DUDUBAYA Prt2: AWACHANA SALLAM SK, BABA LEVO KUMTUKANA MAJANI/AWAKINGIA KIFUA DIAMOND NA HARMONIZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 193

  • @dunialoguelwangila5953
    @dunialoguelwangila5953 2 ปีที่แล้ว +33

    Dudubaya unaongeya lamaana sana nakupenda sana apo😆😆😆🇨🇩

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +19

    Dudubaya is a genius.... we missed you saana ukiwa "Ukraine"... Kenya bado tunakutambua saana, from Seattle USA... zidi kuwapa hekima watoto wa jana!! (Nakupenda Tu).. tulicheza saana iyo ngom huku Kenya kitambo hicho kwa club saaana.

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว

      Mr Putin

  • @abedmzungu9057
    @abedmzungu9057 2 ปีที่แล้ว +12

    broo uko vizuri sana nafatilia sana interview zako huwa hupendi kupidisha mambo

  • @SamirBSam
    @SamirBSam 2 ปีที่แล้ว +15

    Mwanzo mwisho inaschekesha 😂😂😂🤣🤣🤣Salam sk amesha divorce mara 4 wale wanawake na watoto wanamlelea wenzake wanaume😂🤣🤣🤣

  • @nasramsomalizulkhan4741
    @nasramsomalizulkhan4741 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwenye akli DUDU BAYA unayo vizuri kabisa

  • @AhmedSalah-wm6tq
    @AhmedSalah-wm6tq 2 ปีที่แล้ว +7

    Konki Master umejua kuwajibu wasenge hao wanajisahau sana kujiona hakuna kma wao

  • @bobosu3235
    @bobosu3235 2 ปีที่แล้ว +10

    Mziki wa zamani ndo ulikua mziki uyo Salam sk umekosea kumgusa majani apa mziki usonge mbele bifu siyo mpango

  • @eliadamian1413
    @eliadamian1413 2 ปีที่แล้ว +7

    Wewe mtangazaji fuata taaluma yako acha uchochezi wa kijinga

  • @abouayman8713
    @abouayman8713 2 ปีที่แล้ว +7

    uyu dd baya n kaka wa taifa

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 ปีที่แล้ว +5

    Yan we mdudu Leo umeongea vizur xana mpaka nmekupenda!! Leo umeongea point zenyewe!

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 2 ปีที่แล้ว +13

    Sema dudu ni mkweli sana kama jambo halijui haliongelei hivyo hamuonei mtu

  • @ndegeofficial9928
    @ndegeofficial9928 2 ปีที่แล้ว +7

    Afu akiwa hajalewa ndo interview zake zinakuwa smart Sana

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว +1

    Konki leo kanufurasha yaani sema kweli watu ongea wanana break viboroto hii baba leo kasema

  • @masoudissa9272
    @masoudissa9272 2 ปีที่แล้ว +8

    dudu baya unaongea fact sana jamaa nakukubali xana

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwel dudu baya mwana halakatii sanaa mkwel sana

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 ปีที่แล้ว +6

    Wasanii na wanahabari wengeungana na koniii, wengeboresha maisha yao kwa kutokudhulumiwa haki zao!!

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa anaongeaga ukweli tu sema huwa hawamkubali watu

  • @allybulushi624
    @allybulushi624 2 ปีที่แล้ว +4

    Yani nikituwa tz makutafuta dudu

  • @allymawazo7189
    @allymawazo7189 2 ปีที่แล้ว +15

    Genius Dudu

  • @samwelmagima6081
    @samwelmagima6081 2 ปีที่แล้ว +3

    Dudu baya nakupenda sana broo msema kweli wewe ni njembe kama hayati magufuli mungu akubaliki

  • @ndegeofficial9928
    @ndegeofficial9928 2 ปีที่แล้ว +4

    Unajua kila taarifa bro haya ya sk nkuwa sijui

  • @jovinjunior4067
    @jovinjunior4067 2 ปีที่แล้ว +3

    wasafi mafala. wametepweta. sisi ndio tunajua mziki ulipo toka. hawa wasafi maboila tuuu. mambwa

  • @Mahenyamediatz5381
    @Mahenyamediatz5381 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka mamba ze dudu Mungu huwa analipa hapa hapa duniani , baadhi ya media walikuzushii mkorofi na kuleta chuki juu yako saivi umegeuka dhahabu kila media inatamani enteview na ww Mungu mwema

  • @emmanuellusambya7889
    @emmanuellusambya7889 2 ปีที่แล้ว +10

    Très sage le gars😁😁😁😁😁! Big fun from Kinshasa. "Nakupenda tuu, gisi ulivo nakupenda tuu, sura kama ngumi...🤣🤣🤣🤣" Shoutout Legend🙏🏼✊🙌

  • @thomasdenice9185
    @thomasdenice9185 2 ปีที่แล้ว +1

    Puttin endelea kuikomesha marekan na washilika wake Nato Dudu weee mbya kinouma unaogea fact kama brother mtaa inakukubali kaka

  • @mikemakungu2061
    @mikemakungu2061 2 ปีที่แล้ว +3

    Zamani nilikua najua Dudubaya no mtu mbaya sana lumber jamaa ana madini sana tangu nianze kufuatilia interview zake nimemuelewa hongera kaka endelea kuwa elimisha wadogo zako

    • @elkk3097
      @elkk3097 2 ปีที่แล้ว

      100%

  • @zindabilonda4844
    @zindabilonda4844 2 ปีที่แล้ว +6

    Una akili konki nakupenda sana APA congo

    • @zindabilonda4844
      @zindabilonda4844 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba zenu za watsapp

    • @elkk3097
      @elkk3097 2 ปีที่แล้ว

      🤸🤸🇺🇲🇺🇸

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 2 ปีที่แล้ว +7

    Very funny, mtu mzima dawa

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza unasainije mkataba usio kufaa??

  • @remyndaribike3964
    @remyndaribike3964 2 ปีที่แล้ว +8

    Dudu Kiukweli nimecheka mpaka nikalia 🤣🤣🤣🤣 konk âme divorce Mara 4

  • @user1158
    @user1158 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unaongea sanaa ..uliza swali fupi then mwache mwamba atoe madini...Dudubaya yuko vizur

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 ปีที่แล้ว

    Your matured bro nice SN Kaka upo matured mnoooo kichwani huo ndo ulegend tunaoutaka Kaka fact still fact MTU Leo huwez simama Leo unamdis P FUNK LEO NOOOO

  • @mickyboytz247
    @mickyboytz247 2 ปีที่แล้ว +5

    Dudubaya namkubali sana 😂😀😀😀

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 2 ปีที่แล้ว +4

    Mamba oilchafu yani unaongea kama watu 100🔥👍

  • @sananasanana9227
    @sananasanana9227 2 ปีที่แล้ว +3

    daaaa ginues

  • @fasterdeule8503
    @fasterdeule8503 2 ปีที่แล้ว +3

    Leo umeongea nimekuelewa. Umemlinda p funk.. 🤧

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +2

    Dudu baya amekuja kunichekesha tu😂😆😆😆😆

  • @joelymgidulla3509
    @joelymgidulla3509 2 ปีที่แล้ว +7

    Unashindwa kuelewa dudu baya baba levo anaongelea ushabiki kwamba yeye aliongelea hasira sio kwamba hana akili usitumie nguvu kubwa hvo kumjib baba levo

  • @caprice2558
    @caprice2558 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa leo kaongea point sana na ana furahisha kip it up bro Mzee wa Oil chafu mambaaaa

  • @abbyjma7355
    @abbyjma7355 2 ปีที่แล้ว +2

    mwamba kaongea 🤔 kuna muda jamaa anaakili sana

  • @eliadamian1413
    @eliadamian1413 2 ปีที่แล้ว +4

    Uliza maswali kama mwandishi wa Habari…

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +4

    Dudu big up

  • @Dyno251
    @Dyno251 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukivunja mbavu zako mm simo subscribe hii page ili uwe wakwanza kupata video zangu 🙏🙏🙏

  • @mubarakahussein9950
    @mubarakahussein9950 2 ปีที่แล้ว +3

    Haahahahahahahhahah dah aise 😅

  • @felixmsigwa8646
    @felixmsigwa8646 2 ปีที่แล้ว +3

    ukosawa sana broo

  • @shedykaaya5052
    @shedykaaya5052 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazungumza ukweli safi Sana👍

  • @ndolimwakijuja7948
    @ndolimwakijuja7948 2 ปีที่แล้ว +3

    Dud baya 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @bwizaparadise4193
    @bwizaparadise4193 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe machawa munajuwa kama munaropokaga sana 🤣🤣🤣🤣

  • @mselaproshabani8346
    @mselaproshabani8346 2 ปีที่แล้ว +3

    DUDU BAYA, ONGELEA MZIKI WA BONGO NA ACHANA NA SIYASA,

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 2 ปีที่แล้ว

      Sasa siasa iko wapi hapo.

  • @evansbuninange7125
    @evansbuninange7125 2 ปีที่แล้ว

    Brother una kichwa kikubwa sn chenye madini ya thamani kubwa..

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyuuuu dudu baya ni Oskido wa South Africa au Snoop wa America

  • @manenochuma1878
    @manenochuma1878 2 ปีที่แล้ว +3

    Salute kwa dudu baya

  • @innocentoisso6869
    @innocentoisso6869 2 ปีที่แล้ว

    Mamba issue ya P fank kutukanwa na baba levo umeongea point sana kweli dogo hakufanya powa

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 2 ปีที่แล้ว +2

    Chizi karogwa tena ebu tulia maneno weka akiba

  • @mwajabummbaga6302
    @mwajabummbaga6302 2 ปีที่แล้ว +2

    Putin,nakuelewa saaana,unaongea point saana,@harmonize_tz uje uone huku

  • @chuwagoodgood3524
    @chuwagoodgood3524 2 ปีที่แล้ว +4

    Yaaa nimekuelewa dudubaya

  • @shukulusonza6079
    @shukulusonza6079 2 ปีที่แล้ว +2

    Dudu baya kumanisha nini

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 ปีที่แล้ว

    Dudubaya ni mtu anaeongea VITU Kwa uhalisia

  • @anthonbudoda3420
    @anthonbudoda3420 2 ปีที่แล้ว +2

    Ulicho ulizwa na unacho jibu tofaut

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 2 ปีที่แล้ว

      Anthon Budoda@ Wewe pekeyako ndio humuelewi ila Sisi Tuna Muelewa..

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +12

    KONK!KONK!KONK MASTER!

  • @yohanakomando4942
    @yohanakomando4942 2 ปีที่แล้ว +2

    Dudu baya unaongea point sana

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwandishi nae unaongea sana

  • @yuzzohcrayze
    @yuzzohcrayze 2 ปีที่แล้ว +1

    Konki

  • @omarkalita5340
    @omarkalita5340 2 ปีที่แล้ว +1

    Konk Konk master oil chafu ukichafua itakuchau👍

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +1

    Dudu baya ni P dank nikama Doctar Dre wa America au Oskido wa South Africa

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 2 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅koki so funny aisee

  • @jazbaa7601
    @jazbaa7601 2 ปีที่แล้ว +2

    Dudubaya safi

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mzuri.
    Hasumbui wala kukatakata mtu kwenye interview

  • @evansbuninange7125
    @evansbuninange7125 2 ปีที่แล้ว

    Dudu baya heshima yako ni kubwa sana kwa watu wenye uelewe na wny akili. Wewe ni wewe

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 ปีที่แล้ว +1

    Mamba unaniua😀😀😀😆😆🤣🤣

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 2 ปีที่แล้ว +1

    Genius konki nakukubali saana mwamba😎😎🤣🤣

  • @bennytiberi7673
    @bennytiberi7673 2 ปีที่แล้ว +2

    Sanaa baba

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ngoma Moto🤣🤣🤣🤣sija imenyaa aisee ama ndiyo mdundo wa ngoma zetu😋

  • @julesjaruloplk943
    @julesjaruloplk943 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana dudubaya. Wewe mkweli kabisa

  • @bahatibahati5217
    @bahatibahati5217 2 ปีที่แล้ว

    Mwanza mwanza kisesa bujora home 🏡🏡🏡🏡🏡🏡 konk konk master bedroom door

  • @rasmorgan9720
    @rasmorgan9720 2 ปีที่แล้ว +1

    Dudu mbaya ni comedian kiplani.umenivunja mbavu.🇰🇪

    • @elkk3097
      @elkk3097 2 ปีที่แล้ว

      100%🇵🇰🇵🇰🇵🇰🇵🇰

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว

    Dudu zuri
    Oil safi
    Konki Masta Putin
    Huyu jama ana akili nyingi sana Alafu yupo humble sana.
    Hio cheko yako unaweza itumia kwa biashara pia kwenye intro music

  • @mohammedathman5816
    @mohammedathman5816 2 ปีที่แล้ว +2

    Big up brother

  • @ibrahimmbango9117
    @ibrahimmbango9117 2 ปีที่แล้ว

    kama kuna siku umeongea point ni leo rispect broo

  • @zebakimuzic
    @zebakimuzic 2 ปีที่แล้ว +2

    Konk hafungwii ndomana💅💅💅💅

  • @YohanaCharles-zx3py
    @YohanaCharles-zx3py ปีที่แล้ว

    Dudubaya wewe ninoma unaongea ukweli

  • @naamanbenzema9331
    @naamanbenzema9331 2 ปีที่แล้ว

    Big up wanahabari interview znatufanya tuenjoy na tuwajue wasanii wakongwe na wapya wanauwezo gan wa kuongea na akili zao.safi sana dudu baya uko poa.

  • @kapumbirakapumbira6403
    @kapumbirakapumbira6403 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah nime cheka san😅😅😅😅

  • @ronaldwilliams6242
    @ronaldwilliams6242 2 ปีที่แล้ว +2

    Respect Putin

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +1

    dudu baya nimekuelewa vizur sana

  • @tompatel849
    @tompatel849 2 ปีที่แล้ว

    huwa naenjoy na kucheka sana nnapochk interviews za brazza konki🤣😂

  • @milanzisalum9305
    @milanzisalum9305 2 ปีที่แล้ว

    Daz kendo Allah, 2002

  • @rafelzone274
    @rafelzone274 2 ปีที่แล้ว +2

    Booster hapo nitengeze channel

  • @augustinompuju7603
    @augustinompuju7603 2 ปีที่แล้ว

    Unajua kujibu maswali💥💥💥

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 ปีที่แล้ว

    Interview za nyie wasukuma mko vizuri mno upo we na fid Q aiseee hongereni mko vizuriii sn

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว +1

    Konki master

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unajua kuchonganisha mshenzi wewe

  • @abelshikupa1051
    @abelshikupa1051 2 ปีที่แล้ว +2

    Bro that watch is hot 🔥🔥

  • @brownvianey1529
    @brownvianey1529 2 ปีที่แล้ว +1

    Konki💪💪💪💪

  • @jiiwolf2900
    @jiiwolf2900 2 ปีที่แล้ว +1

    .Big Fact

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 ปีที่แล้ว +1

    Konki 😂😂😂😂

  • @3rdworldwonder585
    @3rdworldwonder585 2 ปีที่แล้ว

    dudu is very wise, wanawake wanajikaranga kwa mafuta yao 😂😂😂😂

  • @pascalmgina
    @pascalmgina 2 ปีที่แล้ว

    We mwamba una una Akili sana

  • @pedropedroagira3980
    @pedropedroagira3980 2 ปีที่แล้ว +1

    Konk master uko vizur

  • @abeidndereka3719
    @abeidndereka3719 2 ปีที่แล้ว +3

    Your true legendary