Anachofanya mtale chasambi hawezi ila chasambi anacheza apotakiwa kucheza balua sa balua anampira Gani wa kumuweka bechi chasambi Mimi sielewe ata kukaba TU balua hawezi kumfikia chasambi uamzi wa kukimbia golini chasambi ni akili nyingi sana huyu dogo asipofunga ataasist
Kijana unamsimamo mzuri sana ipo siku utacheza sana mpaka kocha atashangaa sana
An infact naumia Sana chasambi kukosa namba he is the best
Hongera snaaa bloody pambaniaa namba mjuba
Chasambi nimchezaji mzuri sana , usijali kua nasubla utacheza sanatu
Pamoja na Mimi naumi kutokucheza Kwa chasambi
Chasambi ni bora kuliko mutale
MUNGU mbariki chasambi🙏🏾🙏🏾
Chasambi ni muzuri sana cjui kwann hachez
Dogo apewe nafasi ni hatari sana atakuja kuwa msaada Kwa club na Taifa letu
Mtale anazingua anapata nafasi lakini hawezi kuzitumia, Wala kiwango cha chasambi huwezi kukilinganisha namtale, chasambi nimchezaji muzuri sana,
Acheni kurumbanisha watu mtale anapambana pia
Mutale ni Saido tu@@chriskudilla5355
@@chriskudilla5355Yaani Mashabiki ni mapimbi kweli.. Wana wachochea wachezaji wakatishwe tamaa.
Badala ya kuwaamasisha waongeze Jitihada..
Chasambi ni bora sanaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kila jambo na wakati wake wakati ukifika Chasambi atacheza tu
Dogo unajua pambana kwenye kiwanja cha mazoezi mutale hakuwezi
Hata kibu hamfikii Chasambi ni suala la Muda tu inshaallah
Yeah,kuna siku nchi itatikiswa kwa pacha ya Chasambi na Mpanzu
Anachofanya mtale chasambi hawezi ila chasambi anacheza apotakiwa kucheza balua sa balua anampira Gani wa kumuweka bechi chasambi Mimi sielewe ata kukaba TU balua hawezi kumfikia chasambi uamzi wa kukimbia golini chasambi ni akili nyingi sana huyu dogo asipofunga ataasist
Kwa chasambi kocha ataondoka hatuwezi mvumilia kabisa aruke Luke akijua
Kabisaaa
Unajua mpira
Mutale anachomzidi Chasambi ni kudondoka dodoma tu.
🎉🎉🎉🎉😂😂😂@@abdalaseleman921
Chasambi ni mchezaji mdhurii kuliko mutale
Dogo pambana unakipaji kikubwa nasi tunakupenda sana usibweteke na sifa Wala usipoteze nidhamu yako ipo siku
Mnawatafuta tafuta wachezaji wa simba
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sisi wanasimba tunatak ucheze
Pambana unajua utacheza
Hivi we ni latifa kwa maana ya jina tu?, Au latifa kwa maana jina linaaksi dini yako?, Kama wewe ni muislaamu basi zinduka kumbuka dida hayupo
Dogo mpen nafas