Chadema kimewaandikia barua za kuwavua nyadhifa za uongozi Zitto na wenzie.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimewaandikia barua za kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu Mh. Zitto Kabwe na wenzie sambamba na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kwa nini wasivuliwe uanachama kufuatia waraka wa siri walioundika na kukamatwa hivi karibuni.

ความคิดเห็น •