@@emmanuelwatson1897 NI WIMBO UNAOCHEZWA SANA NA WANYAKYUSA MKOANI MBEYA, UNA MANENO YA KUMTUKUZA MUNGU NA KUMSIFU YESU KWA VILE ALIVYOSHINDA KIFO MSALABANI. MAANA WALE WANAWAKE WA KULE YERUSALEMU WALIPOMLILIA YESU AKAWAAMBIA JILILIENI WENYEWE NA WATOTO WENU. NA KWAMBA NIKITEMBEA, NINAPOOMBA AU NINAPOFURAHI NAFANYA YOTE KTK BWANA YESU. HOPE UMEPATA MWANGA KIDOGO
Hongera sana Dada yangu...Nimetazama mara mbii...Mungu Akubariki kwa kuachia albam yako. Nitakutafuta
Mmmweee ubarikiwe jamani mdogo wangu, una roho njemq sana.
Uko vizuri mama angu natamani siku moja tuje onana tuu naipenda sana hii nyimbo Mungu akubariki mno umetugusa
Amen amen Tina wangu ubarikiwe sanaaa
Wimbo huu nakumbuka mwakaleli
@@fridamwakamisa1812 Umeonaeee ndugu yangu💃💃😄😄
Christina matai Mungu akuinue kwa viwango vyake dada hongera sana sana sana
Amen amen mdogo wangu na mtumishi wa Mungu Lilia Msingi nasikia kutiwa moyo mama🙏🙏🙏
Kila nikiusikia huu wimbo namkumbuka bibi yangu Kanakijabelwa aliyefariki mwaka 2024. Kwetu Ipinda, Kyela.
Uuuwiiii Ipinda ndo kwetu mmweee😭😭🙏🙏 Pole Seth wangu
Hongera sana kiche wangu wimbo mzuri sana ❤
Jamani asante sana kiche wangu ❤❤🙏
Ubarikiwe sana dada kwa wimbo mzuri 🎉🎉
@@shyneafya Amen amen ndugu yangu🙏🙏🙏
Finally nimefurahi sana kuona kazi hii
Mwanangu ubarikiwe sana
Big up sana kipenzi kazi nzuri sana
Wimbo umeutendea haki barikiwa
Amina mamaangu ubarikiwe sana G wangu
Mungu akubariki sana kweli umekumbusha tujililie nafsi zetu ili nasi tushinde kama Bwana wetu Yesu Kristo.
Aaamen kaka yangu Mwangomo 🙏🙏
Kwakweli huu wimbo unanibariki hata kama sielewi😅😅😅..... hongera sana wifi yangu❤
Asante sana my wii ubarikiwe mtumishi
Mtumishi 🎉🎉🎉🎉
@@OfficialJumaJr 🙏🙏
Namkumbuka mama yangu Agripina Mwangende ❤❤ na Veronica Ngoye ❤❤
@@DanielMallya Mmweee🙏🙏
@@christinamatai2408mbn umefurahi 😅
Mtumishi nautafuta wimbo wako wa zamani kidogo kuhusu wanawake
@@lucyharrison4408 UPO HAPAHAPA MTUMISHI WA MUNGU..... ANDIKA NAINGIA UWANJANI AU UJUMBE KWA WANAWAKE by Christina Matai. Karibu sanasana🙏
All the best mama.God bless your talent so much touched
Amen amen amen people of almighty God
Jamani kazi Yako ni njema sana mtumishi wa MUNGU aonae silini azidi kikuinuwa Katika huduma yako
❤Haleluuuuja,Kwala atufigwege fijo kalumbu♥️💯👏
Mmmweee ndagha fiiiijoo ilumbu gwangu
Nakukumbuka sanaaaaaa naikumbuka original version 1997/8/9 hivi nilikuwa naipenda sanaaa ile but hata hii ni nzuri hongera christina wetu
Mmweee asante sanasana Mduma🙏🙏
Hallelujah mungu akupandishe juu kama tai mungu anamakusudi na wewe amina
Nilikuwa nautafuta sana huu wimbo wa kumtukuza Mungu kinyumbani kwa mtindo huo wa asili yetu,nimefuta kuuputa.
Dada Mungu akubarik kwa Wimbo mzuri
Aaamen amen Grace wangu
Woow ndaga kyara
Jamen huu wimbo unanikumbusha mbali sana
Umeonaeee.... Asante sana🙏🙏
Umeutendea haki huu wimbo hongera sana 🔥🔥
Asante sanasanaaa
Mungu akupandishe juu kama tai anamakusudi na wewe
Mmmweeee Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏
Sana maeneo ya katumba tukuyu jmnn
Aka lulu mwee👏👏👏
😁😁🙏🙏🙏
Wimbo wangu pendwa🥰🥰
Yeeees my daughter
ubarikiwe mpaka ushangae
Asante kwa wimbo huu
Asante sana ndugu yangu
Nice🎉❤❤
👏
@@ndeankansacaleb8850 🙏
Uko vzr sana dada mkubwa
Ndagha Bupe ❤ 💖 ❣
wimbo mzuri sana
Mungu ni mwema
Glory to God 🙏🙏🙏❤
Kyala akongelepo ne mbombo Jake jiwuke nkyeni ulikanunu fijo ulwimbo ulu lunyafu
Mmweee ndagha fiijooo🙏🙏
Nimeipenda sana
Asante Vumy
Nimepamiss home kyela 1
@@deejaymasai8210 Umeonaeee 🙏
@@christinamatai2408 🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana hii
Utukufu kwa Mungu
Jamani melody tamu, wimbo mtamu ila maana sijui😢
Ahaahaaaa Asante sana mwanangu
Maana ya huu wimbo
UJUMBE ULIOBEBWA HUMO NI Wanawake wa Jerusalem waliomlilia Yesu.....
Dada ivi wewe ni Mu TAG?
Maana yake tafadhali kwa anayejua
@@emmanuelwatson1897 NI WIMBO UNAOCHEZWA SANA NA WANYAKYUSA MKOANI MBEYA, UNA MANENO YA KUMTUKUZA MUNGU NA KUMSIFU YESU KWA VILE ALIVYOSHINDA KIFO MSALABANI. MAANA WALE WANAWAKE WA KULE YERUSALEMU WALIPOMLILIA YESU AKAWAAMBIA JILILIENI WENYEWE NA WATOTO WENU. NA KWAMBA NIKITEMBEA, NINAPOOMBA AU NINAPOFURAHI NAFANYA YOTE KTK BWANA YESU. HOPE UMEPATA MWANGA KIDOGO
Goood🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Be blessed Mummy❤️
Aaameeeen aameen
Ndaga fijo
Eeena nkamu gwangu
Mwene Jesu ajobile
Kabisa mtumishi wa Mungu... 😛😛Means 👉Yeye Yesu alisema au akasema
Ndaga
Eeena nkamu gwangu
Mama ❤
Amina
Njombe
🔥 🔥 🔥
Mbombo nunu
@@DeborahNtepa mmmweee ndagha fiijooo juubha gwangu 🙏 ubarikiwa mpakwa mafuta wa Bwana
Mwililile mwimwene
Kabisaa mpendwa
Ndagha
Kyala nnunu fiijo
Sebene la upako2023
Ubarikiweee
Gwimbile Nkikuru ndagha
Eeenaaa nkamu
maana yake kwa kiswahili.
Maana ni nyinginyingi, mtafute Mnyakyusa hapo akutafsirie.
WHICH language is this 😂😂😂
This language is from Mbeya Tanzania
Ndahga
Eeenaa