SEIF SIMBA:ATOA SIRI YA KAMBI"SIMBA KUONGOZA KUNDI ROBO FAINALI"|YANGA WASIJIDANGANYE MFUPA NI MGUMU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Kaka usichoke kutuhudumia tunakuelewa uko sawa
Pamoja
Huyo ndo seif simba buana! Bando langu linatumika kihalali🎉
Unamadin sana mwamba
Nafurahia sanakuishangilia simba maana tunawatu wanaojua mpira nafurahisana nikimuona sefu maana anajua mpira hongera sefu
👏👏👏👏👏👏
Pamoja sanaaa bro unachambua foot ball safi sanaa
Eti Mamelod alipiga shot on target 18 😅😅😅😅😅..
Huyu jamaa hajui football bali ni KOLO Mkuu..
We jamaa unajua
Kinzumbi ameamua kuondoka hajaachwa we kolo muongea bure weee mkoko mpaka leo yupo mazembe
Huwezi kuondoka timu ambayo unamkataba kama uliona unaongea sahihi jaribu Tena pili mukoko amecheza mechi ipi toka mwaka jana