NAZIONA DALILI ZOTE OTHMAN MASOUD KUWA RAIS WA ZBAR 2025 || ISMAIL JUSSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio baba❤❤❤❤❤❤

  • @Zivago12
    @Zivago12 8 วันที่ผ่านมา +2

    Baadhi ya Mashekhe znz acheni njaa na woga kumkosea Allah. Amani bila ya haki ni kujidanganya tu.

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 6 วันที่ผ่านมา

    CCM kwisha

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 8 วันที่ผ่านมา +2

    Sheria Ccm walizojiwekea lazima zibadilishwe uchaguzi ni siku moja, majeshi na mapolisi wasiruhusiwe kupiga kura.

  • @allymansur8155
    @allymansur8155 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndio ulioamua usiamulie watu, mfananishe na yoyote ila hatokuwa kwa kuiga.

  • @Zivago12
    @Zivago12 8 วันที่ผ่านมา +1

    Baadhi ya mashekhe na maustaadh. Wanamkosea Allah kwa kutokataza mabaya na kuombea ubaya ili madhalim wabaki madarakani.

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 6 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga .mamlaka kamili .kaowe kwanza. Nchi hii ni CCM

  • @ramadhanifakikombo4010
    @ramadhanifakikombo4010 8 วันที่ผ่านมา

    ONA zaidi th-cam.com/video/Jz4VJ8bISYI/w-d-xo.htmlsi=Cbp-q3eQAPL_TCGR

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 8 วันที่ผ่านมา

    Jusa Ni mpumbafu.haya mamlaka anayoyataka,atapewa na Nani!? Atapewa na serikali ipi?watanzania wa wapii?. Ni Nani atamwachia ugali wake ,mtu aside husika? Jusa ,mazrui wote Ni haramu ya waarabu.hata wakishinda hatuwapiiii

    • @MohdSuleiman-k1o
      @MohdSuleiman-k1o 8 วันที่ผ่านมา +1

      Ww unasemaje? Ww sio mzanzibar kwahio tuachie tupiganie uhuru wa nch yetu

    • @SuolFat
      @SuolFat 8 วันที่ผ่านมา +1

      Mh.. jusa anajua anacho kipigania mbona unaropoka

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 8 วันที่ผ่านมา +1

      Jina lako Tu ww Sio mzanzibar huwezi kuwa na mapenzi na wazanzibar

    • @Zivago12
      @Zivago12 7 วันที่ผ่านมา

      @@eliakazilo6078 Niludhani unaakili , kumbe mpumbavu na mjinga wa wajinga. Unasema maneno utumbo kabisa, ndio maana ccm inakuburutune kama mizoga.

  • @MuhidiniNassor-w3j
    @MuhidiniNassor-w3j 8 วันที่ผ่านมา

    Anawahashua

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 8 วันที่ผ่านมา

    Kwani wewe uliwahi kumuona Mungu na kuongea naye?.😂

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 8 วันที่ผ่านมา

    Muongo mkubwa, Singapore haiko dunia ya kwanza

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 วันที่ผ่านมา

      Thibitisha uongo huo wakati wenyewe wasingopore yao vip wewe punda wa lamu useme uongo

    • @SuolFat
      @SuolFat 8 วันที่ผ่านมา

      Iko ya ngapi

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 วันที่ผ่านมา

      @@mataypanga5262 zanzibar from Ampeare to manispire 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Ndo hali halisi hio halaf atokeee mtu atu

    • @Zivago12
      @Zivago12 7 วันที่ผ่านมา

      @@mataypanga5262 Singapore unadhani iko Kisonge?? Ukiambiwa dunia ya kwanza ni kimaendeleo. Mjinga weee

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 7 วันที่ผ่านมา

      Singapore haiko nchi tajiri,kama imegeuka nchi tajiri kwa ajili ya dini hiyo ni mavi😂​@@Zivago12