MOTHER TERESA na MAISHA ya SIRI nyuma ya PAZIA |Mtakatifu au Muovu?

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 395

  • @tituswekesa4375
    @tituswekesa4375 2 ปีที่แล้ว +26

    Akuzaliwa 2010..umekosea I think it was 1910

    • @johnnyrhymesvevo5998
      @johnnyrhymesvevo5998 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 unachomaaaa..!!

    • @joshuam.3139
      @joshuam.3139 3 หลายเดือนก่อน

      hapo maana hata mm nimecanganyikiwa

  • @BONGOFASTA
    @BONGOFASTA  2 ปีที่แล้ว +76

    ⚠️MAREKEBISHO⚠️
    Tunaomba radhi kwa kukosea kutamka mwaka wa kuzaliwa wa Mother Teresa, alizaliwa mwaka 1910.
    Bongo Fasta tunafanya kazi kwa weledi sana,hivyo kila tunachokiongelea kuhusu mtu yeyote,kimefanyiwa utafiti makini,tunatanguliza samahani kama utakwazika kwa namna moja au nyingine.

    • @emmanuelsamwel741
      @emmanuelsamwel741 2 ปีที่แล้ว +3

      Hujakosea sema kwel maana watu hudhani wazungu ndio wasafi ..... Na kila mtakatifu lazima atoke kwao tu ...
      Mtakatifu Mungu pekee anamjua

    • @mussalulenga9939
      @mussalulenga9939 2 ปีที่แล้ว +1

      Mmesamehewa

    • @edesiuskaihyura3485
      @edesiuskaihyura3485 2 ปีที่แล้ว

      Bro napenda vipindi vyako ila hapa umekosea sana and trust me it bounce back...so disappointed

    • @collinminja167
      @collinminja167 2 ปีที่แล้ว +1

      oky broo but big up👍👍

    • @hikupskikons8914
      @hikupskikons8914 2 ปีที่แล้ว +4

      Kama umekosa story wachana na mambo ya uongo ya watu.Mother Teresa ni mtakatifu

  • @Godwisdom2
    @Godwisdom2 2 ปีที่แล้ว +16

    Kuhusu utakatifu, anajua yeye na Mungu, ila Alifanya kazi nzuri na akijua kusimamia wito wake. Santé Jastin, kwa taarifa nzuri, wengine wameona Umekosea ila mm nimejifunza a lot.

  • @allymtz4348
    @allymtz4348 2 ปีที่แล้ว +36

    Amezaliwa 26/08/1910 . Naamini ndivyo alivyokusudia lkn ulimi hauna mfupa

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 ปีที่แล้ว +19

    Mwenye kujua utakatifu wa mtu au uovu wake ni Mungu pekee, mwenye kutoa hukumu ni Mungu pekee, tunachojua alifanya mengi mazuri, hizo tuhuma mtuletee na evidence

    • @ibrahimbrazos2515
      @ibrahimbrazos2515 2 ปีที่แล้ว

      Japo katenda mema,Ni heri Ila binadamu hakosi mapungufu. Mtu wa kuiga Ni Maria mamaake yesu, wengine wanao lao Jambo sio bure

    • @levinaringoma
      @levinaringoma ปีที่แล้ว

      You have said it all, he should show us the evidence,and after all is he perfect himself

  • @kennedydavids6201
    @kennedydavids6201 2 ปีที่แล้ว +5

    Umesahau mambo ya muhimu sana alishaanguka na ndege akanusurika jambo ambalo si kawaida pia aliwahi kutembelea Tanzania mission ya Hombolo Dodoma

    • @anithachugu2717
      @anithachugu2717 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa na alifaliki akiwa Dodoma DCT nunge hombolo kwa ajali ya ndege na kabuli lake lipo adi leo apo walizika vipande vya mwili wake tu kama ukumbusho

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 2 ปีที่แล้ว +5

    Taarifa za watu waliojitoa maisha kumtumikia Mungu ungeziacha haswa Mother Theresa usijipatie laana

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 2 ปีที่แล้ว +1

      uelewi tu hakuna watu wabaya kama hawa wanaojifanya watakatifu kwa unyenyekevu wa kimwili lkn moyoni hakuna kitu kwani wenzie na hawa c ndio walipata kesi ya ulawiti wa watoyo hakuna utakatifu wa bikira mafia zaidi ya kuokoka na kumpa Yesi maisha halisia c kwa kuigiza

  • @fintaniferx9535
    @fintaniferx9535 2 ปีที่แล้ว +13

    Nampenda sana uyu mama ni lafiki wa yesu wangu

  • @luifdls6217
    @luifdls6217 2 ปีที่แล้ว +7

    hayo mapungufu ni km ya binadamu wengine..ni Mungu tu aliye mkamilifu pekee sisi wengine ni wakosefu tu..ni kama wewe ulivyosema mother Teresa kazaliwa 2010 kumbe ni kosaa. Nobody is perfect

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 2 ปีที่แล้ว +5

    Taarifa za watu waliojitoa maisha kumtumikia Mungu ungeziacha haswa Mother Theresa usijipatie laana ,mikosi ya bule na hawezi kujitetea manake hayupo Duniani .

    • @AlesiusAndrea1991
      @AlesiusAndrea1991 2 ปีที่แล้ว

      Eti kazaliwa 2010

    • @candidadilemile5882
      @candidadilemile5882 2 ปีที่แล้ว

      Habari zipo nyingi yanini kufukuwa makaburi ya watumishi waliojitoa maisha yao yote ,kesha sema alitokewa na Yesu mbona asiogope kumsimanga.ahsante kuniunga mkono tukemeo vitu vingine siyo kilakitu tukubali nisawa na kumsaidia kubeba dhambi,laana.

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 2 ปีที่แล้ว

      @@AlesiusAndrea1991 Na kisha akafa 1997

  • @maxrichard2085
    @maxrichard2085 2 ปีที่แล้ว +2

    No body is holy under the 🌞 and above the 🌞 only GOD is HOLY.
    .

  • @rizaram123yes7
    @rizaram123yes7 2 ปีที่แล้ว +6

    Aki binadamu ana Asante,ata ujuwi story yaka vizuri,aliishi pia kenya langatt,alisadia masikini wengi sana,usisaau yy akukuwa malaika pia anamapunguvu yake

    • @reginaaminga18
      @reginaaminga18 2 ปีที่แล้ว

      Exactly

    • @fitraissa4661
      @fitraissa4661 ปีที่แล้ว

      Ila jua Kama kata mapunguv yake na sifa zake ..sisi wanadamu tu haturiziki tukielimushwa

  • @heriethmichael6138
    @heriethmichael6138 2 ปีที่แล้ว +4

    Hehehehehe jmn alizaliwa 2010 makubwa haya tena

  • @fortunatedominic7845
    @fortunatedominic7845 2 ปีที่แล้ว +3

    Kijana,Acheni kuchafua kanisa kwa taarifa zisizo sahihi

  • @beirut6222
    @beirut6222 2 ปีที่แล้ว +2

    Hata huelewi unachosema baba yake alikuwa anamiliki kampuni kubwa sana ya ujenzi na aliwacha utajiri wao wote akaenda kuishi na masikini nchini india .

  • @derickmdoe5487
    @derickmdoe5487 2 ปีที่แล้ว +2

    Aloskia 2010 agonge like

  • @charlesnyaluke7202
    @charlesnyaluke7202 2 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂huyu jamaaah vipi mbona anatuchanganya katuambia kazaliwa 2010 tena anaanza kurudi miaka ya 1949 Mimi si subscribe cz runapigwa mchana 😂😂😂😂

    • @abelmbilinyi1262
      @abelmbilinyi1262 5 หลายเดือนก่อน

      runapigwa ndio nn ? Kukosea Ni kawaida bro 😂😂

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 2 ปีที่แล้ว +4

    Yesu mwenyewe alikataa kuitwa mtakatifu...!....Sembuse yeye..!...Warumi Sio ..!

  • @josephogola4713
    @josephogola4713 2 ปีที่แล้ว +10

    It's unfortunate how human beings twist the best in a person till it becomes the worst for publication....being a saint does not mean perfection....it means trial beyond human levels.......next time dig deeper to establish the challenges she underwent in her life journey to qualify to her sainthood

  • @damymzuri5203
    @damymzuri5203 2 ปีที่แล้ว +1

    We acha upinzani au hutaki awe mtakatifu

  • @satwanthoogan6746
    @satwanthoogan6746 2 ปีที่แล้ว +6

    Enzi za ujana wake, alikuwa mzuri.. ❤😍masikini! 😢🙏

    • @luciamwampegete2646
      @luciamwampegete2646 2 ปีที่แล้ว +1

      Hz n nyakati za mwisho kwa hyo wapinga Kristo n wengi kikubwa n kumuomb Mungu tyu

    • @dayone2862
      @dayone2862 2 ปีที่แล้ว

      Unampenda sana😄❤

  • @ibrahimkadigi8927
    @ibrahimkadigi8927 2 ปีที่แล้ว +1

    26 august 2010. jamaa ww fundi.

  • @frankmahoo930
    @frankmahoo930 2 ปีที่แล้ว +1

    We msenge kumamako...kamwangalie profesor jamal akupe darasa kdgo..unaandika ufala2

  • @ianmasiba1155
    @ianmasiba1155 2 ปีที่แล้ว +2

    Weee imekuaje Tena alizaliwa 2010 hapo uaminifu yangu imeanza kupotea kwako endelea na iyo uongo ngine bac

    • @fitraissa4661
      @fitraissa4661 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Kuna mkamilifu au asokosea mnona mpo hivi

  • @telesiasaga5621
    @telesiasaga5621 2 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia nyerere anataka kua mtakatifu huko😂😂 Yani nishida miujuza inatokea tuu hata ukiamua kuabudu paka sawa!!

  • @safaripililo4354
    @safaripililo4354 2 ปีที่แล้ว +3

    Kivipi atafika mwaka 1948,
    Na yeye kazaliwa mwaka wa 2010?’ Unatuchanganya ndugu.

  • @gladystinah5928
    @gladystinah5928 2 ปีที่แล้ว +1

    Ambia serikali ya kwenu ikupee kazi

  • @ussnamanuel116
    @ussnamanuel116 2 ปีที่แล้ว +4

    Kukosea ni kawaida

  • @umpump8472
    @umpump8472 2 ปีที่แล้ว +1

    Alidhulumu nafsi yake kuishi bila kuolewa apate watoto

  • @cleartzboy4074
    @cleartzboy4074 2 ปีที่แล้ว

    Nzur

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 2 ปีที่แล้ว +4

    Tabasamu lake tu linaelezea ukweli juu ya tabia yake. Na si ile aliyo jivika kwa miaka kadhaa.

  • @timanighosto888
    @timanighosto888 ปีที่แล้ว

    Sasa unaeshangaa jamaa kusema 2010 ni ukosefu wa akili kwani kwa uelewa wako huo mkubwa huwezi kujiongeza kwamba mwamba kateleza tu.🙌

  • @hades3431
    @hades3431 ปีที่แล้ว +1

    Mother theresa pray for us💝

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mtangazaji, alizaliwa 2010?

  • @leocrdiadaniel6171
    @leocrdiadaniel6171 ปีที่แล้ว

    Hakuna aliyekamilika mbele za Mungu, alishudiwa mapunguvu yake, lakini anaamini kuwa Mungu alimsamehe kutokana na ubinadamu wake.

  • @bryson0772
    @bryson0772 ปีที่แล้ว

    Yy n binadamu tu hawezi kuwa mkamilifu kama malaika alijitahidi mnoo kwa uwezo wake vingine TUMUACHIE MUNGU YEYE NDO MJUAJI ZAIDI YETU✍

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante bro kwa kuandaa taarifa hii nisyo ijua

    • @joycemwinuka3685
      @joycemwinuka3685 2 ปีที่แล้ว

      Ata utende wema kiasi gani binadamu awa wezi shindwa kukukosoa

  • @Amobizzy_OG
    @Amobizzy_OG 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mara ya kwanza nimemuona kwny Nyimbo ya MICHAEL JACKSON...MAN IN THE MIRROR...🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you mother Teresa ❤️ †🙏🏾

  • @belindananjala8844
    @belindananjala8844 2 ปีที่แล้ว +1

    Anyway everyone has his/her own strengths/weaknesses therefore spending more times looking for the weakness of a dead it doesn't concern any,why can't you learn from that and be more perfect,???She did her best to please God alone but because of poverty she decided to coz if you were in such a situation what could have you done????For sure it wasn't like Jesus who had the power over everything and Theresa was a human being just like you and me.Another quiz is why is that when she shared the injections the sick couldn't die????That shows her strong Faith in God so my humble request is let's try to revisit our own personal life and learn how to do good and please alone
    Be blessed

    • @irenesammy3193
      @irenesammy3193 2 ปีที่แล้ว

      Why do you Muslims like talking heal about Catholics? And we will never talk about your religion????? You sucks

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 2 ปีที่แล้ว

    Nimecherewa saaana Justin duh 💪

  • @noobplayer4005
    @noobplayer4005 2 ปีที่แล้ว

    Wa 1

  • @lucyjohn3334
    @lucyjohn3334 2 ปีที่แล้ว +2

    God will gudge you Guys.

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 2 ปีที่แล้ว

    🙏🏻

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 2 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏

  • @timothalex3249
    @timothalex3249 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli sijaona maovu yoyote yanayoonekana aonekane mbaya

  • @mwariwanyingi5720
    @mwariwanyingi5720 ปีที่แล้ว

    kitambo hospitali tulikua tunadungwa na sindano moja zinachemshwa na kudunga wengine

  • @johnkaria7824
    @johnkaria7824 ปีที่แล้ว

    Mungu atukuzwa daima

  • @reinhardjuma7120
    @reinhardjuma7120 2 ปีที่แล้ว

    💥💥💥

  • @SirCharlesNjonjo
    @SirCharlesNjonjo ปีที่แล้ว

    "Let no one be found among you who ... practices divination or sorcery, interprets omens, engages in witchcraft, or casts spells, or who is a medium or spiritist or who consults the dead. Anyone who does these things is detestable to the LORD, and because of these same detestable practices the Lord your God will drive out those nations before you. You must be blameless before the LORD your God." (Deuteronomy 18:10-13, NIV)

  • @rachelanold3323
    @rachelanold3323 2 ปีที่แล้ว +2

    Sio mtakatifu, Ni mwenyeheri 🥰

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +2

    Rafiki wa umasikin kama nchi za Africa baadhi wanaupenda umaskn

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว

    Alichopata ni kidogo, mahitaji yalikuwa mengi.. hata katika vituo vyetu rasmi vya tiba wahudumu wanashindwa kutenda kadiri ya miongozo. Mother Theresa alifanya zaidi ya uwezo wa kawaida wa binadamu

  • @silivesterlyamuya791
    @silivesterlyamuya791 ปีที่แล้ว

    Wewe kaka umekosa story bhn acha uongo mother Theressa ni mtakatifu

  • @user-sf7ni7ht7h
    @user-sf7ni7ht7h ปีที่แล้ว

    Mungu uwe nasi

  • @mwariwanyingi5720
    @mwariwanyingi5720 ปีที่แล้ว

    baada ya miaka kumi na tisa tangu kufariki ndio alitangazwa kuwa mtakatifu na sio miaka tisa.....kazi yenu ina makosa mengi sana na mnahesabu makosa ya uongo ya st. mother teresa hapa.....
    mother teresa of Calcutta, pray for me.

  • @mburawambulanga3500
    @mburawambulanga3500 2 ปีที่แล้ว +1

    Msimulizi unazingua , rekebisha makosa maana hii story itakua documented na generations zijazo utazipotosha

  • @expert5898
    @expert5898 2 ปีที่แล้ว +1

    2010????????!!!!!!!!!

  • @yusufrajabu8425
    @yusufrajabu8425 2 ปีที่แล้ว +3

    Kha!!!!! Kumbe mtoto wangu anamzidi uyo😂😂

  • @issahmanyenye6267
    @issahmanyenye6267 8 หลายเดือนก่อน

    Nikama mwanasiasa t wanatuenjoy akil zetu nawara hawanaga maana bali wanamarengo Yao binafsi kama miujiza ata mwana marundi alifanya

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 2 ปีที่แล้ว +6

    Kama umekosa story wachana na mambo ya uongo ya watu.Mother Teresa ni mtakatifu

  • @richardnyakundimorwabe8638
    @richardnyakundimorwabe8638 2 ปีที่แล้ว +4

    Blessed Mother Teresa of Calcutta pray for us all!

    • @ibrahimbrazos2515
      @ibrahimbrazos2515 2 ปีที่แล้ว +3

      She can't pray for us but we have to pray for ourselves

    • @mariaalmack3686
      @mariaalmack3686 2 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimbrazos2515 youre very right

    • @mariaalmack3686
      @mariaalmack3686 2 ปีที่แล้ว

      Yes pray 4 urself

  • @husnatylyale2649
    @husnatylyale2649 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeskia mwak 2010 au nimeskia vby

  • @emmanuelmauki2938
    @emmanuelmauki2938 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakataa Sio Mtakatifu

    • @jamesmasanja1963
      @jamesmasanja1963 2 ปีที่แล้ว

      Si kitu cha kushangaza Wewe ni Nani kwa waliomtangaza kuwa mtakatifu,, hii inaonyesha kuwa unaweza kujikataa hata mwenyewe kuwa wa kiume au kike, Chukua hii itakusaidia, ETI MIMI NAKATAA

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 2 ปีที่แล้ว

      @@jamesmasanja1963 mtakatifu ni mungu tu

    • @levinaringoma
      @levinaringoma 2 ปีที่แล้ว +1

      @@azizawadh5973 she is .. by the way nobody is asking you to agree

    • @levinaringoma
      @levinaringoma 2 ปีที่แล้ว

      Mbona wakereka🥴yakuhusu ama walipwa😏😏

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 2 ปีที่แล้ว

    Wewe pia mbona unatuhuma?Tuhuma Bwana Yesu Mungu na Mwema alituhumiwa kutaka kuteka ufalme.....Tuhuma ni kitu cha kawaida kwa wafuasi waadilifu wa Bwana Yesu....acha kuchafua watu wa Mungu kama unataka kazi yako idumu..Psalm 105:15 "Do not touch My anointed ones!

  • @AlesiusAndrea1991
    @AlesiusAndrea1991 2 ปีที่แล้ว

    Huo mwaka wa kuzaliwa we imetoa wapi ,acha kuchunguza mambo ambayo ashaweka mkono Mwenyezi Mungu

  • @uwlaalmas7727
    @uwlaalmas7727 2 ปีที่แล้ว +1

    Alizaliwa mwaka 2010?

  • @piyemeofficial
    @piyemeofficial 2 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhhhh! Jamani mumenikata nguvu! Eti alizaliwa mwaka 2010! baada ya kuimaliza video nimekuja kuedit comment yangu! Nimejifunz mengi! Asante

  • @mansoorkazibaba522
    @mansoorkazibaba522 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kachapia kweli hii

  • @levinaringoma
    @levinaringoma ปีที่แล้ว +1

    She's a Saint

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 2 ปีที่แล้ว

    Mmh utukufu nini?... Mtukuwa mtukufu anapaswa kuwa je?!....Mungu hatizami wema wa MTU machoni mwake bali hutizama Asili thabiti ya ndani yako.

  • @tiamo726
    @tiamo726 2 ปีที่แล้ว

    Mi si mkatoliki na hina lqngu ni teresa ila ni wa amabie sometimes we fight the flesh in secret but we as humans we can be good..don't judge only God knows what humans go through some of us will make heaven because of grace...hata saa hi mi saidia watu ila mi mwenyewe na struggle na thambi flan nq mungu hqjqnihukumu niko hapa leo kwasababu mungu ananibadilisha

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว

    Jaman inabidi muelewe hii ni historia na mtu anavyoleta historia anakua kafanya utafiti wa kina,,,,,, wangap viongoz wa kikristo au kiisilam baadhi yao wanafanya mambo yasiyofaa na wanajifichia kwenye dini? Ndiyo maana wanakwambia Iman yako ndo itakuongoza, Ahsante Justn Shedy sasa twende kazi.

  • @manp.....7694
    @manp.....7694 2 ปีที่แล้ว +2

    Sisi tunachokijua ni kwmba Mother Theresa ni mtakatifu huo uovu mnaujua nyie. Afu msimuliz mbona huna references, naskia tu inadaiwa by which source?????

    • @ianmasiba1155
      @ianmasiba1155 2 ปีที่แล้ว

      Hii mambo ya kusema hati inadaiwa haina reference kabisaa

  • @catherinenzivo1624
    @catherinenzivo1624 2 ปีที่แล้ว +1

    Who are you to judge her leave that to God eeish

  • @maryamomary9596
    @maryamomary9596 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna mkamilifu

  • @ibrahmbody5998
    @ibrahmbody5998 2 ปีที่แล้ว +1

    Ungeipitia kwanza

  • @paskalimallya749
    @paskalimallya749 2 ปีที่แล้ว

    WA 3

  • @jotoentertainment9225
    @jotoentertainment9225 2 ปีที่แล้ว

    Alizaliwa 2010 au me ND nmeskia vbaya

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 ปีที่แล้ว

    Watu bhana. Sasa hizo ni tuhuma gani. Wewe fanya basi tuone.

  • @jojosky337
    @jojosky337 2 ปีที่แล้ว +4

    Unaacha kukufua makosa ya watu walio hai unaangaika na watumishi wa Mungu walio mbele za haki sio vyema kwa hili umekosea

    • @steventibenda5
      @steventibenda5 2 ปีที่แล้ว

      huyu anatafsiri taarifa ambazo zipo ktk mitandao na makosa yake walishamlalamikia tangu akiwa hai

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo walisubiri afe ndio wampe heshima yake 😏

  • @kamamibosco8308
    @kamamibosco8308 2 ปีที่แล้ว +1

    1910

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 2 ปีที่แล้ว

    Yakobo 1:27

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 2 ปีที่แล้ว

    Hivi nimesikia vibaya au..kuwa amezaliwa agast 2010..mmh mzee umetupiga kamba

  • @everlyneomaato7699
    @everlyneomaato7699 2 ปีที่แล้ว

    Uzuri ninaielewa tz ni I chi inayopenda umbea qwa iyo sishtuki wala nn mother Teresa ni Mt.

  • @shaidanidecoration1007
    @shaidanidecoration1007 2 ปีที่แล้ว +1

    2010🤔

  • @omarykaya9029
    @omarykaya9029 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimesikia 2010

  • @nurshariff2546
    @nurshariff2546 2 ปีที่แล้ว

    Kwa waislam mtu anapokufa hairuhusiwi kusema maovu yake tunamuachia mungu ndie atahukumu..lingine ni kua ukitaka kutubia dhabi zako unamuomba mungu moja kwa moja bila kupitia kwa yeyote yule hata awe mtakatifu vipi dhambi zako na toba yako ni baina yako na mola wako pekee.

  • @bennjanja2382
    @bennjanja2382 2 ปีที่แล้ว +1

    Do your research well before kuropokwa....mambo ya sindano kutumika mara tatu uliyatoa wapi ? Was she really born in 2010?

  • @farajajoseph2971
    @farajajoseph2971 2 ปีที่แล้ว

    Sasa twende kazi

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 2 ปีที่แล้ว +1

    Kusema Kweli mnapotosha watu mkitafuta views na like subscribers... twaaaa hebu wacheni uvivu tafuteni content za maana

  • @francischuwa1122
    @francischuwa1122 2 ปีที่แล้ว

    2010 kumbe Ni mdogo wangu kabisaa🤣🤣🤣

  • @feisalshahar9212
    @feisalshahar9212 2 ปีที่แล้ว

    Unazinguaaa huyoo anazaliwaa vipiii 2010 huelewiii unachoongea

  • @difrosawanjala9830
    @difrosawanjala9830 2 ปีที่แล้ว

    Tafuta historia kamili ya kikatoloki,,,,wewe mtu mungu anakuona,,,,,wacha kupotosha watu.nugu hii

  • @radymanmauzo8410
    @radymanmauzo8410 2 ปีที่แล้ว

    Kazaliwa mwaka kagan?? Ndugu mwandishi niweke sawa sikilizia story

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 2 ปีที่แล้ว

    Alizaliwa 26thAugust 2010!!!!😜😜😜

  • @deemusic5577
    @deemusic5577 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwaka 2010 ndo Teresa kazaliwa

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 2 ปีที่แล้ว

    Usitangaze ukiwa umelewa kaka utaharibu kazi

  • @nicksonnickas2531
    @nicksonnickas2531 2 ปีที่แล้ว +1

    2010 duuuu