My sincere condolences goes to the family and all Tanzania people. My Hero is gone!! The strong pillar of East Africa. A sun shine for the poor, hopeless and powerless. The down to earth and intelligent man who has lead Tanzania a mile stone of economic recovery., leading by example by reducing his salary in the first place and fighting corruption in most highest profile ever known in Africa. WHAT A LEGEND!!! We loved you , but God also loves good people. RIP MR PRESIDEMT MAGUFULI. MUNGU NA LAZE ROHO YAKO PAHALI PEMA PEPONI.
Hii maneno kwangu imekua ngumu kuelewa sijui ni lugha au akili zimekataa kushika kuskia Magufuli aitwa hayati kwa kweli nihuzuni kubwa sana enyewe baki kukubali tu japo ni huzuni kiongozi aliye penda amani naye mcha Mungu eeh Mungu sitalalamika ila naomba amsamehe makosa yake na kuipokea roho yake sawasawa na mapenzi yako japo uliwachagulia wa Tanzania kiongozi bora na ukaamua kumuondoa kipindi kifupi tu, yote ni mipango yako Jina lako litukuzwe
Asante sana mh kenyatta kwa kuwa nasi katika wakati huu mgumu sisi watanzania. Mungu akujalie wewe na watu wa kenya kwa ujumla.
Asante Kwa kutupa pole
Asante Kwa upendo wako
Asante Kwa kua nasi pamoja
Our heartfelt condolences to our Tanzanian brothers and sisters.
Can't believe he has gone...he was supporting tanzanians musicians.but RIP legend 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
My sincere condolences goes to the family and all Tanzania people. My Hero is gone!! The strong pillar of East Africa. A sun shine for the poor, hopeless and powerless. The down to earth and intelligent man who has lead Tanzania a mile stone of economic recovery., leading by example by reducing his salary in the first place and fighting corruption in most highest profile ever known in Africa. WHAT A LEGEND!!!
We loved you , but God also loves good people. RIP MR PRESIDEMT MAGUFULI. MUNGU NA LAZE ROHO YAKO PAHALI PEMA PEPONI.
May God grant you our president long life as for our Tanzanian brothers and sisters it will be well. Be strong. RIP John Pombe Magufuli.
Thanx Mr. President wewe ni rafiki wa kweli kwetu maneno yako yametoka moyoni kabisa, pole pia kwa kupoteza rafiki
Great president uhuru kenyatta my god gives you more life
*God
Thank you my President,for leading us moan yuor college,Poleni Ndugu watanzania
Asante sana Raisi!
Poleni Sana watanzania kwa kumpoteza kiongozi wenu mchapa kazi rais John Joseph pombe maghufuli 🤔🤔🤔🤔🤔
Poleni Poleni tena kwa kumupotesa kiongozi muhimu zaidi afrika mashariki
Poleni sana watanzania wakati huu mgumu rest in peace john magufuli
Tanzanians poleni sana
R.I.P may his pan African spirit continue to grow
may His soul RIP.
Sound 👎
Sorry our president
RIP
Rip to him
Hii maneno kwangu imekua ngumu kuelewa sijui ni lugha au akili zimekataa kushika kuskia Magufuli aitwa hayati kwa kweli nihuzuni kubwa sana enyewe baki kukubali tu japo ni huzuni kiongozi aliye penda amani naye mcha Mungu eeh Mungu sitalalamika ila naomba amsamehe makosa yake na kuipokea roho yake sawasawa na mapenzi yako japo uliwachagulia wa Tanzania kiongozi bora na ukaamua kumuondoa kipindi kifupi tu, yote ni mipango yako Jina lako litukuzwe
He was still young RIP POMBE
Basi wewe na hao ndugu zako wawili wsr and Rao endeleeni who is next