viongozi wa Kiroho Maskofu na mapadri niwaombe kusimamia vigelegele kucheza kusiko kuwa na afya ndani ya kusali mara mbili kupitia wimbo mimi nafikiri ni bora kama huimbi kaa kimya utafakari wimbo kuliko kupiga makelele hasiyo isha wakati wimbo unapoimbwa.Tuombe sana sana Roho Mtakatifu aweze kutuongoza katika hili
Soma vizuri biblia usitoe hoja Kama hujui biblia ukisoma isaya inakwambia piga kelele usiache na upaze sauti Kama,na zaburi ya 47:7 inakwambia imbeni kwa akili na zaburi 150 inakwambia kila mwenye pumzi na amsifu Bwana,.acha watu wamfurahie Bwana mbinguni hakuna tafakari au kukaa kimya nikumsifu Bwana mda wote,usiwe mtu wa mapokeo aliyo yakataa paul
Catholic choirs are nowadays the best at singing and dancing.Something that was unheard of in the 70s. Things change indeed 👏
Waoooo kua mkatoriki Raha sana
Safi sana kondaksta na mpga kinanda hongeleni
Asante wanakwaya wakatoliki.. hapo ndio nasikiaga na kuona uzuri wa katoliki. Mbarikiwe sana
Safii nimeinjoy kwakweliii
Good job 👏 👍
Catholicism and indeed evangelisation at its zenith
🛐🙏❤️
Wonderful mass much blessed
Lovely 🤩
Safi sana
Yes
Benedict wako vzr sn nawakubali sn hasa huyo kwaya master anajua kuwaongoza vzr wenzake
viongozi wa Kiroho Maskofu na mapadri niwaombe kusimamia vigelegele kucheza kusiko kuwa na afya ndani ya kusali mara mbili kupitia wimbo mimi nafikiri ni bora kama huimbi kaa kimya utafakari wimbo kuliko kupiga makelele hasiyo isha wakati wimbo unapoimbwa.Tuombe sana sana Roho Mtakatifu aweze kutuongoza katika hili
Huu ni wimbo wa kushukulu so furaha zaidi na vigelegele. We sio mkatoriki nini!!? Nyimbo za roho mtakatifu zipo na za ukimwa zipo pia
Soma vizuri biblia usitoe hoja Kama hujui biblia ukisoma isaya inakwambia piga kelele usiache na upaze sauti Kama,na zaburi ya 47:7 inakwambia imbeni kwa akili na zaburi 150 inakwambia kila mwenye pumzi na amsifu Bwana,.acha watu wamfurahie Bwana mbinguni hakuna tafakari au kukaa kimya nikumsifu Bwana mda wote,usiwe mtu wa mapokeo aliyo yakataa paul
Kweli kabisa umenena vema,, nashangaa mtu anasema vigeregere sio!! Huyo sio mkatoriki inaonyesha.
Nashukursana kanisakatoriki limenitoambali
Mungu hana kanisa ndg Mungu anaangalia moyo unao mtukuza na usio tenda dhambi,tujifunze sana hili hasa sisi tunao dhani kuwa dini zetu ni za kweli,
No comments,
Best
Najivunia sn ukatorik wangu
Nzuri ila nilicho fundishwa ukiona ekarist inaenda taberinqkul innabidi upige magoti au mi ndo nimekalili vibaya
mt benedict kwaya bugando hooyee
Wapi hapo
Nimeamini kama na pona