Watu wengi hawafahamu Iran haiongozwi na mtu bali na mfumo na msifikirie rais ana nguvu kias hiiicho la na la pil nani aliyekwambia mrithi wa supreme leader lazima atoke kwenye urais kwanza? Msichanganye mambo
Hongera Rais Mpya wa Iran. Fanya vyote ila Usiguse kitu kinaitwa Israel kaa nao mbali la sivyo utamfata ibrahim rais jehanam mda si mrefu. Jizime data kama waharabu wengine 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
Hatimaye wamekamilisha regime change in Iran from a hardliner to a diplomat wamemtoa kiongozi mwenye msimamo wamehakikisha anakuja kiongozi diplomat anaueamini kwenye mazungumzo tutaonja yatakayofuata
Viva iran from tanzania
Tuko pamoja na Iran mpaka hatua ya mwixh 🇹🇿🇮🇷
Umetisha Ally Masubi. Kudos kwako
Pamoja abel
More blessings rais
Hongera, endeleza kazi ya ibrahim rais.
Kilalakheri masud
Hafai mpolesana
Hapa iran wamepoteza
Wazungu hawana nia safi na nchi nyengine zozote bila ya kuwa na maslahi yao mbele
Iran bye byee 😢😢😢😢Allah awaongoze
Kwan Iran imetoweka kwa ramani ya dunia ?! Eti bye bye...
Yeye hana mamlaka hayo mwenye mamlaka hayo ni khomenei huyu hana mamlaka yoyote ya kupanga kitu ndani ya serikali ya khomenei
Jaman kwan vijana hawataki siasa?! Mbona wazee ndo wameanza ongoza kua marais inchi nyingi...
Tuone atafata hatua kama ile ya kombora five hundred
Zao la wazee wa maghrib
Hapana
Uyo dactari kweli sio Tanzania kupeana vyeo pasipo Elimu .
Kwisha iran
Kwisha na nini...
Mnawaza bifu na wakati wa irani wanaitaji amani
Soon utasikiya haki za kina gasho kuruhusiwa
🤣🤣🤣eti gasho...
@@hopechidera
Ao wa Ngese 😂😂😂
Watu wengi hawafahamu Iran haiongozwi na mtu bali na mfumo na msifikirie rais ana nguvu kias hiiicho la na la pil nani aliyekwambia mrithi wa supreme leader lazima atoke kwenye urais kwanza? Msichanganye mambo
Snitch kwaiyo😅au zao la wazee wa magharibiii
Ukimwangalia kama Myahudi😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Yoyote atakae kaa mfumo wao ni ule ule tu
Mbona kafanana na Bush
Hongera Rais Mpya wa Iran. Fanya vyote ila Usiguse kitu kinaitwa Israel kaa nao mbali la sivyo utamfata ibrahim rais jehanam mda si mrefu. Jizime data kama waharabu wengine 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
Akili huna nyoko wewe
@@aishabrondi236 🐷🐷🐷🐷🐷
😂😂😂😂😂 ety akili huna
Hatimaye wamekamilisha regime change in Iran from a hardliner to a diplomat wamemtoa kiongozi mwenye msimamo wamehakikisha anakuja kiongozi diplomat anaueamini kwenye mazungumzo tutaonja yatakayofuata
Hakuna kitakacho badilika, mwenye maamuzi Iran ni Ali khomeini
Sma anajamba tu tunataka alete uongo wake maana gaidi kafa tumweka mtu anaejua ubinadamu
wewe kafili ume umekuja nahuku kuharibu yuhoma kume kushinda nini
Mmmmh wameisha ilan tayar huyo kawekwa na wazungu huyo
Unaijua iran wewe
Wamemchagua wananchi maana yake wairan wako against na sera za NCHI yao
Wamemchagua wananchi maana yake wairan wako against na sera za NCHI yao
Jipe moyo Sera ni zile zile