SOKA KIJIWENI: KIGI MAKASI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ส.ค. 2024
  • Winga wa zamani wa Yanga SC, Kigi Makasi anafunguka mengi kuhusiana na soka na moja ya mambo ambayo huyajua ni kuwa Makasi alimuokoa mtangazaji wa kipindi hiki, Jamal Abasi a.k.a Dodi.
    Ilikuwaje?
    Fuatilia mwanzo mwisho.
    Soka Kijiweni huruka kila Jumatatu kuanzia saa 1:30 usiku.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 3