ASKOFU MWANAMAPINDUZI "NILISEMA MAKONDA NI JINI LIMESHAANZA KUWATAFUNA CHONGOLO KANG'OKA WANAFUATA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • ASKOFU MWANAMAPINDUZI "NILISEMA MAKONDA NI JINI LIMESHAANZA KUWATAFUNA CHONGOLO KANG'OKA WANAFUATA..
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 284

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 8 หลายเดือนก่อน +10

    Makonda anawasumbua watu wengi kweli ni chaguo sahihi kwa wakati sahii tunakupenda makonda wetu tupo pamoja mpaka kieleweke

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 6 หลายเดือนก่อน

      Sema unapenda sio tunampenda

    • @EliaMpombo
      @EliaMpombo 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Ernestlaizaon

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mwanamapinduzi oyeeeee,,well said

  • @abrahmanmussa1384
    @abrahmanmussa1384 8 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda yupo sawa wanainchi tunahitaji viongozi kama makonda acha kumupaka uchafu usimgombanishe na mama yetu

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kupotosha watanzania mtumish watu.wakifanya kaz mnawafanyia fitna ameteuliwa na mama samia ko anamuwakilisha mama samia mama asante kwa kutupa makonda na huyu tushamshtukia watanzania hatudanganyki ko hawez kutuvuluga mtu mmoja mngu riza serikal yetu amen

  • @Werema3760
    @Werema3760 8 หลายเดือนก่อน +7

    ■■Unaonge makubwa ni wenye akili watakuelewa only 😂😂

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 8 หลายเดือนก่อน +5

    Umeongea kweli kabisa

  • @sirajismail3978
    @sirajismail3978 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe mwenyewe ni jini umejuaje mwenezi ni ji kama wewe si jini acha hasadi ww nadhani ww sio kiongozi wa dininba li mwanachama wa chama Fulani mwache komredi afanye KAZI tuachie Ccm yetu

  • @emmanueldaniel1781
    @emmanueldaniel1781 8 หลายเดือนก่อน +1

    J.K. Nyerere, J.P. Magufuli, P.C. Makonda big up sana.

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yes. Ukweli ndio utakaowaweka huru.

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y 8 หลายเดือนก่อน +1

      wewe kama muandishi wa Habari umewashawahi kumuuliza Makonda anatoa wapi pesa za kuwapa watu??

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na Makonda siyo aliyemtoa Chongolo sisitulikuwa naye Redio Uhuru na gazeti lake tinamjua vizuri sana kaondoka kwa tabia yake mbaya na bado wataondoka wengi huyo mama humohumo kuna baadhi wanampiga vita ukubali usikubali hawamtaki kwa vile ni mwanamke huyo ni kikulacho kinguoni mwako

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 8 หลายเดือนก่อน +5

    Askofu uko sahihi!, hizo hela anazowapa watu anazitoa wapi?, waache watakutana nalo huko mbeleni!.

    • @loserian-mj1gj
      @loserian-mj1gj หลายเดือนก่อน

      Kwani pesa itokaga wapi

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 8 หลายเดือนก่อน +6

    Sisi tupo tunaangalia mchezo unavyokwenda.Acha mvua kubwa inyeshe ili tujua panapovuja.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 8 หลายเดือนก่อน

      Unapo subiri kuona panapovuja Kwa mvua kunyesha, nawe utakwenda na mafuriko ya mvua hiyo.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 7 หลายเดือนก่อน

    Asante askofu unasema hata kwetu barabara mbovu vijijini vijijini shida makodi kwa wanyonge

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 8 หลายเดือนก่อน +4

    bashite kaonyesha kua ccm imekwisha kuwapa kazi watuhumiwa wa aina hii hata kesi ya gekulu itakua mada ya uchaguzi 2025

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 8 หลายเดือนก่อน +2

    wachungaji wa namna hii wamechangia kuharibu nchi sasa kama unajua anausubutu ndio amuita jini?

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 8 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mchungaji anachokiongea kinakaribiana na Roho wa Mungu alichonionyesha,anachokisema kina ukweli.

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 8 หลายเดือนก่อน +2

    Askofu mwanamapinduzi upo sahihi, lakini kwa anachokifanya makonda ndio wengi tunapenda, tulimis aina hii ya uongozi, Makonda anavyo fanya ni kuwaamsha viongozi wengine wafanye kazi

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน

      MTU hawezi kupendwa na watu wote wanamchuki buree

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 7 หลายเดือนก่อน

    ccm na serikali yake imeharibu nchi sana kwa uongo ufisadi na uozo mwingi hakuna jema toka ccm milele

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nasubiri kuliona Jini , Uyu mchungaji mtakuja kumwelewa uko mbele.

  • @user-ei6my1ew3n
    @user-ei6my1ew3n 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe xi nimtu wamngu mbna unafik Bada umupongenze kazi nzuri

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ili chungaji Lina wivu pumbavu sana

    • @stephanokaaya1881
      @stephanokaaya1881 8 หลายเดือนก่อน

      Mchungaji wa mchongo. Jini ni wewe unaepotosha watu

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka umenifurahisha sana Kwa kauri ya Rais atoke kijijini.

  • @ElishaMwamfinga-wm8vl
    @ElishaMwamfinga-wm8vl 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli hili jini afadhali. Bashite TU

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiacha chuki unaweza ukawa msaada kwa taifa

  • @antoniafidelis9545
    @antoniafidelis9545 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mtumishi wa Mungu ila wewe ni mojawapo wa majini pia wewe ni fisadi.unatakiwa upigwe kwa jina la yesu.wewe ndiyojinii kabili

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mchungaji sio mchungaji mchungaji wa mungu huwezi kuhukum mtu ni wivu tu

  • @user-pj1tb5xz1t
    @user-pj1tb5xz1t 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe mchungaji endelea na kazi ya uchungaji kazi ya siasa waachie wenyewe .Hata kazi yako inakushinda.Comrade Makonda piga kazi achana na waliopitwa na wakati.

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 8 หลายเดือนก่อน

      Wachungaji ni miongoni mwa wananchi wa taifa hili wenye uhuru wa kutoa maoni. SIASA ndio maisha sasa una maana Mchungaji hatakiwi kuishi!

  • @christiankaguo4311
    @christiankaguo4311 8 หลายเดือนก่อน

    Askofu unakosea makonda anafanya kazi ya Mungu watu wanashida nyingi sana ambazo makonda anagusa mioyo watu.

    • @michaelmagwaza-bc6mk
      @michaelmagwaza-bc6mk 8 หลายเดือนก่อน

      Kwaani Mch, amekataa kua Makonda hafanyi kazi.? Ebu jibu hoja yake amesema anapogawa Pesa na kupiga Simu, Mama hajawahi kufanya ila Magufuri. Kwasababu hiyo anamkosoa Mama au anamfundisha kwa vitendo kwamba apigage Simu, au agawage Hera katka Ziara zake kwa Wananchi.

  • @ThomasErro-tx9td
    @ThomasErro-tx9td 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe hataww unamkubali magu, xx kwanini usimkubali makondaww

  • @gideonmwalusamba6861
    @gideonmwalusamba6861 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda yupo vizur sana jmn binadamu hatuna anawafuatilia viongozi kuwakumbusha wajibu wao kwa kuwatumikia wananchi ili wanufaike na nchi yao Tunamchukia.Makonda tupo tunaokuombea kaza zaidi Watu wataongezeka kuipenda CCM.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 หลายเดือนก่อน

      Unafurahia hayo maigizo?Nchi haiendeshwi kwa maigizo

  • @GamanielKatani-nw8ll
    @GamanielKatani-nw8ll 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani nyinyi viongozi kumbukeni kibwetele acheni siasa vinngozi acheni kashifa kama mtu kapewa uongozi na mungu hata iweje kiongozi wa dini unakashifu kumwita jini nimeshanga sana

  • @user-uv3oq1tv9z
    @user-uv3oq1tv9z 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna asikofu niuchafu wake mahasikofu. Huna aibu Kama mchungaji unakashifu watu iv wanao sali kwako nimbumbu Kama ww

  • @LovelyBassetHound-qg5tr
    @LovelyBassetHound-qg5tr 7 หลายเดือนก่อน

    Acha makonda afanye kazi yupo sahihi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 7 หลายเดือนก่อน

    Hata huko kuanza kuvaa kwake baraghashia sio bure kuna lengo , na ni habari ya election tu --- anakusudia kuiwin jamii Fulani kwenye election " anawaza election tu na sio Generation "

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 7 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi. Yeyote aliye towa damu za watu hawezi kupewa urais tulipata uhuru hata kuku hata mbwa moja hakufa leo tunadai katiba. Mnatuuwa mungu huyo huyo tunaye mwomba usiku na mchana atowe urais haitawezekana kamwe.

  • @ThomasErro-tx9td
    @ThomasErro-tx9td 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mchungaji anashida gani, makonda amemkosea nini, na acha makonda wetu anatufaa sisi wana ccm, na nchi yetu anatufaa cc inch yetu

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 8 หลายเดือนก่อน

      Makonda hatumchukii ila chama alichomo ndiyo jini lenyewe linaloangamiza na kutesa wananchi katika Taifa hili! Ukisema anakufaa ni wewe na ukoo wenu! Makonda ukimuweka kwenye ccm hafai! Ndiyo sababu alipoenda kanda ya ziwa alikuwa anatumia jina la Magufuli kuisafisha ccm na Rais kwa kivuli cha Magufuli! ili tuone kwamba wanamuenzi Magufuli kumbe ni uongo! Makonda yupo kwa mkakati maalum kutafuta kura za ccm uchaguzi ujao na wananchi wakilogwa kurudisha hili jini shetani ccm watajutia baada ya uchaguzi! Hivi wenye akili timamu hawawezi kuichagua ccm! na wenye akili timamu pia wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Hivyo msitudanganye na Makonda hutu yupo kimkakati baada ya uchagu tu hutaamini kumuona Makonda hayupo tena kwenye nafasi hiyo! atateuliwa kauzu mmoja atapewa nafasi hiyo na ahadi zote za Makonda zitaishia mifukoni! Subiria siku moja utakumbuka maneno haya!

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 8 หลายเดือนก่อน

      Makonda hatumchukii ila chama alichomo ndiyo jini lenyewe linaloangamiza na kutesa wananchi katika Taifa hili! Ukisema anakufaa ni wewe na ukoo wenu! Makonda ukimuweka kwenye ccm hafai! Ndiyo sababu alipoenda kanda ya ziwa alikuwa anatumia jina la Magufuli kuisafisha ccm na Rais kwa kivuli cha Magufuli! ili tuone kwamba wanamuenzi Magufuli kumbe ni uongo! Makonda yupo kwa mkakati maalum kutafuta kura za ccm uchaguzi ujao na wananchi wakilogwa kurudisha hili jini shetani ccm watajutia baada ya uchaguzi! Hivi wenye akili timamu hawawezi kuichagua ccm! na wenye akili timamu pia wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Hivyo msitudanganye na Makonda huyu yupo kimkakati baada ya uchaguzi tu hutaamini kumuona Makonda hayupo tena kwenye nafasi hiyo! atateuliwa kauzu mmoja atapewa nafasi hiyo na ahadi zote za Makonda zitaishia mifukoni! Subiria siku moja utakumbuka maneno haya! Hivyo ccm inaatuhadaa kwa sababu ya uchaguzi! Mkataba wa Bandari IGA ni haramu UFUTWE! Wasitudanganye Nchi imekuwa ya majizi kuuza rasilimali za Watanganyika.

  • @peter23mapunda79
    @peter23mapunda79 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani mchungaji mtu akiunga mkono utawala wa magufuli ni kosa mbona utawala ule ulikua mzuri sana mchungaji mbona sikuelewi na kama anaukosoa utawala huu shida nini

  • @anthonympemba8262
    @anthonympemba8262 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uchochezi katangaze neno la mungu

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe msenge sisi makonda tunamkubali/100/

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 6 หลายเดือนก่อน

      Sema wewe sio sis

  • @MohammedSaidKapere
    @MohammedSaidKapere 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi .hapo kuhusu dini. Ccm hawajahi kuwa na swala dini ndo awe Rais. Acha kupotosha watu. Hakuna mtu mjini. Watu wote wanatoka vijijini. Acha ubaguzi.

  • @festopaschal3801
    @festopaschal3801 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan anafanya hayo yote kama nn? Nalitawazuru kweli kweli hakna mtu hapo

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani kupiga cm sii ametumwa na mama, kwani hiyo pesa anayetoa sii anapewa na mama? wacha afanye kaz aliyotumwa na mama.

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mi nimekuelewa kwamba unatamani Makonda kuwa Rais baada ya mama Samia 🙄🙄

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mpakwa mafuta hawezi kuwa na Lugha kama hiyo. Unaudhalilisha Uaskofu. Looh !

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 หลายเดือนก่อน

      NI KOSA KUMFANANISHA MAKONDA NA JINI LA AINA YOYOTE ILE.

  • @adelgotingingo8396
    @adelgotingingo8396 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda kaka naipenda kazi yako ninjema na MUNGU atakulipa mema kama kazi yako ilivyo njema nakuombea usiku na mchana MUNGU akulinde sana kaka

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu simama

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 8 หลายเดือนก่อน +1

    Katibu muenezi kumlipa mtu ng'ombe maradufu,na kulipa gari jipya liloharibiwa na polisi, ni kutii maagizo kueneza propaganda kwa kutumia fedha zetu ili kujinadi kwa wema bandia kwa wengi wanaposikia habari hii. Magufuli alikua anagawa hela ktk ziara zake huku anaua upinzani

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi, wewe ni mtumishi wa kweli!? Unawezaje kumwita mwanadamu mwenzako kua jini!? Hata kama ni chuki umevuka mipaka! Halafu eti unawaongoza watu waende mbinguni, wakati mwenyewe Yesu akikuchukua kabla ya kufutabhiyo kauli utaishia shimoni! Tafakari kauli zako. Na unawachafua mioyo hao unaowaongoza.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mchungaji ni chizi kumbe anamwelewa sasa alikuwa anabwabwaja nn kumwota jini?

  • @user-oo3xt3yf6y
    @user-oo3xt3yf6y 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mtumishi wa shetani c mtumishi wa mungu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 8 หลายเดือนก่อน

    Unakuja vizuri lakin unaharibu Tena! Maovu gan Sasa? Masifa gan Tena? Hapo huwezi kunidanganya Makonda yupo vizur sana

  • @sirajismail3978
    @sirajismail3978 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nadhani ninyi woote ruho zenu mbaya TU kijana anafanya KAZI ya chama vizuri TU mwacheni kileele nyingi madhabaho yamekushinda si nenda kawe mchawi tu

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n 8 หลายเดือนก่อน

      Kama we ni mtumish wa Mungu wa kweli achana na siasa mtumikie Mungu alie hai siasa waachie wenyewe sikiliza Mungu ndio aliekuinua kupitia din sasautapotea kisiasa/kidin utaelea hapo ktkt huwez

  • @gracendaro
    @gracendaro 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanamapinduzi oyeeee

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 7 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mwaka huu utasema na bado hujasema😂😂

  • @elizabethmushi7424
    @elizabethmushi7424 8 หลายเดือนก่อน

    Kila mti wenye matunda lazima upigwe mawe ulishawahi ona mwarobaini kuna mawe ?? Mawe. Yapo kwenye mwembe na kwenye matunda Makonda ni mti wenye matunda ndo Mana inapimwa mawe

  • @JosephYagodoka
    @JosephYagodoka 8 หลายเดือนก่อน

    Kama ungekuwa ww ndio nimakoda ungekuwa unafanyeje ww. Acha habari za wanasiasa ww tuhubilie neno la mungu

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mchonganishi wala wewe sio mtumishi wa mungu wewe ni mwanasiasa ulie jificha kwenye dini. Chuki hazito kuacha salama

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu naye hana la kusema la maana kuhusu ni mabadiliko gani nci inahitaji na yeye kama mtu wa dini mchango wake ni upi, ama ni unyonyaji tu wa kutumia religious regressive tax? Watu kumtolea sadaka na yeye anajenga hekaru la kuishi? Lini watanzania tutaamka. Dini ni biashara siku hizi.

  • @esaumwakatobe3374
    @esaumwakatobe3374 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi naona una lako jambo na Makonda pia nimegundua jambo nimekusikiliza kwa makini sana. Sasa kulala Makonda Butiama na Raisi kuto kulala Butiama tatizo like wapi? Huo ni utashi wa mtu, kaendelee kueneza injili siasa haikufai vinginevyo unatafuta umaarufu.

  • @user-nb3od2px3l
    @user-nb3od2px3l 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mbona hivi!!!

  • @veronicabalele7844
    @veronicabalele7844 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda Kazabuti Songa Mbele Utpeleke Kwenye Nchi Ya Maziwa Na Asali

  • @user-ek4ed8yp1m
    @user-ek4ed8yp1m 8 หลายเดือนก่อน

    Watu kama Hawa wanaowatukana watu wakijiita watumishi nasema walaanniwe kwani wanaharibu maadili ya Nchi yetu.

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bora mara mia makonda awe raisi kuliko yoyote yule wa ccm

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 หลายเดือนก่อน

      Makonda bado ana akili ndogo.Apewe urais kwa lipi

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 7 หลายเดือนก่อน

    Watanzania acheni upumbavu hivi hamuoni kuwa makonda ni tapeli ni mtu anayejifanya mwema ila ni mtu hatari sana

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu askofu dishi huyu 😅

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 หลายเดือนก่อน

    Biteko Makonda na wabunge wengine ndiyo watakao leta kura kanda ya ziwa usicheze na wasukuma hilo Taifa kubwa kuanzia Tabora Shinyanga mpaka Mwanza wana msimamo wa ajabu chunga sanaaaa

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 หลายเดือนก่อน

    MAKONDA NO HURUKA YAKE, KUMBUKA ALIPO ANZA KUWA D.C. KINONDONI, MTINDO WAKE NI HUO HUO,WALA HAJI PENDEKEZI KWA MUG..KAWAIDA YA NYIE WATU NO KUCHAGUA WATU WASIO FAA,NDIO MMEISHIA HAPO,HAKUNA KUENDELEA,ILA NIMAJUNGU TH KWENDA MBELE , KILA KITU KINAPORWA, HAMUUNGANI KUHAMI. HOVYOOO

  • @fahminasser3855
    @fahminasser3855 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda hamtengenezei mama ila makonda anajitengenezea mwenyewe

  • @JosephYagodoka
    @JosephYagodoka 8 หลายเดือนก่อน

    Unaonaje wakupe ww huo ukatibu mwenezi naona unalopoka 2 unashidw kujibu maswali kwann?

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuelewaa ukweli unaongea kuhusu magufuli lkn tunakuponda unavomponda makonda

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 8 หลายเดือนก่อน

    Yupo sahihi.

  • @mangobase
    @mangobase 8 หลายเดือนก่อน

    Kichaaa kinaaza kimchezo mchezo... Acha mazoea makonda tunamfahamu uongozi wake hautofautiani na jinsi tunavyo mjua acha uongo Makonda anauthubutu.

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 8 หลายเดือนก่อน +1

    UMETUMWA WEWE!

  • @JohnMagelan-uz5ku
    @JohnMagelan-uz5ku 8 หลายเดือนก่อน +1

    We askofu kweli au tapeli Fulani?

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe makonda nikiongozi mzuri

  • @user-eh5ss4dw1c
    @user-eh5ss4dw1c 8 หลายเดือนก่อน +2

    Chapa kazi Makonda.Magufuli wa pili.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 8 หลายเดือนก่อน

    KATIBA MPYA

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa usalama wa Taifa hili huyu Pastor sidhani km ni Raia mwema..ni Mtu mchonganishi.. ni mgombanishi... please take law and action to this man😮

    • @ElishaMwamfinga-wm8vl
      @ElishaMwamfinga-wm8vl 8 หลายเดือนก่อน

      Usalama wataifa wanakz kama gekuli watupe majibu

  • @user-ey8zi1es4p
    @user-ey8zi1es4p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wanainchi Kule ngorongoro na loliondo Wanainchi wamefirisiwa na watu wa Tanapa na maeneo pia ya watu.aende uko makonda panamfaa akasaidie uko wanahitaji msaada mkubwa

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Hoyeee pga kaz kjana

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo unataka viongizi wasiofanya Kazi hivi na nyie waaandishi watu kama Hawa wanachafua viongozi wasihoji ni ujinga na uzalilishaji simpendi huyu mtumishi jinga kabisa

  • @KhalfanNahay-ol4lq
    @KhalfanNahay-ol4lq 8 หลายเดือนก่อน

    Correction wawaeLeze

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe unawivu kwamakonda.hata ufanyeje makonda yuko juu

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 8 หลายเดือนก่อน

    Nahisi anautamani urais baada ya awamu ya mama, atampa shida mama kupendekeza mrithi muda ukifika, kimatendo na maneno , lkn hisia tu😮

  • @khamisikhalfan4720
    @khamisikhalfan4720 8 หลายเดือนก่อน

    Duuuh kumbe hata kanisani viongozi wake wanamajungu kiasi hiki

  • @peter23mapunda79
    @peter23mapunda79 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi mbona sikuelewi mchungaji

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni upuuzi mnamsifia makonda Hera anazowapa watu huko anakofanya ziara ,anazipata wapi? Ni wazi ni Kodi zetu.

  • @nshoyachacha3497
    @nshoyachacha3497 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu Askofu ana matatizo. Anatuhumu mwanasiasa bila kujua kuwa kazi ya uasikofu ni kuwaunganisha watu wote bila kujali itikadi zao.
    Kama Makonda anaweza kufanya kazi zinazopaswa kufanywa na mwenyekiti wake kuna ubaya gani?
    Mama Samia atapata ushindi wa kishindo mwaka 2025 kutokana na uthubutu wa Makonda. Hapo Mama Samia atakuwa amepoteza nini.? Kama mfumo wa Maguduli ndiyo unapendwa na wananchi kuna nongwa gani mwenyekiti wa CCM kutumia Makonda ambaya ni mwenezi wake kuutumia na kukipatia chama Chao umaarufu.
    Askofu achana na uaskofu na ujiunge na siasa. Acha kutumia kanisa kueneza chuki. Hujui unachoongea .Subiri October 2025 na ndipo utajua hajui

  • @FedyKafyulilo-iz2nw
    @FedyKafyulilo-iz2nw 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni kiongozi bora ila huyu jamaa ukimfuatilia anavisa binafs na makonda

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 8 หลายเดือนก่อน

    Ameongea maneno mazito sn Makonda anajijenga mwenyewe ana lengo lake huyu mwamba asipo angaliwa ccm itapitia wakati mgum sn hususan miaka 5 ijayo kama Samia atarudi madarakanj

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtumishi ukimpa kijana wa kanisa lako akiwa mhubili mzuri waumini wakimkubali unamfukuza mapema mbn hiyo ni wivu na roho mbaya kwani wewe makonda anakukela nini kusaidia watu au nini shida

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 8 หลายเดือนก่อน

    Ww ni mchawi sio mtumishi wa mungu acheni ujinga baba mtu mzima huna akili kama mtumishi wa mungu huna hekima

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani hekima ikoje

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda chapa kazi

  • @charlesgasper-wo9hc
    @charlesgasper-wo9hc 8 หลายเดือนก่อน

    Nnyie wenye vituo vyarediyo kwaninI munapendakuhoji watu vichaavichaa wasio. nafaidayoyote kwenye jamii walamagundisho yoyote wamejaa hiyananaubinafisi wachuki huyo anayemuita jini nimwanasiasa yeye etini mchungaji sasa.chuki zinakujaje?

  • @user-sq3uo6zp6y
    @user-sq3uo6zp6y 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda mtetezi wa wanyonge

  • @JosephYagodoka
    @JosephYagodoka 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni jembe piga kazi kaka nafulahia sana kwa kazi unayopiga kaka

  • @JohnMagelan-uz5ku
    @JohnMagelan-uz5ku 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Yuko sawa

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 8 หลายเดือนก่อน

    Halloo😮

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama unamkubali mghufuli kwa Nini unamkataa makonda

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 8 หลายเดือนก่อน

    Yoyote anayesema jambo jema kwa ubaya mtazame kwa jicho la tatu maana ni wazi hatoshi; kwani Makonda sio jini ila ni jambo jema kwa taifa na ni ushindi kwa CCM 2025