KICHAPO KIPYA KWA MAJADIDA SHEIKH MUHAMMAD BAHERO ATOBOA SIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #Tafadhali_Gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

ความคิดเห็น • 112

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 หลายเดือนก่อน +3

    MASHALAH SHEKH UMETOWA ELIMU KUBWA WATAELEWA WENYE AKILI

  • @Raissaabdoul
    @Raissaabdoul 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuifazi sheikh na Allah akulipe kila laheri

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 3 หลายเดือนก่อน

    Mshukuru mungu kukufahamisha hishima yadini waombe nawenzako wawache kututenganisha waislamu mngu akuhifadhi

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 3 หลายเดือนก่อน

    Maashallah Maashallah nimefurahi sana kwasababu maelezo yamenyooka, watu walinganie dini sio Manhaji

  • @SharifuKombo-rb6vk
    @SharifuKombo-rb6vk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn Wachen kutukanana mbora mola ndy anamjuwa

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 3 หลายเดือนก่อน

    Maaashaaallah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 หลายเดือนก่อน

    Shuqran sheikh 💚💚💚

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 หลายเดือนก่อน +2

    MASHALAH ANAHOJA NZITO NA ANAYE ZIKATAA HOJA HIZI NI WAHABI PEKEYAKE MAANA NI TAWI LA WAKATOLIKI NA MAYAHUDI

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 3 หลายเดือนก่อน

      Swadakta

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน

      Nynyi nyote wawili hamjui ta kinacho endelea.

    • @ShabanHassan-td3lx
      @ShabanHassan-td3lx 2 หลายเดือนก่อน

      Hyu anaeonge hp pia ni wahabi, sijui mawahabi wpi unaowakusudia, akhiy hujui kinach zungumzwa hp umedandia gari kw mbele

    • @ShabanHassan-td3lx
      @ShabanHassan-td3lx 2 หลายเดือนก่อน

      Hahafu akhiy Hilo neno uliloongea kuwa mawahabi ni wakatoliki na mayahudi andaa ushahidi wa kutoka mbele ya Allah siku ya kiama, usionge kwsasabbu umemsikia mtu ameongea.

  • @abuuzakariyalibumba6303
    @abuuzakariyalibumba6303 3 หลายเดือนก่อน +2

    HATA mim nakushinda dah

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 2 หลายเดือนก่อน

    WW KUSOMA KIARABU HUJUI نعم السلفُ WAL SIO السلفِ

    • @anyeresa928
      @anyeresa928 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini iwe hivyo

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 2 หลายเดือนก่อน +1

    WW PIA NIMVIVU ULIPEWA MSIKITI UKAFANYIWA KILA KITU UKASHUGULIKA NA KIBANDA CHABIRIYANI UKAACHA MSIKITI

    • @alimwawema9932
      @alimwawema9932 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu afaa awe mtangazaji.

    • @alimwawema9932
      @alimwawema9932 2 หลายเดือนก่อน

      Hana adabu

    • @alimwawema9932
      @alimwawema9932 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe amesahau ulikuwa ukimtete Sufii Athman Maalim mbona hatujaona umerudi nyuma.

    • @alimwawema9932
      @alimwawema9932 2 หลายเดือนก่อน

      Kazi yake imebakia kuombaomba

    • @alimwawema9932
      @alimwawema9932 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu kijana anapoteza watu anatafuta umaarufu!

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Eti maneno ya faudhan subhanallah 😢

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

    صدقت من خالفك او شاتمك فهو لا ولا

  • @user-qo3ei9tp7t
    @user-qo3ei9tp7t 3 หลายเดือนก่อน

    Mjibuni sheikhe bahero majadida

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Nimechaka sana mie leo😂😂 yaani mahizb wenzio tu wanajua umewachomesha subir majib inshaAllah

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Ayo ndo mambo wanayo kataa ma ulamaa wakubwa na kweli ukiangalia kina utheeminy, hata albani mwenyewe Shekhe Abubakary zaid Tena huyu kaandika na kitabu kabisa kwa po,ote lenu Hilo utheimeeny yeye ndo kakiweka katika kikundi vya bidaa vilvyo zuka zama hizi ndani ya ahlsunna nyi Ni watu wavurugu Sana mpk wanachuoni wanakasirika ukweli ndo huo hata mkijibu nyundo zimewafika muache taasubi

  • @alimwawema9932
    @alimwawema9932 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mrongo asome kitabu ماهي السلفية cha الشيخ عبدالله البخاري حفظه الله.

  • @adamh1751
    @adamh1751 2 หลายเดือนก่อน

    Wallahi mwenye anamsikiza huyu kama mwalimu amepotea!

    • @Kingkongchuma
      @Kingkongchuma 2 หลายเดือนก่อน

      😂 ame kupiga kwenye mshono uguwa pole

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 2 หลายเดือนก่อน

      Hii imeiingia ndipo ​@@Kingkongchuma

  • @user-qo3ei9tp7t
    @user-qo3ei9tp7t 3 หลายเดือนก่อน

    Swalafia jadidah waraalhud

  • @GoldenBoy-xm5gn
    @GoldenBoy-xm5gn 3 หลายเดือนก่อน +1

    hivi wewe hujw tahadhari ngapi imamu ahmad alitahadharisha watu wasiwasikilize watu wazushi hivi hujuw wanawachuoni wangapi wazamani waliwatahadharisha watu kutokana na wazushi

  • @AbuuKhafswa
    @AbuuKhafswa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna ussalaf wa maneno bal ussalaf utapatikana ktk matendo tena yaliokua sahihi kufuata kitabu na sunna kwa ufaham wa wema waliotangulia tu

    • @ShafiiAbuu-jb8hp
      @ShafiiAbuu-jb8hp 3 หลายเดือนก่อน

      Allah akuongoze hayo unayozungumza nimatamanio yako ya nafsitu hakuna bayana hapo

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaa someshe acha porojo

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 3 หลายเดือนก่อน

    Kwn haifai kwnd kw makt wa watu wabidaa

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 2 หลายเดือนก่อน

    WW TWAKUJUWA NIMWANABIASHARA SAPOTI NGULI WA WASANII KILA MTU AJUWA WALA SIO DAI HUKO HUKO SHIKA KAZI YAKO

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 2 หลายเดือนก่อน

    Masalafi jadida wapi na wapi na kusoma?hata nahwu waadhih hawajui wanakimbilia maneno ya masheikh mara sheikh fawzan kasema hivi lkn ukimwambia soma ibara hawezi.kibri tu

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 2 หลายเดือนก่อน

    Uhakika sheikh kaongea ukweli, lakn huu msingi kaupata kwa mwanachuoni gani?
    Yaan mtoto wa bahero hujielewi kwann msikae mkasoma mwanza piga kelele, wanachuoni wamekemea katika kukemea watu wa Bida'a na watu walio acha sunnah wew waona ajabu?
    Wanachuoni kila siku wasema yafaa kujiita salafiyy wew wakanusha.

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jee mbona ww bahero unaenda kwa othman maalim suffiy ghurafi na ukifika hutangazi. Suunah

    • @NurdiniShabani-ut4rv
      @NurdiniShabani-ut4rv 3 หลายเดือนก่อน

      Acha kutukana mashekhe ww utapata hasara

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 3 หลายเดือนก่อน

      @@NurdiniShabani-ut4rv ww ni sufi ghurafi kumbe kama othman maalim

  • @SALIMSALIM-ep3gk
    @SALIMSALIM-ep3gk 3 หลายเดือนก่อน

    hamna jipya tena mahizbi watu washa washtukia zamani

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Mmeshutukiwa ninyi na new salafi mpk wanazuoni wakubwa wanachukia tabia zenu mbovu arafu mwawaita watu hizbi wakti nyingi waitaji ndo mnasifa hizo we unaiba arafu unajihami Fulani mwizi kikundi kimesababisha tafaruku katika uislamu mtu wa sunnah nae anatowa kwenye bidah ufahamu wenu finyu kuhusu usalafi ni chama cha vurugu tuu mpk wanazuoni wameandika vitabu acha kutoa Kanda vitabu kutahadharisha waislamu wa ahlsuna na kikundi hiki

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 2 หลายเดือนก่อน

    WW UNA MATATIZO MENGI
    JAHIL
    HAKID
    KUGURA WATU WA BIDA
    KUTOWASKIA KUSOMA KWAO KUWASALIMIA NIKATIKA MWENENDO WA MASWAHABA

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Kuwatoa watu kwenye manhajji nao mwenendo wa swahaba hilo mbona husemi ? Shekhe katowa Kanda ya shekhe fawzn wanachukia Sana vurugu zenu hizo kila mtu ana mamlaka ya kumtoa mtu kwenye man hajji tafuteni kivuli kingine Cha kujifichia so katika waja wema matendo yenu tofauti na wao Allah awaongoze ninyi na sisi mrudi katika man hajji sahihi mpk watu waso waislamu hawatamani Tena uislamu kila mtu ulamaa fulani hizbi Fulani so mtu wa sunnah Fulani usimsikilize subuhana llaaah mnapata wapi mamlaka hayo ndo njia ya wm walotangulia hivyo

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu hamna kitu anazurura kwa masufi na hawapingi Leo anawapinga watu wa haqq

    • @isaack100
      @isaack100 2 หลายเดือนก่อน

      Kkkkkkk

  • @AbuuKhafswa
    @AbuuKhafswa 3 หลายเดือนก่อน

    Kikombe na gras vyo sawa tofauti na majina tu hapo mwenye akili tu ndio ataelewa coment hii

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga ww kaa na bidaa zako huko hayakuhusu

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 3 หลายเดือนก่อน +2

    TANGU LINI MAHIZB WAKATOA KICHAPO HAHAHAHA

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂vituko saan kichapo gani na wameharifu saan manhaj salafi manhaj ya uhul sunnah waljamaah

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abbaspaziaog2188masalaf ndio malhawariji wa zama zetu

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wanataka wa izime nuru ya Allah kwa vifua vyao, na Allah ataitimiza nuru yake hata kama watachukia washirikina.Dawa salfiyaa ni hakii hata kama watachukia wenye kuchukia. Wala hawawezi kuizima nuru Hii.

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th Abdullah humeid aliwahi sema kheri liwatwi kuliko kusoma mauludi vp ?
      Au ndo mtindo wake hhh

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh Sisi tunazungumzia manhaji salafy wewe waleta Habari za Abdallah humaid. Kwani Abdallah humaid ni manhaji salafy. Sisi tunazungumzia daawa salafiah na wala hamuiwezi kuikosoa manhaji salafy .kwasababu ni hakki.

  • @user-qo3ei9tp7t
    @user-qo3ei9tp7t 3 หลายเดือนก่อน

    Hicho nikchaapo

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mahzibii hamuongei kwa dalili ila mwaongea kutumia akili zenu wala hamtumii kauli za wanachuoni

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwahiyo hizo kauli hapo hujazisikia au mpaka aongee Mkuu wako wa kijadida ndio utaona kua kuna kauli

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 3 หลายเดือนก่อน

      Majadida waona wao wameleta ilmu wao tu! Kumbe ilmu ilitolewa toka mufti pongwe hajatoka kwenye usufi Tamta

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน

      @Abuu-lr5bz ameongea kauli gani ya ilmu ,,hebu itaje tuiskie ,,,hamna kitu hapa ispokuwa kujichekeakea tu Kambe zuzu.,,sijui mahizbi mnashida gani mpaka hamuelewi daawatu salafiya,,,sasa huyu mtu anaeshirikiana na othman maalim na anamuona hana shida ,,,ivi wewe mtu wa sunna othman maalim hana shida ,,hili jamaa ni sufi ,,

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน

      @Zainabnoor0087-ze Basi fahamu kuwa huyo mufti wa pongwe ndie sababu ya usalafi kufika huku ,,daawatu salafiya yeye ndie kaja nayo ,,wala haijafika daawatu salafiya kupitia mahizb

    • @ismailyusuf3755
      @ismailyusuf3755 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUJAAFAR92alileta lipi jipya

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 3 หลายเดือนก่อน

    MI NASUBIRI TOLEO JIPYA MAANA MAJADIDE NA MAHIZBI SIJUI NIFATE WAPI??

    • @user-qy9qx5hd2u
      @user-qy9qx5hd2u 3 หลายเดือนก่อน

      Fuata mahizbi

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Wanazuoni wametahadhalisha umma juu ya kikundi cha kijadida hasa umma wa ahlsunna mpk wanazuoni kuandika vitabu kabisa na wanakerwa na tabia za Hawa jamaa wwnao jiita salafi _,(majadida tunasema sabu masalafi hawakuwa na tabia kama zao so shekhe fawzn tuu,kutoa kanda ya kuhusu watu wanavyokerwa na hiki kikundi kuna shekhe utheimeeny Allah amrahamu hhuyu ndo kakiweka hiki kikundi cha kijadida katika makundi yalozuka zama hizi amesema kuna vikundi vilivyozuka zama hizo na kina makundi yalozuka zama hizi jamnat tabligh,ikhwan muslim na salaffiyun Hawa salafi kasema ni kikundi kilichochipuka kati na kati katika manhaj ya ahlsunna na kataja dalili zao kila dalili nawakuta wamo kila sifa alotaja shekhe wanazo tabia zao kuwabadii watu, kumtia upotevuni kila anaekwenda kinyume na wao kuwabidaisha watu wasostahiki kuwaita khawariji, hata mtu asiwe na sifa hizo za bidaah ukhawariji, Fulani asiskizwe Fulani hivi shekhe kufanya taasubi kwa shekhe wanaomtaka wao, shekhe anasema wangekuwa wanafanya kwa watu wanaostahili kuambiwa hivyo tusingewapinga maana aliulizwa kwahiyo mtu akiwa Ni wabidaa au khawariji tusimuite laa! Wao wanawaita watu wasostahiki na kweli swadacta shekhe kapatia

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona hikutaja uwahabia Na ndio Shiko lenu kubwa unogopa 😂😂😂😂

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      We mpuuzi acha bidaah zako ndo uje huku hyakhusu komaa kwa msufi wenzio

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe jaaaaahil, hujui usalafi wala manhaj ya ahlusunnah

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      www ndo jahli mmekuja kubidaisha watu hata wasostahili kubidaishwa kikundi chenu hiko ni chama ndomana hata wanazuoni wakubwa hawawaungi mkono kwa mnavyofanya ninyi majadida tuu wema walotangulia hawakuwa na vitendo Kama vyenu ndo Mana kina shekhe fawzan na wengineo wanatoa hadi Kanda kuwalipuwa unamlka gani kila mtu kumwambia mwenzio fulani hafai toa hizbi Fulani khawariji yani mtu awe na sifa hizo asiwe nazo kila mtu Ni khawarij hizbi usimsikilize yule hizbi we nani una kiwango gani Cha ilmu ya kuwatoa watu katika dinni ?tafuteni sehemu ya kujifichia saivi so kwa waja wema salfi swalehe akuwa na tabia zenu hizo

  • @abuuseifanaabdulqaadir1124
    @abuuseifanaabdulqaadir1124 2 หลายเดือนก่อน

    WW UNA KEJELI KAMA NDUGUZAKO MASUFI
    IBNU UTHEYMIN
    BIN BAZI NA WENGINE WENGI WANASEMA SIO MAKOSA UJIITA SALAF WW SI NISUFI TU

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

    Shekhe umesema kwwli hawa watu wa sasa walozuka kujiita salafi wanavurugu sana ni kutoelewa nini maana ya usalagfi wanachuoni wameandika hadi vitabu kuhusu kikundi hiki mfano shekhe utheimeeny nae ndo kakieeka kikundi hiki katika vikunndi vya bidaah vvilivyo zuka zama hizi ndani ya ahlsunnah

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar 3 หลายเดือนก่อน

    KICHAPO KIPI ?

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 3 หลายเดือนก่อน

    Kaongea kwa dalili kbsa sjui unayesema mahizb hawaongei kw dalil unakusudia dalil gani

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa jadida saivi hawana jipya kichaka Chao kishawashwa Moto watafute sehemu ya kujifichia we mpk wanazuoni wakubwa wanaketeka na tabia zao na wanachukia kweli mpk wengine wameandika vitabu kututahdharisha

  • @RajabuKinyogori
    @RajabuKinyogori 3 หลายเดือนก่อน

    Tandika majadida hao

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu si ndio alifanya pati pale na akakodi wasanii wakaimba

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Hilo haliusianj kichaka chenu kishalipuliwa saivi tafuteni pa kujifichia so kwa waja wema tafuteni njia mmejificha kwa salafu swaleh huku matendo yenu yanaenda tofauti na wao saivi hata wanazuoni wakubwa wenyewe hawawaungi mkono na tabia zenu mbovu hizo za kuwabadii watu wasostahili kuwabadii na kuwatia katika upotevu wasostahiki so shekhe fawzan tuu mwanzo kuchukia hayo hata shekhe utheimmenny nae kafa na msimamo huo Tena huyo ana maneno yake huwa hamuapendi kusoma lakini ametadharisha ummah na kikundi chenu hiko saivi hamtusumbui ilikuwa zamani mnaanza Anza baada ya kubainika tabia zenu wanazuoni wametahadharisha watu kwa kuandika vitabu kabisa tutahadhari na hiki chama tushike njia sahihi ya waja wema walotangulia kitabu na sunnah na tuachane na hiki kikundi kipo kisiasa tuuh na vurugu salafi swalehe hawakuwa na tabia zenu hizo fulan hizbi Fulani khawariji Fulani asiskizwe hata asostahil sifa hizo atapewa madamu ajakubali. Mienendo yenu ataitwa hizbi arafu ukiangalia nyi mnaowaita watu hizbi sifa hizo mnazo ninyi arafu mnawatolea wenzenu

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kwanza ni hizbi bali pia ni sufi ,,,

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 3 หลายเดือนก่อน +1

      UKIONA HIVYO SINDANO IMEKUINGIA
      PINGA KWA HOJA SIYO BLABLAAAA

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน

      @@salumhassanallymkurdistan7006 sasa tatizo hamjaelewa misingi ya daawatu salafiya,,,sasa ndio maana mnapata tabu

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 3 หลายเดือนก่อน

      @salumhassanallymkurdistan7006 Sindano gani ,,ikiwa huna sheikh ila huyu basi wewe utabaki kuwa mjinga daaima ,,,

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaodai usalafi nyinyi hamuongei kw dalil mara nyingi mnatumia. تقليد الأعمى

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin 3 หลายเดือนก่อน

    Hhahahahaha nacheka hiki kichapo!!! Sawa muhaadhiri ila hana jambo ila ni hisia2

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 3 หลายเดือนก่อน

    Punguza ushabiki na chuki ili Allah akuafikishe kwenye uongofi

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 3 หลายเดือนก่อน

      Sisi masalafi na nyinyi mahzibii ni akina nani wakweli nani asowajua mnashirikiana na Uhul bidaah kama huyo hizbii bahero ni shekh wa wajinga ??

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu hizb wa kisufi

    • @user-qy9qx5hd2u
      @user-qy9qx5hd2u 3 หลายเดือนก่อน

      Hizb ndio nin?huenda hata maana ya neno hizb hujui..dini msiitie mambo ya kishoga majungu na kupeana majina mabaya mtume alifanya hivyo?

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Majadida kichaka chenu kimewaka Moto saivi tafuteni sehemu ya kujifichia mlittupa taabu zamani kipindi munanza Anza saivi hata wanazuoni wanachukia tabia zenu hizo na wengine waliandika na vitabu kutadharisha umma wa kiislamu kisa hiki kikundi watu wavurugu na ghuluu so shekhe fawzan hata tuu anachukizwa Sana na mambo yenu hayo kumbadii kila mtu na kuwatia upotevuni watu wasostahiki Fulani hizbi fulani khawariji fulani asiskizwe na hizi Ni mbinu za maquraesh wali wazuia watu wasisikize dawa ya mtume lakini ilisikilizwa pamoja na washirikina kumkataa mtume walisikiza na pamoja na kupigwa Vita na washirikina wenzao msimsikize Muhammad watu hawakujali na wakamsikiza ndo mbinu wanazotumia mashekhe zenu Leo fulani hizbi usimsikize mtu ana sifa Hana sifa hizo madamu ajakubaliana na chama chenu hicho hafai kusikizwa hizbi na wenyewe kwa wenyewe kila mtu amwambia mwenzie so salafi yani mmeleta vurugu shekhe utheiminy Allah amrahamu ndo ana maneno yake makali dhidi ya kundi lenu Hilo kakiweka katika makundi ya bidah ya zama hizi tabligh,ikhwan Muslim na salaffiyu kimezuka zama hizi ndani ya ahlsuna shekhe katuusia tushike manhajji salimu na njia ya wema walotangulia quruni na sunnah Kisha tuachne na kikundi kichodi wao Ni masalafi

  • @mahatmohamed8392
    @mahatmohamed8392 2 หลายเดือนก่อน

    maswahaba hawaezi jiita salafi kwa sababu wao wenyewe ndio salaf. Wewe karibuni utajiunga na ukhurafi na usufi ndio ukamleta Othman Maalim Kilifi kutoa khutba ya eid yani watu wasusie kwenda kusikiza masufi waende kwa kiwanja cha ahlus sunnah wewe umlete kingpin wa masufi.

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Eti maneno ya faudhan subhanallah 😢 hivi wewe adab ya kujata wanazuoni wazijua kweli?

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 3 หลายเดือนก่อน

      AKITAJWA MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM HUMSWALII LAKINI UNATAKA ATUKUZWE SHEKH LAKO
      SUBHANA LAH

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

    Na huo ndio ukweli hujaupindisha قال الله تعالى( فالتبعوا ملة ابراهيم هو سماكم المسلمين)

  • @HusseinSalat-ox2mx
    @HusseinSalat-ox2mx 3 หลายเดือนก่อน

    Yani salafia jadida Sio hizbi

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Hahahaa jahili anatoa kichapo 😂 labda kichapo cha mbwa

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 3 หลายเดือนก่อน

    Ww unaongea ama unalia mahizbi mna taabu kweli

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Ndohivyo kchaka chenu kimewaka Moto saivi moitubabaisha zamani mnaanza kuingia saivi hata wanazuoni wakubwa wakutgemewa shekhe fawzan ,wanaopinga tabia zenu mbovu,arafu mnaifichia kwa waja wema hawakuwa na tabia chafu kama zenu hizo kila mtu kawa alimu mkubwa wa kuwabadii watu na kuwatia upotevuni kila mumtakae madamu hajakubaliana na chama chenu hiko nyiny kwenu hizbi na khawariji mubtadii umepata API mamlaka hayo shekhe ,wema walotangulia wlitiana upoevun ovyo kama ninyi kama watu wote watakuwa wa bidaa mhizbi nani kasailimika sasa kiwa wenyew kwa wenyewe mnaojiita masalafi mmeawanyika vikundi vingi katika kundi lenu moja saivi Hawa wanawaambia wale mahizbi wasiskizwe nawale nao warudisha hizbi ninyi khawariji yani vurugu tena mnachukiana sana mtu anakwambia bora makanisa yaenee au misikiti ya makadiani ienee kuliko khajawira yani kuna haki ya wanazuoni kuchukia na kuandika vitabu mmefeli sana mmeigia chakie sunnh aipelekwi hivyo na shekhe utheiminy kwandika fatuwa yake hiyo hamtaki kuisoma au mkisoma mnapuuzia sabu inawahusu ninyi shekhe katadharisha ummah hasa wa ahlsunna watu washike man hajji Salimu waachane na kikundi kinachojiita salafi washike kuruani na sunnah na wwma walotangulia washike man hajji salafi waweke pembeni kikundi kinachojiita salafi

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuh kweli jahili huyu hapa aiseee😂😂😂😂

    • @RajabuKinyogori
      @RajabuKinyogori 3 หลายเดือนก่อน

      Tandika majadida hao

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno yaketu inaonyesha huyu ni jahili kwann hayo maneno ya kutokusikiliza wazushi nimaneno ya shekh kasimu au Abdallah humeid hayo maneno ya wanazuoni hayo hizb wewe ngoja shekh Abdallah humeid atakufundisha halaf kwel wewe jahili bado mbichi kwel ktk dawaa ni aibu ahafu eti shekh huyi 😂😂😂

  • @Muislamu
    @Muislamu 3 หลายเดือนก่อน

    أنت تهرف بما لا تعرف ...
    العبرة بالحقائق والمعاني لا بالألفاظ والمباني ..
    Ww wajiropokea tu kasuku mkubwa ww

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 2 หลายเดือนก่อน

    Salafiya wa pongwe😂

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi Haki inatambulika kwa kusoma, Nyinyi kaeni, masalafy wanapupia katika suala la kusoma na kusomesha. Nyinyi mnatanguliza maslahi Ndio Maana dawa yenu imekaliwa juu. Inatafuta huruma za watu. Watu wamewaelewa kitambo tu wacheni kupaparika.

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th ssa tufate salafi wa pongwe au wa moshi?

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน

      @@bacteria5184 fuateni wa marekani.

  • @RajabuKinyogori
    @RajabuKinyogori 3 หลายเดือนก่อน

    Tandika majadida hao