch. Hujaelewa cha msingi ni usodoma usagaji pls usiongee kitu kama hukijui ushauri wako ni mwepesi Sana ila nimegundua makanjanja wainjili kumbe wapo daaah

  • @DenisKiwope
    @DenisKiwope 26 วันที่ผ่านมา

    Ptv for life❤❤❤❤❤❤

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 26 วันที่ผ่านมา +3

    Ww baba hujitambui sikiliza Kwa makini usiongee TU sijapenda kauli zako

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 10 วันที่ผ่านมา

      hata mimi sijapenda hamuogopi mungu huyu

  • @noahmwailope5935
    @noahmwailope5935 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mama ana matatizo midia hazimsaidii anachochea tatizo

  • @EzrahMassawe-ug5uo
    @EzrahMassawe-ug5uo 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi wa mungu kweli upo sahihi sana

  • @SabinaPascal
    @SabinaPascal 25 วันที่ผ่านมา +1

    Yes

  • @JosiaswemaMumberevagheni
    @JosiaswemaMumberevagheni 24 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana mtumishi wa mungu

  • @revocatusnkonoki5744
    @revocatusnkonoki5744 25 วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea kweli mchungaji

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 24 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi Tunakupata 5/5 Stockholm Sweden. Kila familiya inamugogoro. Lazima Martha ajifunze kunyamanza tu njo Dawa. Nailo litapita tu!Mungu amutiye nguvu. Aduyi wa mtu niwandani ya nyumba. Ata Yesu alisalitiwa na wafasi wake sio wambali 😂😂

  • @ErickMakozi
    @ErickMakozi 24 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa, nakuunga mkono.

  • @jardineshighadiE4
    @jardineshighadiE4 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli tusihukumu mtu 😢

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 26 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe nae hufai sikiliza mama alivyosema kuwa martha ameitwa na familiya mara nyingi yure binti joan anaingilia kati sasa kosa la betrice hapo ni nini chamuhi martha arudi tu kwamama yake

  • @AXELLAassia
    @AXELLAassia 26 วันที่ผ่านมา +4

    Mama martha muelewee nadhani beatrice asingeeanza kusema mama hangesema sasa vile ametowa ushuuhuda kweny camera ndipo watangazaji wamemufwata mama yawo kwake haja mtafuta mtangazaji whowote kikubwa muachiye hapo mwambiye martha aende kw mama yake waelewane mushahuli siyo kosa wamesema wame andaaa kikaoooo yule joan akaaribu kikawoo kingine mchungaji sema ukwel na weee usiteteye makosa mushahuri akamsogereye mama yake

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 26 วันที่ผ่านมา

      Johan aliharibu au jirani ndio aliharibu kwa kumpiga Johan na kundi la Martha wakakasirika bila kuleta vurugu wakaondoka. Wewe ungepigwa ungefurahi hata kama kuna kosa.

    • @aminafesaliaminafesali8105
      @aminafesaliaminafesali8105 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@isaacmwaseba9972 hivi ni dume au shogah huna ufahamu unakera unavovuruga comment wanazi comment waelewa Joan kapigwa baada ya kuinuka na kuanza kufoka kua hampendi mdogo wake Martha na anamchukia sana ndio akapigwa mwanaume wakuwa mjinga kias hiki hemu acha ukhanith wewe

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 26 วันที่ผ่านมา +3

    sanaaaaa Martha juuuuuu,na haaanguki Martha,mdogo wake huyu beatrice ana wivuuuuuu,kamchafua dada yake katoa nyimbo,beatrice ni nyoka mtema sumu

  • @josephkalambi7178
    @josephkalambi7178 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nikweliiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Bitirisi alipanga kumwangusha dada yake.

  • @BeathaChambo
    @BeathaChambo 9 วันที่ผ่านมา

    Martha atafute amani kwanza na mzazi ndg , Joan amuache aende amechangia ugomvi kwenye hii family

  • @alfredbyamungu8825
    @alfredbyamungu8825 26 วันที่ผ่านมา

    Mama anataka upendo kwa wanaye sio hela ndo maana Joan anasema wakristo Wana giza😂😂😂

  • @DotoFulgence
    @DotoFulgence 24 วันที่ผ่านมา

    Kuna mengi sana yanazungumzwa kuhusu martha kua msagaji na vitu vingine sasa martha asipotoka na kusema sisi watu wa imani ya kikristo tutaamini nini alafu mchungaji mbona kama unamtetea sana Martha

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 2 วันที่ผ่านมา

    MCHUNGAJI UNAJUA TUFUATE MUNGU ANAVYOTU.PONYA MUNGU HANA MAAMUZI KAMA WATU HUWA ANA SUBIRA KUBWA SANA TUANGALIE HAWA WATU WANGEKUWA MUNGU SODOMA NA GOMORA INGEKUWA SIKU MOJA

  • @lilyabel2320
    @lilyabel2320 26 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa Pastor ni roho ya wivu Tu inamsumbua huyo Beatrice. Martha anamsaidia mama yake Kwa sehemu ila wanataka awasaidie zaidi wkt Beatrice hamsaidii mama yake

  • @DivineArhusima
    @DivineArhusima 26 วันที่ผ่านมา

    Jambo wandugu. Ndio mume sema mama ni mubaya. Tn Martha ni mwema. Tena mume sema beautrice ni mubaya wengine ni mwema, tena mume sema John ni mbaya, asa n'a uliza manabii wa cungaji n'a wandu wanao coment . Manabii, wacungaji wanaongea n'a mungu saa zote ila sasa mulikuwa wapi wakati haya yote yali fikia kwa Martha, nafikilia nabii ana onya mbele huku ikuje ninyi mume onya nayamesha timia. jee? Mungu wenu alikuwa wapi wakati jaribu Lili amka. Hata mumupe sifa tena hapa hatuta mutuliza moyo maana mume coment mengi kwaku muwashia makala kichwani. Japokuwa vyakwenyu vile washinda wengi Katia yenu hawa wajali wake Zao , watoto Zao, n'a mama zenu ninyi pia mume wateza kuwaita wachawi mukiwa duniani ila mulipo kuwa tumboni walikuwa wamama . Ange kuwa ni nyinyi sauti zinge shushwa ila kwakuwa ni vya beautrice n'a Martha sauti zime pandishwa. Wacungaji kuliko muombe kwenye kusanyiko munasemasema mengi. Shida zafamilia zetu tumeshindwa ku tatuwa n'a mume kaza kimya. Mume zi piga ngoma za John, beautrice, Martha n'a mamayao . Ila fahamuni yakuwa kuna sehemu ngoma zenu pia zime pigwa, mwache familiya ya Martha mungu aitetee si wanadamu wenye makosa n'a zambi wasio amini w bwana mwokozi aliye wapa wokovu. AMEN

  • @RoseSologo
    @RoseSologo 8 วันที่ผ่านมา

    Niwivu wa family jamani family izi zinavikwazo sana ndungu awafurai ukiwa unasonga mbele wao furaha yao uludi nyuma ukijenga tu ata nyumba Kila mutu anatamani iwe yake ila chamwezio akiwezi ngeuka kua chako tumia jacho lako kwauwezo wa mungu utapata tu

  • @augustinaturnedinwithmyfam7270
    @augustinaturnedinwithmyfam7270 25 วันที่ผ่านมา

    Hapo umenena mchungaji alifanya vibaya Sana huyo mdogo wake Beatrice akatubu maana amepatia shetani nafasi

  • @YusthaMlowe
    @YusthaMlowe 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbuka mti wenye matunda mazuri huwa unachakaa kwa make.

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 2 วันที่ผ่านมา

    MAMA NA BABA NI MUNGU WA PILI LAKINI WANAWEZA KUWA MASHETANI

  • @DensonKaboneka
    @DensonKaboneka 22 วันที่ผ่านมา

    Wewe uyo mama amefwatwa na media sio yeye anawafata

  • @irenemapenzi7338
    @irenemapenzi7338 25 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtumishi naona hajamsikiza Beatrice vizuri,hata yeye Beatrice alikuwa hivyo,anamilia nduguyake arudi yeye usharudi Beatrice kwa mama,mbona watumishi mnakuwa kufisha kumsaidia huyu mama,mama vile cassian alivyo sema,martha arudi kwa mama,hata upendo mkono among jambo la busara,mbona watumishi wengine wanashangaza,kumbe mko nyuma ya sakata hili,mbona msikeemee dhambi

  • @dianamvuzwa-eh9ov
    @dianamvuzwa-eh9ov 22 วันที่ผ่านมา

    Paster haki umesema ukwel

  • @dianamvuzwa-eh9ov
    @dianamvuzwa-eh9ov 22 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli wote ni waimbaji kama sio wivu aliwo nawo bitric,nayeye ni muimbaji kwa nini hamutunzi yeye kwa ni yaba ya martha

  • @OscarFrancis-mx7iy
    @OscarFrancis-mx7iy 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu ulie ziumba mbingu na nchi mtete mtoto wako martha mmbwea wasimzuru na uendelee kumpa moyo wa kunyamaza ....huyu mbarikiwa na pascal wanasubiria uongee wakuchochee moto kaa ivoivo kimya dada yangu utashindaaaaa

  • @SalvatoryDesantos-q2k
    @SalvatoryDesantos-q2k 25 วันที่ผ่านมา

    Tusiangalie twende kumwangalia mchungaji magembe

  • @danielmwakapila2231
    @danielmwakapila2231 26 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji tunza kinywa chako,huyo mtoto Joani unanamsikia,jitathimini Mungu hadhiwakiwi,Mchungaji unaingia mtandaoni kutetea ujinga,wewe kundi moja na matha ,unatia aibu,Msikie Joani hafu tupe maoni yako kama kweli wewe ni Mt.

  • @jacksonidd785
    @jacksonidd785 25 วันที่ผ่านมา

    Nikitazama Kwa Makini Jambo Hili Naiona Nia Ovu Dhidi Ya Martha.Hata Namna Hoja Husika Ilivyoibuliwa Na Mazingira Ambayo Yanaendelea Kwenye Hizo Enteview Zao Namna Beatrice Anavyoongea Na Mama Nae Ukiwa Makini Kusikiliza Kuna Kitu Hakiko Sawa.Simtetei Martha Lakini Mazingira Ya Namna Ilivyoibuliwa Hoja Hii,Mahali Ilipoibuliwa,Aliyeiibua,Na Namna Mama Alivyopokea Kijiti Kutoka Kwa Beatrice Mmm Naona Kuna jambo nyuma ya pazia.Ushauri Wangu Kwa Martha,Mungu Huweza Kutumia Hata Njia Ngumu Kukurejesha Kwake Bila Kujari Itakugharimu Vipi ili mradi anakupenda atakurudi. Martha kama kuna eneo haliko sawa wakati huu atafute msaada wa Watumishi Wa Mungu Na atulie.Hata huyo binti yake amwambie nae atulie manaake kwa kuongea ongea kwake nae haaminiki na martha awe makini nae pia. Kama ni kweli kua wana mambo maovu na huyo binti martha atubu vinginevyo mlango huo shetani atautumia kumsambaratisha kabisa kwenye huduma yake na yeye mwenyewe.Martha ni shahidi wa nafsi yake asione aibu kama kuna shida atake msaada.

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 26 วันที่ผ่านมา

    NA KWANINI JOAN HATAKI WA CHRISTU NA AWONJO ALIMTOA MAVUMBINI NA ANAIMBA NAO NA ANAISHINAO NYUMBAMOJA?
    MTUMISHI JIFUNZE BIBLIA SHETANI ALISHA JULIKANA NI JOAN😮😮😮😮

  • @josephkalambi7178
    @josephkalambi7178 26 วันที่ผ่านมา

    Nikweli nikweli nikweli nikweli hata Mimi nimeshangaa kweli mtoto wako wakmzaa ndo uingie kwenye mitandao kna siri kubwa iko hapo mwenyezi mungu aktie moyo matha.