#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025
- Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) 2025, yanayofanyika moja kwa moja kutoka Ubungo Plaza, Dar es Salaam!
Katika mkutano huu muhimu, kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa ngazi mbalimbali wa BAWACHA, huku tukishuhudia wanawake kutoka sehemu mbalimbali za nchi wakijadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na mustakabali wa siasa za wanawake ndani ya CHADEMA.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved.