NATAKA NIMJUE YESU By Msanii Records Chorale

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Choral Hymns of all time. All Rights Reserved

ความคิดเห็น • 114

  • @nancyniomani6075
    @nancyniomani6075 ปีที่แล้ว +51

    Naomba mtu akipita hapa a like comment yangu ili nirudi miguuni pa Yesu napotea sana , nimerudi nyuma at least nikisikia nyimbo hizi nakumbuka bado kuna hope kwa ajili yangu

  • @YusuphfrankDaniel-y8j
    @YusuphfrankDaniel-y8j 2 หลายเดือนก่อน +1

    2024 nataka nimjue YESU zaid MBALIKIWE SANA NA MUNGU

  • @josephnyandusi6616
    @josephnyandusi6616 3 ปีที่แล้ว +3

    This were the real music. Not those productions of half-naked professing Christians. #Reform #Revive

  • @josephclemence4441
    @josephclemence4441 4 ปีที่แล้ว +11

    Huu wimbo unanipa Imani kubwa sana yakujua kwamba Yesu yupo na nimtetezi wa wanaomhaminio wote 🙏🙏🙏

  • @elizabethmwandu6089
    @elizabethmwandu6089 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina San

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 4 ปีที่แล้ว +6

    Ninapo huzunika rohoni mwangu na ninapokuwa na shida hakuna kitu chochote kinaniletea amani kama kusikiza nyimbo za mungu Asanteni sana muliyo Records hizi nyimbo

  • @faridaechemutai6302
    @faridaechemutai6302 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank u Jesus...Na Nyimbo za kuinua Roho.Ata kama wewe Una Umwa mwili wako Utabona in Jesus Name ..Have a blessing Sabato Amen

  • @justineongwacho3730
    @justineongwacho3730 11 หลายเดือนก่อน +1

    I want to see you Jesus 🙏

  • @BMSalomon-io2wi
    @BMSalomon-io2wi ปีที่แล้ว

    Njimbo ni tamu sans.tayarisho njema ya sabato.Mungu y'a sabato awabariki wote.

  • @johnmathai8674
    @johnmathai8674 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumjua Yesu vizuri ni hekima kamili na utajiri mkubwa zaidi!

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว +1

    AMINA KUMFAHAMU YESU KUNA RAHA SANA;.🙏barikiweni sana kwa wimbo mtamu huu mlio tubariki nao.bwana na awabariki pia.

  • @mercysero_arts
    @mercysero_arts 4 ปีที่แล้ว +7

    Oh hallelujah, kumjua Yesu Kuna baraka nyingi!

  • @deokessy6288
    @deokessy6288 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nimjue Yesu Kristo

  • @ruthnyakio2918
    @ruthnyakio2918 4 ปีที่แล้ว +13

    This is my favorite song. It blesses me. Listening at georgia.

  • @zacharyomete3888
    @zacharyomete3888 4 ปีที่แล้ว +2

    Zaidi tuzidi kumfahamu Kristo

  • @MtotowaAngusty
    @MtotowaAngusty 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie nikujuwe wewe uliye nifilia pale msalabani😭😭🙏🙏

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 3 ปีที่แล้ว +4

    R:I:p RAIS MPENDWA POMBE magufuli 💔💔💔🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔😭

  • @georgekimboka9821
    @georgekimboka9821 2 ปีที่แล้ว

    Wema na Utukufu ni wa Mwenyenzi Mungu Mtakatifu

  • @gracelewa868
    @gracelewa868 4 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu apewe sifa.

  • @maerimwaura9821
    @maerimwaura9821 4 ปีที่แล้ว +10

    2020, ...am flowing in love of Christ... Am launching into the deep.

  • @joycewangui9721
    @joycewangui9721 4 ปีที่แล้ว +6

    Love the song

  • @lettingkatiqwal8423
    @lettingkatiqwal8423 11 หลายเดือนก่อน

    My favourite song,it's touching my heart

  • @jums4206
    @jums4206 2 ปีที่แล้ว +4

    These songs pulls me closer to my God

  • @giselegiram
    @giselegiram 7 ปีที่แล้ว +7

    Wimbo mtamu mno, munaimba vizuri sana, mubariwe. Très belle chanson waouhh!!

    • @nouratana6463
      @nouratana6463 7 ปีที่แล้ว

      Gisèle Gi Dieu a son unique Prophète sur la terre pour sauver l'humanité en cette génération et c'est le Prophète Kacou Philippe.
      goo. gl/ WvqAz2

    • @kelvinnaikumi2915
      @kelvinnaikumi2915 7 ปีที่แล้ว +1

      Vipi, wanaimba tamu sana madam,wanatokea wapi.nipashe!

  • @bernadoadriano922
    @bernadoadriano922 6 หลายเดือนก่อน

    This is One of My Favorite song
    Mostly I sing it Before I pray

  • @mariouskibaara4057
    @mariouskibaara4057 4 ปีที่แล้ว +3

    Things song gives me overdose Faith, I feel that am much blessed...

  • @anzelynemulongo4446
    @anzelynemulongo4446 2 ปีที่แล้ว +1

    Happy sabbath

  • @floraritha1454
    @floraritha1454 4 ปีที่แล้ว

    Yesu nataka nikujue zaidi na zaidi Baba na nizidi kukufahamu.

  • @phineaskoome6865
    @phineaskoome6865 4 ปีที่แล้ว +11

    I always feel blessed when listening to these songs and feeling being forgiven, transformed and being uplifted in spirit by God.

  • @joannyaboke2067
    @joannyaboke2067 4 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana hii wimbo

  • @cathyrobert6501
    @cathyrobert6501 2 ปีที่แล้ว

    Nataka nimjue yesu zaidi,I need to get to know him deeply

  • @himidiwefidege3529
    @himidiwefidege3529 2 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri Kwa kazi ya uinjilisti

  • @waitajapheth6777
    @waitajapheth6777 14 วันที่ผ่านมา

    What a song ❤

  • @richardmakweba2292
    @richardmakweba2292 5 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nimjue yesu wimbo unaonisogeza karbu na kristo hakika bwana ni mwema ameweka na kupandikiza talanta kwa watu hawa yote kwa ajili ya kimtukuza yeye na kuitangaza habar ya marejeo ya mwokozi bwana awabarki sana kwa kujitoa kutumia talanta zenu

  • @gloriacynthia4699
    @gloriacynthia4699 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah

  • @edwinmulochi3558
    @edwinmulochi3558 ปีที่แล้ว

    Oh that l may know more of you Lord Jesus

  • @EzraKiprop
    @EzraKiprop ปีที่แล้ว

    I'm really blessed 🙏

  • @samuelnyasani9078
    @samuelnyasani9078 4 ปีที่แล้ว +9

    Like and love listening to these songs,get blessed

  • @zachariahonga
    @zachariahonga 5 ปีที่แล้ว +2

    Beautifu! Beautiful!...asanteni kwa kuchukua muda kuziandaa hizi nyimbo.

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว

    Amen nimfahamu Yesu zaidi

  • @Sintakey
    @Sintakey 4 ปีที่แล้ว +10

    Katika majira haya tumejaribika kwa #Coronavirus ila tunastahili kuomba kumjua Yesu na wokovu wake kamili

  • @FaithNyabate-rd6jp
    @FaithNyabate-rd6jp ปีที่แล้ว

    It touches the innerside of me brings me closer to the almighty

  • @mbolehsila4335
    @mbolehsila4335 5 ปีที่แล้ว +6

    This is great love it..... Watching in kenya November at Rumotech with friends Ruth and David... God bless you

  • @ronogeoffrey744
    @ronogeoffrey744 2 ปีที่แล้ว

    Amen more more about Jesus

  • @irunguwanjiru599
    @irunguwanjiru599 3 ปีที่แล้ว +3

    I want to know Him more , thy power is great.

  • @christinenyangaresi2822
    @christinenyangaresi2822 11 หลายเดือนก่อน

    I want to know more abouGod

  • @petersonkiptallam802
    @petersonkiptallam802 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen God help us to know you and strengthen us

  • @Murenziirene
    @Murenziirene 6 หลายเดือนก่อน

    Amena

  • @faridaechemutai6302
    @faridaechemutai6302 3 ปีที่แล้ว +3

    Thank u Jesus Christ for Ur love thank u our father in heaven ❣️ very sweet songs of praises our lord 🙏🙏🙏.....love u all

  • @variousgenresc-pop1493
    @variousgenresc-pop1493 7 ปีที่แล้ว +4

    Great channel!! I came back as promised. and I supported you #952. and Have a nice day.

  • @susanopiyo8142
    @susanopiyo8142 4 ปีที่แล้ว +3

    I want to know God n the power of His resurrection. So blessed

  • @uaeuae5613
    @uaeuae5613 2 ปีที่แล้ว

    God is great

  • @ainganaliyosisamuel4918
    @ainganaliyosisamuel4918 4 ปีที่แล้ว +4

    It's a great blessing to listen to this song

  • @babajeremie5536
    @babajeremie5536 6 ปีที่แล้ว +5

    Always listen this every mrning before i go to work

  • @bshky3701
    @bshky3701 2 ปีที่แล้ว

    One of favorite😍

  • @jaganemmanuel8316
    @jaganemmanuel8316 2 ปีที่แล้ว

    Wap hiyo

  • @charleskapalata664
    @charleskapalata664 5 ปีที่แล้ว +2

    Talanta zenu ziendelee vileleni sanaaaaa

  • @atukuzwedavid1697
    @atukuzwedavid1697 6 ปีที่แล้ว +2

    nice song,,,hakika Mungu n mwema kwetu

  • @godwillihaji4741
    @godwillihaji4741 3 ปีที่แล้ว +1

    What a powerful worship song!

  • @margretonsomu7645
    @margretonsomu7645 2 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @eunicejeruto8844
    @eunicejeruto8844 2 ปีที่แล้ว

    Powerful song uplifting me in low moments

  • @gmansworld7186
    @gmansworld7186 7 ปีที่แล้ว +2

    Nice song. Returning the favor so we are now connected.

  • @kelvinnaikumi2915
    @kelvinnaikumi2915 7 ปีที่แล้ว +2

    It's a touching song may God bless you.

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 ปีที่แล้ว +2

    Nataka nimjue yesu Amen

  • @jeanrenengbebou7989
    @jeanrenengbebou7989 4 ปีที่แล้ว +1

    9 Chukua historia na mtaona kwamba kutoka kwa kanisa Katoliki hadi kwa ubranhamisti, ni Ukristo wa kipagani. Niliwaambia kuwa mchungaji wangu wa kibranhamisti alikuwa amemleta nabii wa kike wa Kiinjili nyumbani kwake ili aweze kumuombea baba yake mgonjwa. Angalia huko Misiri, na mtaona kwamba kuhani wa miungu Osiris anaweza kumwita kuhani wa miungu wa kike Isis kama anahitaji uponyaji. Na katika kizazi hiki, mmewaona Wakatoliki kwenye makutano ya Tommy Osborn au Benny Hinn kwa uponyaji. Msidanganyike, Ukristo wa leo ule ule ushirikina wa Kirumi uliobadilisha jina na kuonekana. Ni muonekano ambao umebadilika lakini roho na kilindi imebaki vivyo hivyo. [Mhr: Kusanyiko linasema: “Amina! »]
    www.philippekacou.org

    • @PeterMasala-gh5np
      @PeterMasala-gh5np 2 หลายเดือนก่อน

      Maandishi yako hayahusiani na wimbo huu.

  • @vincyleyian
    @vincyleyian 4 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏🙏

  • @estherkamau6468
    @estherkamau6468 5 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mtamu sana🙏🙏🙏

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 5 ปีที่แล้ว +2

    zaidi zaidi nataka nimjue Yesu

  • @mutaibenard1131
    @mutaibenard1131 5 ปีที่แล้ว +1

    Amasing song , iwill cry.

  • @sarahmakwetamakweta9794
    @sarahmakwetamakweta9794 5 ปีที่แล้ว +2

    Haleluyaaaaa

  • @ndayakoff188
    @ndayakoff188 7 ปีที่แล้ว +2

    36. Ujumbe huu ni uarifu kwa wana wa Mungu ili watubu lakini wana wa Ibilisi watauona kama hukumu na ni kweli kwa kuwa ujumbe huu unakuja kwa hukumu yao. Yeyote basi atakaye mpa moyo jirani wake ili adumu katika makanisa haya yeye pia ataharibiwa kama mwovu, yeyote anaye hubiri teolojia ya kanisa wala siyo ufunuo ya unabii ya wakati wake yeye pia ataharibiwa sawasawa na Yule anaye uza dhahabu ya uwongo badala ya zahabu. [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
    Www.philippekacou.org

  • @Eipinternation
    @Eipinternation 7 ปีที่แล้ว +5

    Great... nice.. Done
    You have my support friend...
    Your support friend friend..

  • @neemamakundi6879
    @neemamakundi6879 5 ปีที่แล้ว +2

    Powerful

  • @chiriijep9133
    @chiriijep9133 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @reginankirote4648
    @reginankirote4648 5 ปีที่แล้ว

    Amen!

  • @margaretkaari2826
    @margaretkaari2826 5 ปีที่แล้ว

    So touching

    • @martinbarasa9079
      @martinbarasa9079 4 ปีที่แล้ว

      Nyimbo inayoleta matumaini makubwa zaidi haswa ktk nyakati hizi ngumu.

  • @kouameregina9021
    @kouameregina9021 7 ปีที่แล้ว +5

    Kacou Philippe ndiye nabii pekee wa kweli wa Mungu katika kizazi hiki. Wengine ni watumishi wa shetani. tembelea www. philippekacou.org

    • @ellenmakondo1205
      @ellenmakondo1205 5 ปีที่แล้ว

      You might be devil's. Saint also bcoz busy proclaiming people's name instead of Jesus Christ we are called to preach about God not ant people

    • @johnsunzula1660
      @johnsunzula1660 5 ปีที่แล้ว

      Wimbo mzuri Sana

    • @ruthnyakio2918
      @ruthnyakio2918 4 ปีที่แล้ว

      Acha, zako. unatafuta, umaarufu. sio, kwamba, haujui...UNAJUA....ya, kwamba, Y ESU Kristo, ndie, nji, kweli, na, uzima. OKOKA, WEWE.
      KATIKA, NJINA, LA, YESU, KRISTO.

    • @fridahkerubo6359
      @fridahkerubo6359 3 ปีที่แล้ว

      Mungu nope kujua saidi

  • @nouratana6463
    @nouratana6463 7 ปีที่แล้ว +7

    Leo, wewe ni Wakristo, sio kwa sababu unatembea kulingana na Biblia lakini kwa sababu unatembea kulingana na nabii Kacou Philippe!
    goo. gl/ s1X3WY

    • @jeanbertrandphilippe586
      @jeanbertrandphilippe586 7 ปีที่แล้ว

      NOURA TANA 9. Wakati adhabu inakuja juu ya inchi, ni hasa dhidi ya makanisa ndipo hiyo adhabu ina anguka kama vile zamani juu ya miungu ya Misri. Mnaona ? Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu Kristo, siwakate tamaa lakini ni kwa bure munaomba. Mungu amejifanyia watumishi kwa kutimiza hukumu kama vile alivyo fanya mtumishi wake Nebukadreza dhidi ya Israeli katika siku za kale. Je ! Sio Mungu anayeamuru yote yanayotokea duniani ? [Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "].
      WWW.PHILIPPEKACOU.ORG

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 5 ปีที่แล้ว +1

      @@jeanbertrandphilippe586
      YESU NDIO NJIA KWELI NA UZIMA......WAITE WATU WAENDE KWA YESU SIO KWA NABII UNAEMTAJA....

    • @8pistons194
      @8pistons194 5 ปีที่แล้ว

      Hili pepo la karne ya 22 limetoka wapi tena jamani

  • @winnierosenanjala3616
    @winnierosenanjala3616 3 ปีที่แล้ว +2

    Things song gives me overdose Faith, I feel that am much blessed...

  • @graceouma1160
    @graceouma1160 2 ปีที่แล้ว +1

    Love the song

  • @noeloyigo4070
    @noeloyigo4070 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @gabriellacostar5841
    @gabriellacostar5841 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @yamuragiyeodetha4775
    @yamuragiyeodetha4775 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @kevintindi5568
    @kevintindi5568 ปีที่แล้ว

    Amen