Ukiangalia wale hawasaidii ata hawajabarikiwa.angalia hizo salon za wenye wamekataa,that’s why wengine huishi maskini juu hawajui kusaidia,,wakitoa sadaka kanisani na tithe wanasema hiyo ndio kutolea Mungu . Saidia mwenye unaona ana shida na Mungu atakubariki
Blessings come back.. huyo mama wapili anakaa kwa simu tu.. shame on her. Thats lack of respect. When someone talks to you. You should look at him ujue ni nani na anataka aje..
Apostle..ata baada ya kusema kindly...that secobd lady is soo arrogant.....even customer care...zero ..she is busy on phone....cant rven look at the customer 😮
She didn’t even think twice . That’s a genuine soul
Sio lazima uwe tajiri ndio upeane kupeana n roho,ona christine hana mashwali mingi,n enda uwalete, God bls u apostle Dan
Hakika huyu dadaa ni mtu, ALLAH ambariki sana,na brother ALLAH akubariki
Ukiangalia wale hawasaidii ata hawajabarikiwa.angalia hizo salon za wenye wamekataa,that’s why wengine huishi maskini juu hawajui kusaidia,,wakitoa sadaka kanisani na tithe wanasema hiyo ndio kutolea Mungu . Saidia mwenye unaona ana shida na Mungu atakubariki
Kwza Hyu amedanganya salon c yke alkua freemode fb😂😂😂
Nimejifundisha mambo mingi Sana Kwa hii channel ya Dan Wema 😢
Uchoyo Unaendeleza Umaskini😭. Ukarimu Uongeza Kipato🥰
A beautiful girl with a beautiful heart be blessed 🙏
You are a blessing to many continue with the spirit
Christine is so pretty and hata she didn't argue.
Na aki umetenda wema umeenda zako,,,ubarikiwe sana ata kama sijabarikiwa wacha niseme mungu akubariki zaidi.
Baraka inaondoka tu ivo ehe mwenyezi mungu tunaomba utupe moyo wa utu dada barikiwa❤
Mrembo much blessings. DAN GET BLESSED FOR THE GOOD WORK
Apostle Dan you teach us much you are a blessing to many
Blessings come back.. huyo mama wapili anakaa kwa simu tu.. shame on her. Thats lack of respect. When someone talks to you. You should look at him ujue ni nani na anataka aje..
Mamamia kwa simu tu yawa
She has a clean heart,,
New subscriber dan may you never lack 🙏
Wonderful
Wakamba roho Safi wamefikiwa 😂😂😂😂
Mumetuangusha
The third lady is so cute😍
Aki Dan barikiwa sawa mungu awe na wewe ata Mimi naweza penda kufanya Kama wewe lakini pesa zinanikataa😢😢
Hata wenye wanasaidia huwa ni warembo na roho safi
Good work Dan
God bless you apostle.it is well,blessed is the heart that giveth.
Dan be blessed
mama mnono roho chafu
Christine watu roho safi.. my name sake may you never lack siz 🙏
Nice
Be blessed apostle
Good girl i like her ❤ roho safi
Christine mungu akubariki kuwa na roho yaupendo huna maswali mingi, Apostle ungetwambia saloon iko wapi
Alafu huyu wa Kwanza hata anabembelezwa tu kuongea.......
Anaongeleshwa anafungua machine.....
Good job
Imagine apostle anabeg kupea mtu pesa, Kenyans be serious plis how will 300bob cost you aki
Apostle..ata baada ya kusema kindly...that secobd lady is soo arrogant.....even customer care...zero ..she is busy on phone....cant rven look at the customer 😮
Dan umenifuza somo God bless you.
Katoto karembo karimu kitu ingine
Tenda wema nenda zako be blessed
Na dan si uwachane kutafuna tafuna bana
Mwanamke WA pili pia roho chafu
Amen
Brother umenifundisha vitu vingi sana
Dan umefika athiriver??Anyway congratulations for ur work
My big question hao watu hubaki wakisema nni
Wow
Baraka imeeeda ivo
Ameeeen
Si ata kama utasaidia mtu unamuongelesha tu vinzuri aki kuchana tu mtoi aki watu wako na roho
Hizi sweet unakula zinaudhi be a bit professional
Pia Mimi nimesikia kitu kama hiyo, ana tafuna sana😂
Bana.!. kama kitoto. Zinafanya wamchukulie kuwa mkora ju ni io ni kutojiheshimu.🤦🏾♂️.
😂😂❤
Aki wamama wengine anafinya simu na hana mteja
Watu Wa saloon Wengi wao ni wachawi very useless
😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Next wakikataa wabie ulikuwa unafanya sociol text uwaonyeshe ndoo zenye ulikuwa unataka kuwabaliki nazo hope watasoma kitu
Lets help
Nimekuomba test Sasa ninaona umeshikana sana.tafuta nafasi napatikana ruiru FORTYJESUS
🎉🎉🎉🎉 congratulations kamama God bless you
Kama Hawa uwe ukiwapea 1k wale wenye shida nyingi ndo waongezee
Pongezi Dan
Be blessed apostle