MUUZA MADAFU IKULU AIBUKIA KWENYE MASUMBWI/AFUNGUKA UKOMANDO WAKE/AMTAJA BONDIA MKUBWA KUZICHAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Barnaba Alexander maarufu kama Komamdo Muuza Madafu Ikulu ameingia rasmi kwenye Mchezo wa Masumbwi na anatarajia kuzichapa kwenye Pambano la Dar Boxing Derby 29 Juni Dar Es Salaam.
    Akizungumza Wakati akiendelea na mazoezi Komamdo Madafu amesema,hivi Sasa anaendelea na mazoezi ya kukata na shoka hivyo mpinzani wake ajiandae kumwaga meno Ulingoni.
    Pambano Kubwa la Dar Boxing Derby linatarajiwa kufanyika Juni 29,2024 Katika Viwanja vya Posta Kijitonyama ambapo Juma Choki kuzipiga na Nassib Ramadhani huku Haidary Mchanjo Kuoneshana Umwamba na Charles Tondo, Loren Japhet dhidi Ya Issa Peche, Kassim Hamadi kupepetuans na Gabriel Morris Bonny Sela .

ความคิดเห็น •