ARCHBISHOP. FJ.KATUNZI WA CHRISTOS ASSEMBLIES OF GOD (CAG) KUJENGA MAKANISA 12,500 VIJIJINI NA MJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025
  • Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
    ⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/mara...
    ⚫️ VISIT LIVE IBADA: www.youtube.co....
    ⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
    ⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
    *** OUR PLAYLISTS***
    ⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: www.youtube.co....
    ⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: www.youtube.co....
    ⚫️ MAFUNDISHO: www.youtube.co....
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: www.youtube.co....
    ⚫️ UCHUMI: www.youtube.co....
    ⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: www.youtube.co....
    ⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: www.youtube.co....
    ⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: www.youtube.co... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/mara...
    ⚫️ VISIT LIVE IBADA: www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 35

  • @JeremiaOdera
    @JeremiaOdera หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubariki❤

  • @winfridalazaro296
    @winfridalazaro296 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu uliye juu mbinguni,nakuomba Kwa jina la Yesu,mbariki huyu mtumishi wako pamoja na familia yake,bariki uzao wa viuno vyake ,amen.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 4 หลายเดือนก่อน

    Kitambo sana Bishop tangu enzi zile za Tanzania Itubu nakukumbuka sana.
    Hakuna wa kuzuia baraka zangu by power by force

  • @sweetbartmpanju6052
    @sweetbartmpanju6052 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sura ya Kristo ndani yako,imeonekana ,aliposema nitalivunja Ekaru hili nakulijenga kwasku tatu hawakuamini,Bwana ametenda , kichwa Yesu, mikono Bshop Katunzi,ubalikiwe sana na Hapybathday

  • @adelinapesha6556
    @adelinapesha6556 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Sana ASKOFU MKUU kwa hatua kubwa ambayo Mungu wa mbinguni amekufikisha. Nimejifunza Kitu kikubwa Sana kwako.

  • @christfamilychurch-cfctanz4270
    @christfamilychurch-cfctanz4270 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ninamtukuza sana Mungu kwa ajili yako Arch Bishop Rev. Florian Katunzi, Hakika hata sasa yeye ni Ebeneza, Umepewa unyenyekevu mkubwa sana!!!!
    Msalimie sana afande( Mama Askofu) najua ana mchango mkubwa sana katika hatua hii!!!
    Mungu awatunze hakika!!!!

  • @MlangwadavidDavidjohn
    @MlangwadavidDavidjohn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba MUNGU wa mbinguni akawe pamoja na wewe ninakufuatilia sana BABA yangu ninaitwa David kutoka Arusha

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anisamehe kama niliwahi kukufikilia vibaya hakika nia ya utumishi na uaminifu vinazihilika katika matendo Yesu Kristo akutie nguvu zaidi.

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oooooooh yes. Asante Yesu kwa ajili ya neno. Sitakataa taama.

  • @sinaimissions7554
    @sinaimissions7554 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeraaaaa Bishop. Nimnependa hatua zako

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 4 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki Sana mtumishi wa MUNGU nakupenda

  • @eliasimoni4851
    @eliasimoni4851 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeupenda huu wimbo❤❤ upo you tube "hakika tunae Bwana wa vita" barikiwa sana baba askofu katunzi

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana zaidi ya fikira za kibinadamu

  • @JustineMollel-s9g
    @JustineMollel-s9g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu na akubariki mtumishi wa mungu

  • @afonsozacariasaide175
    @afonsozacariasaide175 4 หลายเดือนก่อน

    Rev, eu sou pastor sénior da igreja Missão cristã fraternidade de Moçambique, gosto muito do seu sonho no ministério de Cristo
    Deus abençoe

  • @johansenf.mrengimrengi7050
    @johansenf.mrengimrengi7050 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah, Utukufu Kwa Mungu juu ktk Jina la Yesu!!

  • @leonardkajuna1213
    @leonardkajuna1213 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @johnboscokiringo2398
    @johnboscokiringo2398 4 หลายเดือนก่อน

    Big up Archbishop!

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @AmonSimfukwe-t7r
    @AmonSimfukwe-t7r 4 หลายเดือนก่อน +1

    kwakweli nimepata nguvu kubwa sana kuendelea na utumishi

  • @EstermsuyaMsuya
    @EstermsuyaMsuya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @EdwinMtokambali
    @EdwinMtokambali 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika una maono makubwa na mahubiri yako yapo mulemule kwenye injili ya kweli.

  • @elishaanyosisye4078
    @elishaanyosisye4078 4 หลายเดือนก่อน +1

    UKUU HATA UKUU

  • @VictorjeremiaJeremia
    @VictorjeremiaJeremia 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa je wakubari wakatae Yesu wa kweli tutamtaja haijarishi tuko wapi

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 4 หลายเดือนก่อน

    Kanisa sio jengo lenye jina fulani huo ni MPANGO WA SHETANI KUFARAKANISHA WATU WA MUNGU, kanisa ni mtu aliyekamilika katika cheo na kimo cha ukamilifu wa kristo, Mungu hakai kwenye hayo majengo, Matendo ya mitume 17:24-27. Acheni kudanganya watu hayo ni majina ya makufuru, ufunuo wa Yohana 17:3.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 4 หลายเดือนก่อน +1

      kwa hiyo kama kanisa sio jengo tusijenge makanisa. Tutasalia wapi sasa au wewe mwenzetu hausalii kwenye jengo? Wapi tuambie tujue.

    • @MjumbeAgano
      @MjumbeAgano 4 หลายเดือนก่อน

      @@moseshaule586 Imeandikwa ndio yenu na iwe ndio na hapana yenu na iwe hapana, Je? Umeagizwa na nani maana yazidiyo ndio yatoka kwa mwovu, kanisa la Yesu ni lipi alijenga wapi na linaitwaje,
      Au mitume wa Yesu walijenga kanisa lipi na linaitwaje? Matendo ya mitume 17:24-26, Sasa kama Mungu hakai humo anayekaa humo ni SHETANI na majini na roho za uchafu.

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 4 หลายเดือนก่อน +1

    MAKANISA MENGI YA KIPENTEKOSTE YANA SHIDA YA UONGOZI WA JUU,KUNA ROHO YA KUWAPINGA WATU WANAPOKUWA MAARUFU KIINJILI SIJUI KAMA NAO HUJIINUA? LAKINI MWISHOWE HUAMUA KUKIMBIA MFANO KULOLA MOSES N.K.

  • @mbuerecarlos1396
    @mbuerecarlos1396 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nauliza hilo kanisa liko wapi ndani ya Tanzania Liko sehemu gani.Sababu makanisa mengi yanajengwa Miji mikuu. Wanasahau kwenye mikoa yao .Ni mmoja nimemuona Askofu Robert Yule wa Karagwe ndiye pekee Ali jengo kwao Kanisa kubwa sana wengi wanataka kila Kona kwenda kule.

    • @JescaDeus-jw5ky
      @JescaDeus-jw5ky 24 วันที่ผ่านมา

      Liko Mbagala, Kijichi miande

  • @bartonlesilwa2153
    @bartonlesilwa2153 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @JACKSONKAMUZORA
    @JACKSONKAMUZORA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen