Wako Wapi: Jack Oyoo Sylvester aliyekuwa mtangazaji wa kandanda KBC
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Wako Wapi: Jack Oyoo Sylvester aliyekuwa mtangazaji wa kandanda KBC
SUBSCRIBE to our TH-cam channel for more great videos: www.youtube.com/
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
For more great content go to www.standardmed... and download our apps:
std.co.ke/apps/...
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Jack Oyoo Sylvester nimtangazaji hodari na ana sauti ya kuvutia. Wakati AFC na Gor walikuwa wanacheza kandanda alikuwa anatupa hamasa sana kwa redio, mpaka unajidhania uko kwenye uwanja unatazama mpira. Alikuwa mmoja wao ya watangazaji kama Lenard Mambo Mbotela na Salim Manga wenye niliwapenda sana. Kongole kwa kazi nzuri aliyekuwa akifanya kwa kuwatumbuiza wa Kenya. Asante.
this guy made me learn my journalism talent, love you kaka JOS
Wah. Jack silvesta oyoo Homabay Nyanza kusini. Still looks young and vibrant.
Sauti iliyobarikiwa! The prototype of football commentary in Kenya. The legend. Mad love and respect. Some of us fell in love with soccer because of you.
Back in the village, during those days of following football on radio, this guy was my god.
Aha, Jack Oyoo Sylvester ako sawa. I love his energy and spirit. I recall first time I listened to him was way back in 1989. I think Oyoo was just making a transition from teaching profession at Kwoyo Kochia to broadcasting at KBC. Good job, kaka JOS and keep it up.
Oh wow!!! One of a kind. Wish we had more like him and Torome Terike. Brings my childhood memories 90s
jack alifanya insha zangu kusomwa class mzima from class 4 to class 8 na high school ,i thank you the legend
Niko hapa Gulu City, Uganda. Namkumbuka sana Jack Oyoo Sylvester nilipokuwa shuleni kule Kisumu miaka zilizopita, naye akanimotisha kuwa mtangazaji hapa Uganda hivi sasa.
Gulu pande gani Mimi Niko gulu
Great legend indeed, long live JOS
A very unique ,beautiful voice..it reminds me of Billy Omala and David Arap Maiyo....
Blessed Successful umesahau James willy njuguna
Nilikuwa na shindwe alienda wapi nyakati hizo nilikuwa na penda kadada juu ni nimsikize tena siku hizo juu redio ilikuwa mmoja tuu ingekuwa tuu nikama lazima msikize kadada juu ni kipindi cha kadada sana sana sato and sunday kutoka saa kumi hadi thenesara kumbe bali twatoka.
Ahsante KTN. Huyu Bwana licha ya kumjua tangu nikiwa mdogo, sijawahi kumuona. Amenikumbusha enzi zile.
Jack amejaliwa sauti nzuri sana na Mwenyezi Mungu ❤❤❤
Hongera sana kaka Jack Oyoo Sylvester,wanikumbusha mbali❤
Sports commentary extraordinaire! His delivery of Swahili news at KBC radio was epic!
Golden
Hongera Kaka Jos.
A legend!
Nampenda huyo kakangu sana,mahojiano yenu hayazeeki aisee 🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊
Yuko sawa kabisa
I still listen to his news commentary on KBC radio at 1300hrs.Admirable voice
Mashaaala amenikumbusha my favourite mtanganzaji wa Tbc Salim Bond. Akitangaza mechi ya yanga African na pamba ya mwanza
wow so beautiful....Jack your really blessed ....
Luo professionalism that i've always admired.
Habari hasi (-)
Habari chanya (+)
Swadakta kaka Jose
Great interview..Jack Oyoo Silvester sauti nyororo..miss those days.🤔🤔
jack thanks so much your one of the legend who can ever forget in this world
nakuheshimu sana jack lakini mwalimu wako alifanya kazi vibaya haipaswi kutoa fursa kubwa kwa mwanafunzi anayejua kusoma.... alistahili nafasi hiyo awape zaidi wale ambao hawakuwa na uwezo kama wako wa kusoma.
Proud alumni of the "RED CITY" cardinal Otunga high school - hehe kumbe Sio Mimi tu niligundua kumbe sijui,
wapi James onyango Joel?
Voice is still intact. It gets better like fine wine.
Sauti nzuri kama kawaida Jack Oyoo...pia ananikumbusha Muhammad juma Njuguna...akina Tindo Mhando, Leonard Mambo Mbotela and Gatei na wengine wengi...congratulations Jack Silvesta
Mohamed Juma Njuguna ni wa kutajwa?
Kumbe Kuna mtu anakumbuka Daniel Njuguna Gatei
Halafu rolie rolio,bill omala & so on
Salim Juma, Mohammed Juma Njuguna, Job Isaac Mwamto, John Gitonga, na Tema pia; now that was talent.
@@onesmuskiio1544 ila ni wivu unao ama ulikuwa hujazaliwa
Best voice ever.
Very Unique. HERO
My sister am also looking for those people _Oyoo
Siezi ziwia machozi yani nikumkumbuka kaka jose oyooo Silvester mashaa llah hicho nikipaji ulijaliwa nacho
Walai pia Mimi nmemwaga
Jack oyoo na ali salim Manga hao ni magwiji.
Waalikeni siku moja ya mechi kali tujikumbishe.
I heard of him when in baby class cjawaisikia tna na sai nmemalisa college
Am happy to see this guy
Proudly Cardinal Otunga alumnus
nice one, nilikua nasikiza habari wakati jack oyoo sylvester alikua anatangazaji habari nilikua nasikia ati mwisho. wakati mwema sylvester.
Mashallah
Ukweli kabisa. Huyu ni mmoja wa watangazaji wakupigiwa mfano. Mola Azidi kukuneemeshea neema yake.
JOS you are my mentor,
Ahsante kaka jos.
Long time but happy to see you kaka JOS👏👏👏👏
Wow
I really mis dis amazing vioce
Jack hataki jina lake tena...too bad!!
Hodari sana Jack na Bi Kilobi. Kiswahili ni laugha tamu mno.
In addition he was a radio teacher, long live Kaka jos!!!
Great one!!!
Live long Sir
Namkumbuka huyu Mtangazaji mashuhuri,alinifurahisha saaaanaaa kwa misamiati aliyoitumia katika utangazaji wa kambumbu.
Nice one
Hatari sana huyu...
This guy is still good, hongera Jack Oyoo
Kaka JOS WOW!
amenikumbusha mtangazaji Matata Sana, Billy Omala!
Shupavu Sana Oyoo🇰🇪
Mjaluo muislamu!
Wakenya, kiswahili kitamu.. mbona tusi ki enzi kama lugha letu la taifa .
Mtangazaji hodari sana, Kaka Jos ni mmoja wa watangazaji ninao waenzi hadi wa leo
Role model wangu kweli......ametia fora xana......
Huyu ndiye mtangazaji pekee wa soccer hawa wengine ni waigizaji
Namkumbuka kana jana na leo...
Waaauuuu mzee nilipatana na nawewe kwa hoteli moja Kwale 2009
Mkali wao
Kweli ckuwa nakula ukiwa unatangaza akh.
You are my twin, nlikua namfuata kwa taarifa,Mpira na ulimwengu wa mchezo,sijasahau ukumbi was spoti na buridisho tosha
Hizo siku utangazaji wa mpira ulikuwa imara...ungeskiliza utangazaji usichoke...Mungu akubariki kaka.
Nilteeni charles omuga kabisae
Kazi bomba kabisa,dah...hiki ni kipaji aki amama!!
ahaha. Gor tu ndo ingefunga wa kwanza..
Because we always do
I really miss Jack oyoo
wa kumbe tunaweza kuwa washwahili
Salim Manga naye alipotelea wapi?
anakaa mchanga bado
Jack oyoo silvester homabay kusini mwa nyanza,cant forget those years
wapi mtangazaji benard Otieno?
kaka joz asante kwakujitokeza baba wa lugha
Lau panda kutuzwa kwa bidii yake alikilala juu ya kitanda cha dhahabu,Kaka Jos alitamba ndani ya fani ya Lugha na ugwiji katika utangaza Wa mpira.Kaka jos umekita ndani ya nyoyo zetu
Kiswahili mufti kaka jos bingwa Wa lugha duh! twakuli
Mimi najua Jack Oyoo ndie alikua mtangazaji bora wa kabumbu wa kiswahili duniani
Gwiji.
Huyu alikuwa kioo katika maisha yangu.....akiwa na Ustadhi Wala Bin Wala.
Wewe ni hodari nakumbumbuka zile mechi za Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati.......
Tangu mwaka 1994 nikiwa darasa la PILI nasikiliza KBC na RTD
😀😀😀😀😆😆wow gold
Kaka jos forever!!
Nilikua fun wako jack...nikiwa mdogo nilipeda matagazo ya habari sana
Hujawahi omba kazi sababu, uliiweka lugha mbele na kuji amini...kadri na wale wame ki enzi lugha za mabeberu, tuna wasahau haraka kama vile walivyo tokea....
Huyu jack oyoo ktn ntv mwangoja nini ?? Apewe kazi hapo sasa
Mtangazaji stadi.Lugha sanifu.
Jack oyo,Ali Salim manga na mambo mbotela hawa ndio watangazaji wakandada sio hawa wa siku hizi ni bure kabisa
Ata mimi nilikuwa najifunza kutangaza kama jack oyoo Sylvester wakati wa harambee stars
🤣🤣🤣sauti tamu sana
Tutafutieni Salim Manga
Unanikumbusha mbali xana usangi Kilimanjaro nilikua na mpata sana k,b,c from Tanzania
Kweli kabisa!
Huyu na peter Drully
Jamaa anaongea bila kusita na anatupa mistari tupu tu.. wengine hata wapewe miaka sita na kamusi hawawezi fikia haya.. ni vibaya sana tribalism inatumaliza hivi - kama huyo dorothy ana-hustle kutafuta kazi licha ya kuwa na uwezo basi ni hali mbaya sana tuliomo
Ebu Leta Charles omunga kabisaye
Kakajos tumekumiss sana na kutangaza kabumbu kama mbira,Habari na ulimwengu wa mchezo tafadhali ingekuwa poa nipate namba yako
We are greating u from South Sudan
Namba yangu ni +211923050359 email jallesiyad114@gmail.com
The legend
Safii tutaftane
nimekutumia message ya brithday.. umepata?
Hassan Jumaa na Bahaaj hawamo,lugha zao hamnazo