didass jottah -Taji ( TAJI EP )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • TAJI EP
    hii Ni ibada halisi ya moyo wangu utumishi wangu Ni bure kama. nitatumika pasipo kuwa na hakika ya TAJI yangu ya uzima wa milele hivyo Basi Ni maombi yangu mbele ya Mungu wangu aliye hai kuwa niifanye kazi yake kwa ukamilifu ili Hali nilirud kwa baba nikavikwe taji
    @didass jottah Mrisho
    produced by didass jottah mixing and mastering by didass jottah
    +255693205752

ความคิดเห็น • 16

  • @JamesRaphael-y4g
    @JamesRaphael-y4g 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja sana kaka

  • @fransiscagaston3007
    @fransiscagaston3007 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukuinua my beloved son

  • @Visionare469
    @Visionare469 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ubarikiwe 😅😅

  • @mkwafimpulule2010
    @mkwafimpulule2010 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @johnlameck6565
    @johnlameck6565 11 หลายเดือนก่อน +2

    👍

  • @officialmrmakuya978
    @officialmrmakuya978 11 หลายเดือนก่อน +1

    Well done mtumishi

  • @DEBORAKINYANGE-ty3vt
    @DEBORAKINYANGE-ty3vt 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akUzidishe viwango..
    Big up.. 👏

  • @JudithMisigaro-wl6qk
    @JudithMisigaro-wl6qk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed good song👋🔥💥

  • @zacharyelias8598
    @zacharyelias8598 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @DianaMpulule-pu5fx
    @DianaMpulule-pu5fx 3 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri kijana, ili ufike mbali zaidi pambana kuutafuta uso wa Mungu ,

  • @user-se2mw4by9e
    @user-se2mw4by9e 8 หลายเดือนก่อน

    Amen❤

  • @RICHARDMGOLLE-pl8ku
    @RICHARDMGOLLE-pl8ku 9 หลายเดือนก่อน

    Wimboo huu pia umebebaa ujumbe mzitoo sana dida Mungu alikutumiaa kuandaa ujumbee mzitoo kama huuu