IMANI KWAYA MT CECILIA BARAKA CONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 5 ปีที่แล้ว +4

    Ongereni vijana wamungu kwamaneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu sikuzote Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu yote amina

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @KayumbaMukambilwa
    @KayumbaMukambilwa 5 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kwa wimbo kwa wimbo wenu mzuri, na wenye kubeba ujumbe mzito. Amina.

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen, mubarikiwe sana waimbaji nimebarikiwa na hii wimbo

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 6 ปีที่แล้ว +5

    Mnaimba vizuri sana MUNGU . Awabariki shairidongo ni kwayule anayecheza kiuno ahache kabisa

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iyi mliotuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 ปีที่แล้ว

    Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu.

  • @mamamwashite3320
    @mamamwashite3320 5 ปีที่แล้ว +1

    wow God bless you very much guys

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 5 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe saaaaana

  • @delos953
    @delos953 ปีที่แล้ว

    Tamu saana

  • @sofiamauwa7146
    @sofiamauwa7146 ปีที่แล้ว

    Amina munarikiwe

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 6 ปีที่แล้ว +3

    Mubarikiwe

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 4 หลายเดือนก่อน

    Kucheza kwa viuno inatoka wapi hiyo? Munaimba vizuri musiaribu na kukata viuno

  • @alexshauri9190
    @alexshauri9190 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe ndungu zangu