Beka tangu huwe yamoto band kule ndio nilianza kukupendea maanake kisauti bwana ni ka ulimuonga mungu maanake una sauti nzuri pili unapobandisha sauti weeeee staki kubonga mengi mie wengi wanione mshamba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
#BekaFlavor big up sana naona mmea mua sasa huu ndio uwanaume sio kukata tamaa tukomae maisha huyapati bila Kuya tafuta #Aslay the same✅🚀🚀🚀🚀🚀🚀🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wow 💕💖🌹💐 I love this thanks to the transillumination am able to get the information fast Diamond in you am seeing watching from DRC🇨🇩 but am a Zammbian 🇿🇲🇿🇲
Mziki umelala kwako mzee unajua sana kideo kimekaa mwake mwake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 song
Hii hit song watoto walele baba enu beka karudi kwenye nafasi yake🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nikikohoa naulizwa are you okay,, let's gather and support this my Dogg🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yeeeah
th-cam.com/video/HOGmsxQOavY/w-d-xo.html
Beka m nakubariii tokakitambooo
tuko wengi sana huku kwa Beka flavour,, 254 representing
@@MyChannel-s2t❤
Yupi bora kwa uandishi wa nyimbo kama sio,Mwanangu Beka,Huku U.S.A yaani 🇰🇪🇰🇪tunakupenda sana.
Ni fire maze🔥🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇳🇬🇿🇲
Hii ni 🌟 ya muziki tagia kitambo,,🔥💥💥💥👊👊
Tamu sana ,,nimeitii❤
Beka napenda vimbo sako tu saaaan maze.. wwe ni 💯🔥🔥🔥🔥 watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This song should be 1m views&above.Fellow fans from +254,gonga like kuonesha upendo kwa Beka.
Beka tangu huwe yamoto band kule ndio nilianza kukupendea maanake kisauti bwana ni ka ulimuonga mungu maanake una sauti nzuri pili unapobandisha sauti weeeee staki kubonga mengi mie wengi wanione mshamba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uyu ndio beka flavor ninaye mjua awoooootee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Nice
Kwa mara ya kwanza nmeona celeb akitambua mashabiki kwa comment,nakukubali sana toka 254
#BekaFlavor big up sana naona mmea mua sasa huu ndio uwanaume sio kukata tamaa tukomae maisha huyapati bila Kuya tafuta #Aslay the same✅🚀🚀🚀🚀🚀🚀🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This song is amazing, I play it 5 times a day, it makes me believe in true love.....Congrats Mr Beka flavor
Bomuu Bro ❤️🔥
My broo one tutafanya kazii nawewe ishhallah🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Napenda sana kazi zake huyu kijana, #one love from 254
Hatari sana kaka Umeua🙋 ,
kama unamkubali beka flavor gonga like za kutosha hapo.
👍👍👍👍👍
@@MyChannel-s2twewe kiboko tembea na mungu sasa kuliko mahokoto
Nice 👍 son mwabantu I love 💕 it it's a hit
Hujawah kosea bro big up 🙏🙏🙏🙏💯💯💯
Kimoja baba , Ila kwangu sijapata wa kiniuliza are you okay
Pole sana
Black culture on the beat ft Vocal ya Beka flevour ft Laizer on the mix. This is 🔥🔥🔥🔥🔥. Likes kutoka Kenya
One the best Yamoto boy , love the songs of this guy🎉🎉.
Hii kalamu ilioandika huu wimbo iko n thamani kubwa Sanaa kwa uandishi Bora💯💯🇰🇪🇰🇪✨
My favorite sound huwa nasikiliza every day from 🇧🇮🇧🇮
This guy is underrated.
This song should hit a million views.
Kila wakati wewe ndiye mentor wangu kaka 🔥🔥🔥🔥♥️♥️🙏
*Awesome music. I feel okay after listening to this. Kwa kweli niko fine🙌👏🔥.*
Kuna Mzee alisema uyu kijana ety Hana talanta...tunamheshimu uyo Mzee but alikosea sanaa😊😊😊much love from 254
Beka umenikubalisha kwa hii ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥
Bravo mon frère 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ni hatari sana 🔥🔥🔥🔥
This hot Bana walai 🔥🔥🔥
The best and classic song and video....I strongly support you mdogo wangu Becka
th-cam.com/video/HOGmsxQOavY/w-d-xo.html
Huyu kijana ni mwandishi hodari na mwimbaji mzuri Sana 💯💯
Your the best across bongo Flava. Hits all time 🎯🎯🎯🎯🎯🎯🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤wuueeeh venye umeanza tu pekee umeniridhisha my guy always napenda kazi yako😊
One beka wimbo mpyaaaa naipenda saana Listening from Zambia 🎉😊
Kumbe anaitwa Beka. Nimemtafuta tangu yamoto waachane. My favourite
Nice a song my brother, i'am a Mozambican, bus i like very nice your work my brother Beka i like you very good
💕❤💕❤💕❤💕❤💕❤
Bado nakupenda bro ngoma zako nafuatilia love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 to Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏💯💯
th-cam.com/video/HOGmsxQOavY/w-d-xo.html
Bravoo my (G) 🎉🎉🎉🎉 keep de gud wrk 🎉🎉🎉 up
This video should be more than 1m views. Beka uko na talanta
My musician of all the time 💥💥🙏
The Best musician in Tanzania!!
Mkali wao 🔥
Aisee hii nyimbo Kali sana umeimba sana bro,jitahidi sana uwe unaimba na kucheza,chamno hapa jifunze kucheza,kuimba unaweza sana,Mimi ni hayo
Great job bro #Beka flavor jitihada zko zinafanya nakukubali zaidi kuliko apo awali showing love from Kenya 👏👏🙋😎🙏🙏🙏
Nikikohoa tu naulizwa ,,,,AM I OKAY??😊😊❤❤
Wow my G one love from Mombasa, Kenya 🇰🇪
This is the real beka whom, we all missed for almost 5 years for good
Beka mwanangu nakukubali Sana mwanangu nyimbo zako zinanipa madem Sana maana ninazo zote kwaiy nikizipiga tu uhakika br big ap sana
Beka umeweza..tena umeua bro🎉🎉🎉🎉
On🔥🔥🔥 hope one day you do a colabo with the fellow yamoto band brothers. Who is with me for this gonga like?
Wow 💕💖🌹💐 I love this thanks to the transillumination am able to get the information fast Diamond in you am seeing watching from DRC🇨🇩 but am a Zammbian 🇿🇲🇿🇲
Beka nakupenda sana ninge kuwa na uwezo ningekuja kukuona huko
Gig up Mr Beka
This is type of songs which love
From zambia
The melody 👊🏻👊🏻👏👏👏hpo sasa
Wimbo mzuri Jamani upo na kila ladha ya kusema ni tamu 😘😘😘 hongera beka
Kazi nzuri haipingwi
Pete tena 😢 anway congratulations bekaa
Naulizwa are you okay chorus tamu💥💥💥💥💥🌹🌹🌹
Mziki imekwenda shule dah bro uko juu,
Mm diomtu wa kwanza naombeni mauwayangu
💐💐💐
Tupo pamoja Kaka
Nice one .... Nikikohoa naulizwa are you okay 👍👍
Hiiit maker always ❤❤❤
Namibia is producing wonderful music they match Mzansi pound for pound in my list of besties. Welldone guys.
❤❤
Shout out Kenya ❤️🇰🇪..... The best breed 😂
Kazinzuli kaka na banamba yako wp
I tell you,i don't know how many times i play this song in a day. It's actually my favourite song.much love for you Beka flavor .from Zambia
Lizer amefanya ile kitu kama kawa....beats hatariii!!!alafu Beka akaongeza flavour utamu ukakolea
Sauti nayo jmn very nice
Masterpiece flava boy
Nikijikwaa naulizwa are you okay ❤❤aise penzi raha big up bro Beka I'm from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kichupa kikali saana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hujawai boronga 🔥
Kwel unanicekesha kiukwel nyimbo nzuli sana okay❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
One Love my Tanzanian brothers.Enjoying you guys from LIMBE Cameroon
Bekah kibenty waaah napenda haka kamtu my favourite ❤❤❤❤❤❤❤
Ambao mnakubali Beka flover tujuane kwa like huyu Ndo msanii wangu wa Kila siku
My neighbor gonna choose between loving the song or relocating because it's definitely going to play in repeat
Another diamond in the making. God keep this gem to continue producing this great songs.
💞
aàààaà❤❤❤❤
My favorite from bongo much love from Kenya 💕❤️❤️💕💕💖
th-cam.com/video/HOGmsxQOavY/w-d-xo.html
Bekah Bekah Bekah Bekah Bekah nakukubali sana kaka kazi nzuri sana ww ni 💥💥💥💥
Good nice one song bro I'm from DRC 🇨🇩🇨🇩end sud afrique 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
My best bro 🔥
Thank u beka fleva. I fill proud u when I listen all your music
My favorite musician 🔥
th-cam.com/video/HOGmsxQOavY/w-d-xo.html
Beka flavour 🔥🔥🔥🔥 thanks for this song
th-cam.com/video/HOGmsxQOavY/w-d-xo.html
Kazi nzuri bro hujawahi kutuangusha 👏🏿
nice one blood bro
walai hii ngoma noma aisee.....yaani hapa Kenya mi nimeiweka tu replay mode dah!had I naambiwa a you okay?
He sing good just in 8hour 98k view keep up bro will love your music
Ikko sawa brother naipenda sana
Nzuri.hongera.🎉🎉🎉🎉
Beka hii ngoma ni kali bro.. let's continue with this music 🥰🥰
This song is so good wonder why it’s not hit millions ?
🎉❤❤❤❤much love 🔥🔥🔥🔥
The best hit beka keep going
Very nice from Burundi🇧🇮🇧🇮 in Cape Town 🇿🇦🇿🇦❤❤❤
Nice music bro.even bites zko sawa🎉🎉
Good song and voice papa