SHEIKH KISHKI AWAFUNDA ZAIDI YA WANANDOA WATARAJIWA 100.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 35

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah halaf Maharusi wetu Mashallah Mahodar na kalam na Daftar wwnyewe wanaandika Mashallah Allahumma barik 🤲Inshaallah ziwe ndoa za kher mkaish vizuur mskizane Allah awape kizaz chema chenye kher
    Mtuletee makishk wengi inshaallah Takbiiiiiiir🤲😍😘 Mungu akujazen kher Sheikh Kishk kwa hakik hii ni History haijawah kutokea Alhamdulillah Mna hikma kama Taasisi yenu Mashallah 😍🤲🤲🤲

  • @bussramatwar2146
    @bussramatwar2146 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah hata na ss maharus wa kitaifa twajifunza mashaallah mashehe wetu allah akufanyieni wepes

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri Sheikh wetu anajuwa kufunda na kufundika MashaAllah mimi mwenyewe hapa naskia kama Niko nafundwa 🙏🙏🙏🙏

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +4

    MASHA ALLAH 💚 ALLAH akufuraishe apa duniani na kesho kiyama pili mambo mazuri kwetu sisi waislamu . Amin amin YARABI amin 🤲.

  • @S.Mnguyu
    @S.Mnguyu ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa somo nzur la ndoa allah awalipe kher

  • @huseni9146
    @huseni9146 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Sana shekh Allah akufurahishe kama ulivo wafurahisha Allah akuzidishie

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allah awajalie ndoa njema na kheri kwenu inshaallah

  • @mwanashamohamed4881
    @mwanashamohamed4881 ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤ Tabaraqallah

  • @bussramatwar2146
    @bussramatwar2146 ปีที่แล้ว +2

    Kweli shehe ss tuna siku zetu hasira lazima kwaiyo walijue hilo wanandoa wa kimataifa inshaallah

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah ❤Allah awalipe

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura ปีที่แล้ว +1

    Na tumestafid .. Allah akubarik sheikh wetu 🤲

  • @huseni9146
    @huseni9146 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh shukran jazakalah khairi Allah awajalie ndoa zenye barka Inshallah

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 ปีที่แล้ว

    Shekh wangu kishik mimi sikubaliani na ww kwahapo mimi nilisilim mwaka 1995 nilikuja olew 2000 name wa kipemba sija wahi kubadirika tena naupenda uwislam na ninasoma mpaka leo nanimesha pata wtoto wa 4 vidume wa 2 na wake 2 namshukuru Allah licha ya misukosuko nilio pata ktk familia yangu ckuwahi rudi nyuma ❤

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 ปีที่แล้ว

      Mada amekusudia wale wanaosilimu kwa ajili ya ndoa au amesema waolewe lkni wadundishwe dini sheikh ako sahihi ni dhambi kumsilimisha mtu alafu usimfunze dini

  • @JaziraOmary
    @JaziraOmary ปีที่แล้ว

    Jazakallah khayr

  • @alush3138
    @alush3138 ปีที่แล้ว +1

    Mashallh allh akulipe khery zako dunian naakheraaa

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAH Akuhifadhi Sheikh Kishki, Akuzidishie Busara Na Hekima. Baaraka Allahu Fiikum Wa Jazzakumu Allahu Khairan. AMIIN 🤲

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️ Wanafundwa wafundike Insh'Allah ❤❤

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa Allah
    Wallah darsa zuri linafurahisha

  • @JaziraOmary
    @JaziraOmary ปีที่แล้ว

    Allahuma amin inshaallah

  • @MariamKhalfan619
    @MariamKhalfan619 ปีที่แล้ว +1

    Manshallah allha akubar na akueke inshallah 🤲 Amin

  • @FatnaAlly-hp7kw
    @FatnaAlly-hp7kw ปีที่แล้ว

    Allah tujaalie tuwe ni miongoni mwa wenye is a great way to get a great deal of experience and then I can do to get a good job

  • @fatumazuberi9842
    @fatumazuberi9842 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah

  • @KhadijaJuma-v9x
    @KhadijaJuma-v9x ปีที่แล้ว +2

    Maashaalaah

  • @FatnaAlly-hp7kw
    @FatnaAlly-hp7kw ปีที่แล้ว

    Allahu akbar

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allaah

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 ปีที่แล้ว +1

    alhamdulillah;

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @kiri5807
    @kiri5807 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume hawa Mh , akitamka tu talaka mawifi washafika wanakuja kukutoa kwa ngoma .

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hakuna mafundisho ya kukaa au kuheshim wazaz wa pande zote mbili

    • @Badrumchekwa
      @Badrumchekwa ปีที่แล้ว

      itakua aujaelewa wew

    • @kiri5807
      @kiri5807 ปีที่แล้ว

      Na mambo mengine ya makungwi .

  • @OMARIIDDI
    @OMARIIDDI ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah