🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @MongelaMasanja-dr8fd
    @MongelaMasanja-dr8fd หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali sana kamanda wangu ,Hakika idara unaitendea haki

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 หลายเดือนก่อน

    Sio kazi yao

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la polisi linafutwa?

  • @Thewonder-t7l
    @Thewonder-t7l หลายเดือนก่อน +5

    Yani hamna jipya hapa. swala la mzee Ali limeitingisha serikari, unajuwa ni kwanini? ni kwasababu ni jambo ambalo limetangazwa na tv za kimataifa, kawaida ndio maana Tanzania serikari inatudanganya kwamba ni nchi ya amani na haruhusu media za nje kuonesha yale maovu yanayofanywa na police, hivi kuna amani namna gani wakati watu wanaendelea kutekwa? Serikali ya Tanzania inatumia sana psychological manupulation yani hii ni kuwaonyesha waTanzania waogope kuhoji yaliotokea lakn kwa sasa kinachohitajika ni ukweli na kumuona IGP akijiuzuru.

  • @AkishapendoMollel
    @AkishapendoMollel หลายเดือนก่อน

    Usalama wa taifa ndiyo wauwaji wakubwa.pili ni majambazi hatari.tunawajua.

  • @ndorobo205
    @ndorobo205 หลายเดือนก่อน

    Ushaur wangu wanapokamatwa wachomwe sindano za sumu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน

    Wachomwe sindano za sumu

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน +1

    Nako ka TV haka mmhh

  • @hugholinemmasi1671
    @hugholinemmasi1671 หลายเดือนก่อน

    Kama jeshi liitatumika HAKUNA HAJA NA JESHI LA POLISI TENA.HIYO TAASISI IONDOLEWE.

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna lolote