Tunakutakia kila la Heri baba ASKOFU Ndizeye ...umefanya kazi nzuri Sana na tabasamu lako ni ishara tosha umejaa upendo wa Kimungu ndani mwako. Baba yangu alikuwa ni Katekista parokia ya Kibondo ni mengi niliyaona kutoka kwako upendo wa dhati kwa watu walioko chini hakika wewe ni chaguo la Mungu na WA kuigwa . Kahama mmepata jembe la KAZI Mungu awabariki nyote na BABA yetu Christopher Ndizeye.
Tunakutakia kila la Heri baba ASKOFU Ndizeye ...umefanya kazi nzuri Sana na tabasamu lako ni ishara tosha umejaa upendo wa Kimungu ndani mwako.
Baba yangu alikuwa ni Katekista parokia ya Kibondo ni mengi niliyaona kutoka kwako upendo wa dhati kwa watu walioko chini hakika wewe ni chaguo la Mungu na WA kuigwa . Kahama mmepata jembe la KAZI Mungu awabariki nyote na BABA yetu Christopher Ndizeye.
Hongera sana Mhashamu Baba Askofu kwa utume wako.
Hongera Baba inaonyesha namna gani Mungu alikuchagua tangu Utoto wako
Hoengera baba Askofu
tunaomba pia stori ya askofu minde
Keep up baba askofu