Baba kama baba kasema, Maneno na majibu ya hekima, Mw/Mungu akuongoze na akupe umri mrefu Mh:Dr Nchimbi Binafsi nimekuelewa sana na nitakuwa balozi wa kauli yako huku mtaani.
Hongera Kwa kukumbuka na kuwakumbusha Walio Waislamu kuhusu nyakati zao za Swala, na iwe ni tabia endelevu katika vikao vyetu kukumbushana nyakati za Swala Kwani kumuabudu Mola ni Ufumbuzi wa mengi ya matatizo yetu
Asante Sana Kaka Nchimbi. Mimi ni CCM mwenzio nachukia matendo ya kuuawa watu na kutekana tekana tusaidie kuingiza nchi na Chama Vizuri. Namuona kiongozi mkubwa na mzuri wa Nchi yetu ndani yako. Mungu akupe hekima na maisha marefu. Nachukia CCM mashetani.
Usilinganishe tz na USA Na usituambie genge ni jesh la police 😢 Na usitua mbie viongoz wakiwa wabovu awawezi kutorewa kwenye uongozi katiba imetengenezwa na watu na itavunjwa na watu CCM mwisho wenu mbaya sana 😢
Dr. Nchimbi KM - CCM, umenena vema sana kwa ustawi wa jamii ya wa-Tanzania na mustakabali wa Nchi yetu. Tunaomba wahusika wa utekelezaji wa mambo katika Serikali ya Chama Tawala ambapo KM ni mkuu wake wawajibike kufuata maelekezo haya.
Tatizo ni kwamba wanaotekwa na kuuwawa ni wale tu wanaoisema ovyo serikal au ccm mnawezaje kutushawishi kuwa haya yanayoendelea ni maagizo ya serikali iliyo chini ya ccm ?Ili kuwatia uwoga wasiokuwa tayari kuiegemea ccm na serikali yake ?
@@uvccmkilombero4679 Kabla hujazaliwa mimi nimmoja wapo wa Chama kilichopo madarakani ila nyinyi wajaji mnaharibu CCM tuliohasisi na Hayati Kambarage kwa uroho wa matumbo yenu.Mnawazia matumbo kuliko kuipenda Mama Tanzania, nyamaza mara moja wewe ni kinda huna ujualo
Cha kushangaza kama idad ni kubwa kiasi hivyo kwann hatusikii watekaji hawakamatwii mfano waliovamia clouds media na wanasema wazi wazi kwann hawakamatwi???
Tatizo ni kwamba polisi haijafanya kazi zake kitaalam yaani hakuna utaalam unaoweza kuwapata wahalifu. Hebu na waitwe hao wa kimataifa basi kama walivyoshauri wanachama. Serikali tunaomba ione hili kwa nia ya kuondoa mashaka yanayo ikabili nchi yetu
Dr huko sawa lakini wapo vijana went wa ccm wamesha tia naramko ya ovyo mitandaoni kuhusu utekaji na hamkuwachukulia hatua. Sikuizi hamuwafundishi siasa mna watu wa miemko tu. Sasa kama pia sio police basi police hao waneshindwa kuturinda wajiudhuru
Chi ikitingishika mnàknya na mwanzo mlikuwa wapi .?( kazi za usalama kulinda wananchi) Sio kudhibiti mandamano yasio haribu au kuvunja haki za wengine,( kazi za polisi ni kulinda amani ya TZ na wananchi wake
MBONA MWA CCM TENA KADA WA CHAMA HICHO AMESEMA TENA KWA KUTAMBA,AME ALIA GWANA LA CCM ANASEMA NDIYE YEYE ALIYE ONGOZA KIKUNDI CHA CHINJACHINJA CCM TUWAELEWEJE ?
Swali mhm kwa viongozi wenye shamana kiuongozi......KWA MATUKIO YANAYOENDELEA NA WASIOJULIKANA....JE NI SAHIHI KUSEMA TANZANIA KUNA MAGAIDI WANAOYAYENDA HAYA YA UTEKAJI?....LET US BE SERIOUS KIUTENDAJI PLSE...
Wana CCM wangekuwa kama wewe balozi nchimbi kaka yangu siasa ya nchi hii ingekuwa sawa. Uvccm ni mdudu mbaya hayo ndo makundi tunawaona huku chini wanchi
Kaka yangu nchimbi dhibiti uvccm imekushinda Ina mana Iko juu kuliko polisi??? Waache mara Moja kauli zao za hovyo. Hakuna aliye na dhamana na nchi hii sote niyakwetu. Pia futeni uchawa. Yani mtu anasoma anakuja kufanya kazi ya uchawa na mnamlipa Kwa Kodi zetu fuateni katiba ya mwaka 1977 hakuna chawa anayelipwa
Hakuna ndugu ni majibu ya kisiasa huku watu tunaishi kwa mashaka. Inasikitisha sana hakuna la maana ila anakwepa maswali kijanja. Tuombe Mungu asaidie nchi hii ndio iliyobaki ila hatupo salama hata kidogo.
Uvccm msiwabembeleze hizo ni mbegu mnyoipanda maadili hayapo ivo kila kijana wa chama asimametu na kukashifinmara chinjachinja kule Arusha. Bukoba nako eti wapinzani wakipotezwa polisi wasiwatafute je uvccm nikubwa kuliko polisi????
Kinachotufanya tuamini kuwa watekaji ni serikari ya chama cha mapinduzi ni kuwa wanaopotea ni wale walio nje ya chama tawala tu ndio shaka letu lipo apo
Katibu mkuu na rais mnamuelekeo lakini muwe makini na baadhi ya wana ccm wengine hawana nia njema kauli za kifezuli wanatoa hadharani yaani kiongozi mkubwa anathema ukimusikia mtu anamtukana rais au mbunge pitanae shughulikanae ni vp kauli hizo
KM ........ mkuu wa kitengo alijiuzuru.aliwajibika Tanzania hakuna kuwajibika... Uchunguzi wa T Lissu hadi leo...... zero. Watanganyika wa leo siyo wa juzi......
Acha kujisafisha amna lolote yaani kwa akuna wakati ambao nimekosa imani na selikali kama wakati uu yaani sina imani na ccm na viongozi wote akuna ninae muona ni mkweli ata kidg yaani ata mfanye nn kwa sasa apana amfai kuiongoza nch
Hamna hata swali moja nchimbi amelijibu kiusahihi, mi nadhani angenyoosha ruler ya majibu kwa kila swali na sio kujibu kisiasa kwa kulinda mtu kabisa Katika haki hairuhusiwi kabisa kuangalia upande, sharti jibu linyooke vile itakiwavyo
Hongera saana .katibu Wetu mkuu Emanuel Nchimbi tunakuamini .tuvushe uchaguzi ujao 2025
Kudos kwa Muheshimiwa Katibu Mkuu CCM Taifa ndugu Emmanuel Nchimbi ✊🏾
Mh, Nchimbi Mungu akupe maisha marefu hekima yako ni tunu ya taifa.
Baba kama baba kasema, Maneno na majibu ya hekima, Mw/Mungu akuongoze na akupe umri mrefu Mh:Dr Nchimbi Binafsi nimekuelewa sana na nitakuwa balozi wa kauli yako huku mtaani.
Mhe.Nchimbi tunakupongeza kwa elimu/ ufafanuzi wenye hekima na busara nyingi, God bless you forever
Kwa maelezo yako na sote tukiwa na dhamira ya dhati tutaliponya Taifa letu.Asante sana na ongera kwa tamko nzuri.
Hongera Kwa kukumbuka na kuwakumbusha Walio Waislamu kuhusu nyakati zao za Swala, na iwe ni tabia endelevu katika vikao vyetu kukumbushana nyakati za Swala Kwani kumuabudu Mola ni Ufumbuzi wa mengi ya matatizo yetu
Nakupongeza sana mheshimiwa Nchimbi kwa hekima zako kubwa unafaa kuigwa na kila kiongozi
Asante Sana Kaka Nchimbi. Mimi ni CCM mwenzio nachukia matendo ya kuuawa watu na kutekana tekana tusaidie kuingiza nchi na Chama Vizuri. Namuona kiongozi mkubwa na mzuri wa Nchi yetu ndani yako. Mungu akupe hekima na maisha marefu. Nachukia CCM mashetani.
Bd nyumbu
Upo sawa mzee
Nchimbi unajibu vizuri, big up
Dr.Nchimbi you are a different politician,keep it up!and may God bless you
Usilinganishe tz na USA
Na usituambie genge ni jesh la police 😢
Na usitua mbie viongoz wakiwa wabovu awawezi kutorewa kwenye uongozi katiba imetengenezwa na watu na itavunjwa na watu
CCM mwisho wenu mbaya sana 😢
Hata haupo seriousl
Tunashukuru Natunakuomba unayoyazungumza yatoke moyoni kwako
Ni kiongozi mzuri sana Nchimbi, anafaa kuwa Rais wa nchi.
Kila mtu mnasema anafaa kuwa Rais, yaani kwa siasa hizi tu anafaa kuwa Rais, kweli? 😂😂
@@UpeoMinistryofMedia Me naona anaongea porojo tu hatoi suluhu
KATIBU MKUU UNATOSHA, HOTUBAYAKO NI KAMA DAWA
HUWASHI MOTO UNA IMA MOTO
Tuombe scoltland yard waje kusaidia kuchunguza. Iweje mtuhumiwa ajichunguze na kuaminiwa. Huo sio upuuzi.
Dr. Nchimbi KM - CCM, umenena vema sana kwa ustawi wa jamii ya wa-Tanzania na mustakabali wa Nchi yetu. Tunaomba wahusika wa utekelezaji wa mambo katika Serikali ya Chama Tawala ambapo KM ni mkuu wake wawajibike kufuata maelekezo haya.
29:00 29:02 29:03
Ccm imepata Katibu Mkuu hasaa"Akili mingi mnoo
Tatizo ni kwamba wanaotekwa na kuuwawa ni wale tu wanaoisema ovyo serikal au ccm mnawezaje kutushawishi kuwa haya yanayoendelea ni maagizo ya serikali iliyo chini ya ccm ?Ili kuwatia uwoga wasiokuwa tayari kuiegemea ccm na serikali yake ?
Hivi waliompiga risasi tundu lisu hadi leo police wanachunguza sio.😢
Exactly ccm wana nia mbaya Kuwaondoa wamasai kwenye ardhi yao
Wakamateni hao wakina msiba hao mmewawekawapi et wanahalakati swekanda mnawafichawpi watekaji tunaumiasana nchi ilianzakuea vizuri mnaanzakuwaludisha madalalani wauwaji waliofukuzwa namagufuli hao hawawezikubadilika niwauwaji tu inauma
Asante.
Nimebarikiwa sana hekima yako, Mungu akubariki sana.
Huyu ni kiongozi Bora sana nilikuwa cjui
Mtu asionekane kuwa mkosaji mpaka udhitisho umetolewa (dakika 15 dakika 16.
Hamna kitu hapaaa
Majibu mepesi kwenye vilio vya watu wengi na kuonyesha waziwazi haijawagusa popote.
Ulitaka aongee akiwa amevua nguo?
@@uvccmkilombero4679 Kabla hujazaliwa mimi nimmoja wapo wa Chama kilichopo madarakani ila nyinyi wajaji mnaharibu CCM tuliohasisi na Hayati Kambarage kwa uroho wa matumbo yenu.Mnawazia matumbo kuliko kuipenda Mama Tanzania, nyamaza mara moja wewe ni kinda huna ujualo
@@uvccmkilombero4679we Kuma nikijua unapoishi nakuja na petroli
Maswali yote ni bora.hongereni waandishi.
Balozi amezungumza na Taifa
maswali mazuri sana kutoka kwa dada wa crown media
Mbona hadi leo walio mpiga lisu risasi hawajakamatwa
Good Nchimbi
Wacha uwongo wewe mbona mbona wana ccm hawatekwii
Kiongozi unatakiwa uwekama hivi lazima uoneshe kama umeumizwa wanaokufa nibinadamu mwenzako
Unda tatizo tatua tatizooo ndo dunia ya sasa CCM oyeee
Katibu Mkuu tunakushukuru na kukupongeza
Cha kushangaza kama idad ni kubwa kiasi hivyo kwann hatusikii watekaji hawakamatwii mfano waliovamia clouds media na wanasema wazi wazi kwann hawakamatwi???
NAUNGA MKONO UPELELEZI UJE KUTOKA UINGEREZI SCOLTLAND YARD POLISI HAWEZI KUPELELEZA POLISI TUNAWATUHUMU INAKUWAJE WAWE WENYEWE WAPELELEZE ? NINI MNAOGOPA ?
Katibu mnachofanya ni kama tamthilia na wewe unaleta episode 2,mmekuwa kimya mpaka wenzenu wamekemea ndipo mnainuka na wakati dola ni yenu.?
Ujue uzuri wa mwanasiasa ata umuulize swali gani alitakosa majibu😅
Kweli polisi ni watu muhimu sana ukitaka kujua umuhimu wao wape likizo siku moja uone mziki, japo hao wachache wanaweza kufanya makosa.
Kama haya magenge yameendeshwa kwa muda ni wakati Sasa wa kuikataa katu CCM hilo ndio genge lenyewe!!
Sema huyu jamaa yupo vzur ktk kujibu maswali
Tatizo ni kwamba polisi haijafanya kazi zake kitaalam yaani hakuna utaalam unaoweza kuwapata wahalifu. Hebu na waitwe hao wa kimataifa basi kama walivyoshauri wanachama. Serikali tunaomba ione hili kwa nia ya kuondoa mashaka yanayo ikabili nchi yetu
Je ukiwa na kiongozi anavunja katiba tufanyeje? Ameshindwa kuirinda then whatcwe should do our comrade
Mueshimiwa watanzania siowajinga tunajua kilakitu naomba mujilekebishe acheni kulazimisha laia fanyeni mema laia watawakubari
Dr huko sawa lakini wapo vijana went wa ccm wamesha tia naramko ya ovyo mitandaoni kuhusu utekaji na hamkuwachukulia hatua. Sikuizi hamuwafundishi siasa mna watu wa miemko tu. Sasa kama pia sio police basi police hao waneshindwa kuturinda wajiudhuru
Chi ikitingishika mnàknya na mwanzo mlikuwa wapi .?( kazi za usalama kulinda wananchi) Sio kudhibiti mandamano yasio haribu au kuvunja haki za wengine,( kazi za polisi ni kulinda amani ya TZ na wananchi wake
Acha manenotaka
MBONA MWA CCM TENA KADA WA CHAMA HICHO AMESEMA TENA KWA KUTAMBA,AME ALIA GWANA LA CCM ANASEMA NDIYE YEYE ALIYE ONGOZA KIKUNDI CHA CHINJACHINJA CCM TUWAELEWEJE ?
Swali mhm kwa viongozi wenye shamana kiuongozi......KWA MATUKIO YANAYOENDELEA NA WASIOJULIKANA....JE NI SAHIHI KUSEMA TANZANIA KUNA MAGAIDI WANAOYAYENDA HAYA YA UTEKAJI?....LET US BE SERIOUS KIUTENDAJI PLSE...
Je wale waliosema tukiwapoteza,Polisi wasiwatafute na mm nilikuwa ktk kikosi cha chinja chinja pale Arusha vp walikuwa chama gani?
Makada wenu wa chama wanatoa kauli tata za utekaji
Wana CCM wangekuwa kama wewe balozi nchimbi kaka yangu siasa ya nchi hii ingekuwa sawa. Uvccm ni mdudu mbaya hayo ndo makundi tunawaona huku chini wanchi
Kaka yangu nchimbi dhibiti uvccm imekushinda Ina mana Iko juu kuliko polisi??? Waache mara Moja kauli zao za hovyo. Hakuna aliye na dhamana na nchi hii sote niyakwetu. Pia futeni uchawa. Yani mtu anasoma anakuja kufanya kazi ya uchawa na mnamlipa Kwa Kodi zetu fuateni katiba ya mwaka 1977 hakuna chawa anayelipwa
Nokweli katiba ya ccm siombaya ninzurisana ccm yamwalim ingefwatwa ingeeshimiwa taifa lingeendelea tusingekua masikini shida yiyi mumeunda kajeshi kenu kausalama wataifa kanauwa watu polis mumewapoka mamlakayao
Hakuna chochote hapo huo wote ni uongo ninyi munajua kwa maslahi yenu na munaenda nyisho sasahivi.
Watanzania sasa sio wajinga...!!!!
yaani sioni kama kuna suluhu hapo, anaongea kwa kejeli sana.
Hakuna ndugu ni majibu ya kisiasa huku watu tunaishi kwa mashaka. Inasikitisha sana hakuna la maana ila anakwepa maswali kijanja. Tuombe Mungu asaidie nchi hii ndio iliyobaki ila hatupo salama hata kidogo.
Mjinga sana wewe, nchimbi yupo sahihi sana.
Huu naamini ujinga wa lisu kwanini hamumwajibishi lisu kwa lugha zake za ajabu ajabu.
Una akili kubwa Dr Nchimbi unafaa kupokea kijiti cha Samia 2030
Uvccm msiwabembeleze hizo ni mbegu mnyoipanda maadili hayapo ivo kila kijana wa chama asimametu na kukashifinmara chinjachinja kule Arusha. Bukoba nako eti wapinzani wakipotezwa polisi wasiwatafute je uvccm nikubwa kuliko polisi????
Tatizo mkabiliane na watekaji wanaoua watu, hayo mambo ya siasa muweke pembeni.
Pumbafu watu wanatamka kabisi tukiwapoteza polisiwasiingilie mmetowamacho tu wakamateni hao
Kumbe ndio ameshajibu hvyo.....!😂😂😢😵
Kwa hiyo aliyempiga risasi tundu lissu uchunguzi bado?kwa mujibu wa jibu la nchimbi kuhusu muda wa uchunguzi?
Uchunguzi wa tukio la lisu una miaka mingapi sasa ? Na ili tusubiri kwa muda gani ?
Sheria ya usalama wa taifa ya mwaka jana ndo mchawi, irekebishwe haraka itamaliza watu
Swali lamsingi ni nani wanafanya uchunguzi halijajibiwa mkuu,
Sijakuxkiliza. mpka. mwisho. lkn. wew. nakuelewa. xna. mkuu. sio. wale. viongoz. wezio. wenye. kauli za. ajabu
Kinachotufanya tuamini kuwa watekaji ni serikari ya chama cha mapinduzi ni kuwa wanaopotea ni wale walio nje ya chama tawala tu ndio shaka letu lipo apo
Jeshi la polis kuaminika sasa sio kwa maneno inahitajika vitendo tuone reforms ktk jeshi la police
Tunataka viongozi kama ww chimbi sio kama fala yule ayeitwa msiba
Wakichukua likizo tutapunguza vitendo vya kutekwa kwa wakati huo
Harris Amy Rodriguez George Anderson Anthony
Mmewachukulia hatua gani?
Lugelo sanga wewe ni mpuuzi unda tatizo yaani wameunda tatizo
Katibu mkuu na rais mnamuelekeo lakini muwe makini na baadhi ya wana ccm wengine hawana nia njema kauli za kifezuli wanatoa hadharani yaani kiongozi mkubwa anathema ukimusikia mtu anamtukana rais au mbunge pitanae shughulikanae ni vp kauli hizo
mbona mnateka chandema 2 cio ccm???.
KM ........ mkuu wa kitengo alijiuzuru.aliwajibika Tanzania hakuna kuwajibika...
Uchunguzi wa T Lissu hadi leo...... zero. Watanganyika wa leo siyo wa juzi......
Maswali mazito, majibu ya kisiasa..
Makada weno WA CCM Wana jinasibu Kila siku wao ndio wanaoteka watu mbona hauja Sema chochote mzee
Acha kujisafisha amna lolote yaani kwa akuna wakati ambao nimekosa imani na selikali kama wakati uu yaani sina imani na ccm na viongozi wote akuna ninae muona ni mkweli ata kidg yaani ata mfanye nn kwa sasa apana amfai kuiongoza nch
Tena afazali asimame mtu mwingine wa kungombea ulais apo itakua afazali kidg maana uyu ambae yupo apana afai kua kiongozi wetu
Kaboresha ngorongoro
😂😂😂
Hamna hata swali moja nchimbi amelijibu kiusahihi, mi nadhani angenyoosha ruler ya majibu kwa kila swali na sio kujibu kisiasa kwa kulinda mtu kabisa
Katika haki hairuhusiwi kabisa kuangalia upande, sharti jibu linyooke vile itakiwavyo