Yani uzidi kubarikiwa apostol mungu akuzidishie,,na haya huyo mama mwenyezi mungu azidi kubariki nakumtembelea usiku na mchana asikose mema katika jina la yesu kristo
Wajane tuko wengi but mungu hatatuacha, bwanangu alikufa 16 years ago, siku ya mazishi tulipo Zika mother in law aliniabia mambo yake na yangu kwisha aliye nileta kwake ameeda, hiyo siku nillirudi nyumbani na mtoto wangu wa 8 month, sahii nashukuru mungu hakuniacha sahii mtoto wangu alimaliza form 4 last year, nimenunua kwangu nimejenga, mother in law aliyenifukuza yuko vile vile na mashinda zake na manyumba yake ya matope
Dan now this is what we call humanity. May God bless you. Prayers of a widow, God ALWAYS Listens.
Prayers from a widow....apostle you're already blessed...
😢😢😢 mtoto mdogo hata pesa Una weee..pesa itafutwA walai
Oooooh Mungu bless us so that we can bless our family .our parents are really suffering 😢😢😢
May God bless this mum
Yani uzidi kubarikiwa apostol mungu akuzidishie,,na haya huyo mama mwenyezi mungu azidi kubariki nakumtembelea usiku na mchana asikose mema katika jina la yesu kristo
Dan be blessed in Jesus name
God sent you there. With her prayers you cant luck Dan🙏🏽
She is emotional.
Thanks apostle Dan kwa kumbariki.
Mungu awakumbuke
Dan may Almighty bless you oh, guys HK mini support pia
Dan I want to be part of this blessings... indeed this is is great work
Nataka tithe yangu iwe ikibariki watu kama hawa, apostle tukupate aje i mean your contacts,may almighty God bless you
Kuna nambari yake ya simu kwa description ya channel
now I understand that a husband plays a huge role in the family
Not all
Always husband plays big role but women doesn't know
May God never fail you❤
Waa nimelia haki Dan blessings za huyo mjane umezipokea bro you are going far far 🙏🏾
Waaaah haya matendo za Apostle hufanya pia mimi nilie sana. Apostle na azidi kutenda wema
Dan I have followed you for sometime, may God bless you.
Apostle Dan mungu akubariki kwa.yale unatenda
May God continue to strengthen and provide for the widows and orphans
Be blessed 🙏 Dan
May God bless you man of God
Hadi nmelia mm pia ....mama usiwahi kata tamaa yamaisha ...mungu yupo atakubaliki
Dan wema you a blessing to more people. Ilove this one ,,GOD BLESS U MORE.
Mungu akubariki Sana pastor 🙏🙏🙏🙏
Wow!! Natoka hiyo side ya Sang'alo
GOD Bless you Apostle Dan Wema🙏🙏🙏💯
Wee ata mm napokea hyo blessings 🤲🤲 one day ntakua wabarka in Jesus name 🙏
Ubarikiwe done wema❤❤❤❤❤
Amen Dan you'll be blessed coz this words
Amen 🙏🙏
My God continue to bless you every day
May God bless you apostle God bless you ❤❤❤❤❤
God bless you apostle Dan, you mean good to the society
God bless you apostle
Deep !!!!
Even greater blessings in Jesus Christ
Amen. Parikiwa saana Wema
May God bless this mu.
Blessings 🙏🙏
God bless you
May Godbless you
Apostle God rewards you wherever you are
Mungu akubariki mtumishi
Mungu akuinue kimaisha
May God bless you pastor
mama anasema mtoto mdogo tu yani anashanngaa sana
Bro let God bless u so much u are doing good job
Good work job ❤❤
Bwana Yesu asifiwe milele na milele Amen Amen 🙏❤️
God blss u aki dan wema
Na Leo Tena 🎉
😭😭😭very touching
Mungu akubarika Dan wema for helping this mamaa
May God bless you
Be blessed wema ❤
My God bless you
Sandi. Saana Wema kumjua.Mchungaji mwema anaitwa ,Yesu.
My God bless you Dan wema
God is good all the time
Soo emotional huyu mama ni mwokovu
May God bless you Ndugu DAN
Good job ❤❤
Barikiwa Sana apostle
Be BLESSED mtumishi Dan
Apostel dam mungu akutie nguvu usaidia wengine
May God bless you Apostle Dan
This touched me
May God bless you pastor Dan wema
Be blessed mtumishi wa Mungu. Utume wako ubarikiwe 🇹🇿
Mungu wa wajane Dan akubariki
Amen
May our most high open more doors for this mama na San wema
Napenda mungu baba
Ubarikiwe
Be blessed Dan wema
😂😂wenye wako uezo plz help huyu mama
ALLAH AKUBARIKI BROTHER
May God remember her aki. She needs God's favour
The prayer of a widow direct Kwa Mungu ❤
Wajane tuko wengi but mungu hatatuacha, bwanangu alikufa 16 years ago, siku ya mazishi tulipo Zika mother in law aliniabia mambo yake na yangu kwisha aliye nileta kwake ameeda, hiyo siku nillirudi nyumbani na mtoto wangu wa 8 month, sahii nashukuru mungu hakuniacha sahii mtoto wangu alimaliza form 4 last year, nimenunua kwangu nimejenga, mother in law aliyenifukuza yuko vile vile na mashinda zake na manyumba yake ya matope
Ooh my God 😭😭😭😭😭
So emotional 😢
❤❤❤
Woii machozi ya furaha
Good job Dan
God will help mum
God bless the windows
Ooh God😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😢😢😢
😢😢😢😢😢😢sina ather Wayz
Alleluia belong to Jesus
I felt it
Mbariki paster
Emotional
😢😢😢😢😢😢dah
Kutoka zanzabar nafatilia Pasta Dan wema
A wise person once said if its free your the product: think about it
Ubirikiwe😪😪😪😪🤭🫢
Wow
😭😭😭😭😭😭😭
God will make away