Wako Wapi: Edward Kadilo, amekuwa mtangazaji kwa siku nyingi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Wako Wapi: Edward Kadilo, amekuwa mtangazaji kwa siku nyingi
SUBSCRIBE to our TH-cam channel for more great videos: www.youtube.com/
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
For more great content go to www.standardmed... and download our apps:
std.co.ke/apps/...
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
His voice boomed when we are young especially at lunch time. Mtukufu rais...msomaji nii 'Edward Kadilo. What a baritone
Wow, Edward Kadilo.
The 90s was an awesome time.
Thank you.
Can I get a voice clip of his reading news during Moi era? I used to admire his voice on KBC news even though I had little to no interest in news then.
Hamisi Themo, David arap Maiyo, Karani Laban, Bily Omala, Ann Ofula, Mustafa Idd, Badi Muksin, ...wacha tu, bila kumsahau Omuga Kabisaye
Elizabeth obege na Tina ogal
@@milkamugomo218 tina ogal sundowner ..we the 80s an 90s teens really had a good time
I rem this gentleman. What a legend
Greatwall days Edward kadilo , Hamisi temo, gulamu mwaviro, Badi mukshin, Esther githui, Ann ofula rip,
I really admired his voice during moi's era.
I miss him
Anunda Sakwa ako wapi
Napenda sana kadilo
edward kadilo ni mojawepo wa wanahabari walionivutia pakubwa enzi zile. Alikuwa na sauti yenye mnato wa gundi. Alistahiki
Anderson kalu
Huyu jamaa alipotea wapi
Nina mukumbuka sana wow
ismail shiranga nakumbuka
This guy made Television news so nice though it was black and white!
Edward Kadilo was on dunia wiki hii, right?
Yeap
Dunia wiki hii
Wapi david arap maiyo
na mtafute Charles Omuga Kabisae kbc
ata mimi namtafuta kabisas
Omuga bisae yap I missed him tuletee leo
Ukimtaja Charles omuga kabisae namkumbuka my elder sis mungu amueke pema peponi alikua anampenda Sana kila akija Kwa matangazo ya vifo yuwaniita njoo njoo umsikie Charles 😭😭
@@duladula1273 Yeah, hata mimi nilimpenda huyo ndugu... "maombi na mazishi vitafanyika...."
Plz mtafuteni carol robi aliye kuwa mtangazaji kbc
Hassan Jumaa na Bahajj mpaka wabobee ki lugha
Namtafuta said Ali matano
Katangulia mbele haki inna lillahi wa inaa ileyhi raajiun
Alishaiaga dunia. Mola amlaze penye wema
Ule reporter alikuwa wa mpira kutoka nakuru ako wapi somebody raendela pia yeye mtafute
Willy faria
Michael raendela kutoka nakuru huyo alikuwa reporter wa kbc
@@robertmaingi4635 alikuwa waeldoret .nakuru kuna jama moja alikuwa anoongea kwa simu zama zile kwa ile simu ya call box ..hina lake linani kwepa
@@ThelastREALAFRICAN huyo Michael ako kweli ?
@@robertmaingi4635 natamani Nakuru miaka ya thamanini ..ilikuwa ya kupendeza..sikuhizi imeharibika
Ungemwambia atutangazie habari tuzikie sauti yake kidogo jameni.
Edward kadilo,khamisi Themo,Annaclate Alaba sauti zao zilikuwa zinaamika....
Anaclete araba ..wow