Jinsi Ya Kufanya maombi Ya Kazi CANADA Kwa Njia Ya Simu, VISA NA USAFIRI BURE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 210

  • @bekaali8930
    @bekaali8930 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kila la kheyr bro umetusaidia sana kwa hili mungu akubariki

  • @lutambisos3605
    @lutambisos3605 ปีที่แล้ว +3

    Brother nakutakia kazi njema uko vizuri sana

  • @GibsonNjau-hy5wl
    @GibsonNjau-hy5wl ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa uduma yakutuhamasisha kutumia fursa za nje barikiwa sana

  • @ngaribaonlinetv
    @ngaribaonlinetv ปีที่แล้ว +3

    Ahsante❤ ningependa kujua kama hiyo process haiitaji cover latter kuatach au email hapa imetosha!???

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว +1

      Cover letter ni muhimu boss wangu

  • @Kikipius038
    @Kikipius038 ปีที่แล้ว +3

    My brother thank you so much. I always follow you wherever you put a new video I always make sure I am watching,thinking God bless you. My brother, can you make a video for a cv for apple picker Please teacher us give us example

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว +1

      thank you so much brother, noted

    • @yahyajuma7137
      @yahyajuma7137 ปีที่แล้ว +1

      broo vp unatengeneza work parmit

  • @ashakibendela615
    @ashakibendela615 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Sana kaka Sasa nime faham

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mwalimu .

  • @NtawebasaZainabu
    @NtawebasaZainabu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing am interested❤

  • @godlistendaniel2659
    @godlistendaniel2659 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asee kaka nimependa sana ntaituma kwenye magroup yangu na ntawapa ushuhuda afu ntafanya mpamgo mm niende ili waone uko seriously bro❤

  • @JimmyMbobo
    @JimmyMbobo 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu akubariki

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana

  • @ezrakiduko6135
    @ezrakiduko6135 6 หลายเดือนก่อน +1

    We noomaa umetisha kaka

  • @DianaMabaija-bv3ql
    @DianaMabaija-bv3ql ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kaka

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Asante Boss

    • @DianaMabaija-bv3ql
      @DianaMabaija-bv3ql ปีที่แล้ว

      @@DennisMagessa kaka kwenye kujaza fom ya passport sioni pa kusevu

  • @mohammedbaraka9230
    @mohammedbaraka9230 ปีที่แล้ว +1

    Big up brother Magesa

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Asante boss Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

    • @mohammedbaraka9230
      @mohammedbaraka9230 ปีที่แล้ว

      Tayari kaka Mimi ni mdau wako mpaka kwenye group nipo

  • @SheilaKasim
    @SheilaKasim 4 หลายเดือนก่อน +2

    Habari kaka mimi nina hitaji sama kazi za shamba canada sasa nkupatake

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  4 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @PascalAnselimo-gu3qp
    @PascalAnselimo-gu3qp ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana mkuu

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Asante boss wangu Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @FazaChidebele-nw5fh
    @FazaChidebele-nw5fh ปีที่แล้ว +1

    Mungu ukubariki kk

  • @ZwainhOman
    @ZwainhOman 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hi

  • @Kikipius038
    @Kikipius038 ปีที่แล้ว +5

    Do you know why I’m saying this one my brother? Because many people are following you, but they don’t know the way for making a cv for Apple picker And they don’t have experience or maybe they don’t have a certificate of high school. Please help them. Thank you and God bless you… And I am playing God one day I i can meet you so that I can buy for you something to appreciate you.

  • @BagsSales
    @BagsSales 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejiunga na were nahisi nitatoboa kutoka Tz passport ninayo tayari

  • @Japhethniyogusenga-pl9xq
    @Japhethniyogusenga-pl9xq ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 ปีที่แล้ว +1

    Mzee hongera sana

  • @Alexandrehabimana-k4l
    @Alexandrehabimana-k4l ปีที่แล้ว +4

    Toka nihangaliye watu wa TH-cam wewe njo naona unatufunza bitu muhimu wangine waongotu hongera saana kaka

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

    • @amanijumanne5543
      @amanijumanne5543 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu nsada wako nimuhim sana ​@@DennisMagessa

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 ปีที่แล้ว +1

    ASante kiongozi wangu MUNGU akubaliki sana

  • @estherwaringer4664
    @estherwaringer4664 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Nilikua nikigoja hii

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp 0766048783

  • @SheilaKasim
    @SheilaKasim 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka magesa wewe unapatikana wapi na pfic uakoipo wapi lwahapa tanzania?

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  4 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @petromgaya1746
    @petromgaya1746 6 หลายเดือนก่อน

    Boss

  • @MohamedRamadhan-ke1jp
    @MohamedRamadhan-ke1jp ปีที่แล้ว +1

    Kaka niunganishe na me kwenye maswala ya ujenz

  • @giselapeter5282
    @giselapeter5282 ปีที่แล้ว +1

    Tunakushukuru sana sana

  • @SophiaIbrahim-dy1zo
    @SophiaIbrahim-dy1zo ปีที่แล้ว +2

    Na pia Kama kazi haitaki ili uombe lazima uwe na ujuzi au cheti yaani no experience or certificate kwenye kuandika email bado nahitaji kuweka na cv au naweza tuma kawaida mwalimu

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Cv ni lazima kwa kazi yoyote ile

    • @OnesmoMathias-nu3rb
      @OnesmoMathias-nu3rb ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri zuri sana nainauhitaji nisaidie kwa hiro nipate kazi

  • @SulaymaniSaidi
    @SulaymaniSaidi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha malefu mwamba

  • @neemahappyeverafter6181
    @neemahappyeverafter6181 ปีที่แล้ว +1

    pamoja sana kaka

  • @HusseinKishimba
    @HusseinKishimba หลายเดือนก่อน

    Natarajia nitapataje kazi ya udereva

  • @Mr.Latino85
    @Mr.Latino85 ปีที่แล้ว

    Good job brother

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Asante boss wangu Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Asante boss wangu Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @MoxamedAbdi
    @MoxamedAbdi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Boss mm piya nataji so 2saidiyan

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  11 หลายเดือนก่อน

      Nicheck whatsapp 0766048783

  • @ashakibendela615
    @ashakibendela615 ปีที่แล้ว +1

    Kaka tufundishe jinsi ya kuandika sv

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Iko video nimetoa kwaajiri ya kutengeneza Cv

  • @KamillahBure
    @KamillahBure 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel n nzuri nahitaji sana lugha vip

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  11 หลายเดือนก่อน +1

      Nicheck whatsapp 0766048783 utapata maelezo yote

  • @SheilaKasim
    @SheilaKasim 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa sheila kasimu tendega mimi nimekulia katka kilimo sina elemu kihivyo lakin najua kdg kingereza kaka mahitaji sana kazi za shamba Canada sasa nawezezaje kupata kaka?

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  4 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @kibulugwaclain7527
    @kibulugwaclain7527 ปีที่แล้ว

    Habari ndugu

  • @PeterEmmanuel-z4r
    @PeterEmmanuel-z4r 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka unaweza nisaidia kufanya hayo

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  14 วันที่ผ่านมา

      @@PeterEmmanuel-z4r Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783

  • @thehopetv2930
    @thehopetv2930 11 หลายเดือนก่อน +1

    Na ikiwa mtu hajui vizuri lugha ya kiingereza anaweza kuwa muhusika kwenye kazi na anaweza kukubaliwa?

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  11 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna kazi ambazo hawaitaji ujue kingereza ilas kuzipata ni issue

  • @RachelSimon-wj3pu
    @RachelSimon-wj3pu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo sumbawanga naweza unganishwa. Vigezo vipi

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  11 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp 0766048783

  • @AllySonso-w9g
    @AllySonso-w9g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka naitaji kupata kazi nisaidie please

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  6 หลายเดือนก่อน +1

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hamu yangu nije canada kufanya kaz lakini sjiui pakuwanzia wp?

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Unatakiwa kufanya maombi ya kazi boss wangu au unaweza nicheck WhatsApp 0766048783

  • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
    @SaidimaulidiMaulidi-lf9de ปีที่แล้ว +1

    Wengine hatujui kingereza itakuwaje

  • @HusseinKishimba
    @HusseinKishimba หลายเดือนก่อน

    Kaka niko Mwanza mimi ni dereva wa tick

  • @Japhethniyogusenga-pl9xq
    @Japhethniyogusenga-pl9xq ปีที่แล้ว

    Hello sir my name is japhete Mimi ni mkimbizi hapa Kenya Sina passport nipe ushauri na sijasoma je inawezekana kupata frusa kama hizo?

  • @BabaHytham
    @BabaHytham 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naitaji kwendakufanyakazi kanada siwezi jinsiyakuomba maombi

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  11 หลายเดือนก่อน

      Nicheck whatsapp 0766048783

  • @yahayahanafi3234
    @yahayahanafi3234 ปีที่แล้ว

    ,Mr. ,denissi. ,magesa upovizuri Dana kuusu. ,kaziyakp.

  • @mariamjacob3094
    @mariamjacob3094 ปีที่แล้ว +1

    Nimesubili sana vidio ii

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @KasililaLogasian
    @KasililaLogasian 7 หลายเดือนก่อน

    Nipo kitunda naomba nije ofisini kwako unisaidie

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  7 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @AllySonso-w9g
    @AllySonso-w9g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka habari yako

  • @yullyishengoma1140
    @yullyishengoma1140 ปีที่แล้ว +1

    Habari kaka Denis mimi nahitaji kujua kama unaujuzi wowote na unataka kufanya kazi ya shambani ni sawa kuambatanisha cv inayoonyesha ujuzi wako ulionao hata kam kazi ni ya mashambani?

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hawaitaji ujuzi wowote ule wewe jaza ujuzi wowote ulionao

  • @Noor-d9q
    @Noor-d9q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza kama mtu umetuma maombi inachukua mda gani kukurudishia majibu

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  5 หลายเดือนก่อน

      Unategemea hakuna muda maalumu

  • @OmanOman-pf9ut
    @OmanOman-pf9ut หลายเดือนก่อน

    🙌🙌❤❤

  • @AbeidOthman-xe5vy
    @AbeidOthman-xe5vy 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nisaidieni na mimi niweze kufikia hili

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  8 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @moshirajabu5148
    @moshirajabu5148 ปีที่แล้ว +1

    tupo pamoja kaka

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha unasubscribe na kulike video hii, kwa msaada zaidi nicheck whatsapp 0766048783

  • @SophiaIbrahim-dy1zo
    @SophiaIbrahim-dy1zo ปีที่แล้ว +1

    Ni lazima kuambatanisha na cv Kama kazi haihitaji certificate or attachment ya experience?Je unaweza kutuma normal applications without cv attachment

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว +1

      Hapana cv ni muhimu sana bial CV hawatajibu maombi yako

    • @ujukuakram
      @ujukuakram ปีที่แล้ว +1

      Kaka cv wanachagua au yoyote

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      @@ujukuakram zipo format za cv zao wanazozotaka

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +1

    For now links zote hazipo duh 🙄

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Kazi Zipo boss wangu we angalia vizuri

  • @saidemkupa4638
    @saidemkupa4638 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niko teyali kazi yoyote hile

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Fanya maombi au kwa msaada zaidi Nicheck whatsapp 0766048783

  • @KasililaLogasian
    @KasililaLogasian 7 หลายเดือนก่อน

    Mm nilikuwa naitaji

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  7 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @LightnessGodfrey-ym6ei
    @LightnessGodfrey-ym6ei 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba unisaidie nipate kazi huko

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  7 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @PoulHassan
    @PoulHassan ปีที่แล้ว +1

    Kaka natamani sana kwenda huko nahitaji msaada wako please

  • @Khadijamboweto-ws7wr
    @Khadijamboweto-ws7wr 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka miminahitaji kazi pasipoti ninayo

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  3 หลายเดือนก่อน

      Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783

  • @loveness09-k
    @loveness09-k ปีที่แล้ว +1

    Hizi nafasi za lini?

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Nafasi zinatoka kila siku boss wangu hizo ni za muda sanaa

  • @berthahakizimana2437
    @berthahakizimana2437 ปีที่แล้ว +1

    Asnt

  • @benardLeonard-ss7fe
    @benardLeonard-ss7fe ปีที่แล้ว +1

    Hizo kazi bado zipo

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Zipo kazi za mashamba boss wangu

    • @johdullayo4960
      @johdullayo4960 ปีที่แล้ว

      ​@@DennisMagessa kaka ig unatumia jina gani

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni ปีที่แล้ว +1

    Mimi sijui kingereza wala chochote ila kz najua jmn kaka unaweza nisaidia kujaza kila kitu naomba namba zako kaka

  • @irenebosco7411
    @irenebosco7411 11 หลายเดือนก่อน +1

    Una patikana Tanzania Dar ????

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  11 หลายเดือนก่อน

      Yes, Nicheck WhatsApp 0766048783

  • @Mariam-zh4bf
    @Mariam-zh4bf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja kaka

  • @JesinterNjuguna-y8f
    @JesinterNjuguna-y8f ปีที่แล้ว +1

    Hii resume unafaa kuiandika wapi na pia utaishikanisha vipi

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp 0766048783

  • @AvitinaVedasto
    @AvitinaVedasto 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka me nahitaji nawezaje kuapply ili nipate kazi

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  5 หลายเดือนก่อน

      Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783

  • @rosemerryfaustin1900
    @rosemerryfaustin1900 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana kaka samahani naomba number yako

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  10 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp Tafadhari 0766048783

  • @wahda1976
    @wahda1976 ปีที่แล้ว +1

    Kaka naomba namba yako namazungumuzo na wew

  • @neemakipande5564
    @neemakipande5564 3 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kazi

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  3 หลายเดือนก่อน

      Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783

  • @aishadotto9667
    @aishadotto9667 ปีที่แล้ว

    Msaada wa kuandika resume na hyo cv

  • @therencendikumana9391
    @therencendikumana9391 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimpe namba yangu

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  10 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว +1

    Haionekani hapo no yako please

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Fanya maombi Boss au nicheck 0766048783

  • @venniehheaven9303
    @venniehheaven9303 ปีที่แล้ว +1

    Hello no yako sijaona

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Fanya maombi au kwa msaada zaidi Nicheck whatsapp 0766048783

  • @IddiEdward
    @IddiEdward 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nambayawakala

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  6 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787

    • @IddiEdward
      @IddiEdward 3 หลายเดือนก่อน

      😂😢😮​@@DennisMagessa

  • @shebbyID24.
    @shebbyID24. ปีที่แล้ว

    kaka unatusanua mambo ya maana sn ombi langu ni utupefunzo jinsi yakuandika cv ya canadian and UK

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp 0766048783

  • @DianaMabaija-bv3ql
    @DianaMabaija-bv3ql ปีที่แล้ว

    Kaka Mimi ninatamani kwenda Canada nisapot. Kaka please jaman Nikifanakiwa Mungu anajua asante yangu

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp 0766048783

  • @MakutaChrispro-lk8gj
    @MakutaChrispro-lk8gj 8 หลายเดือนก่อน

    tuna wezezeje kufika Kaka Mala uwe nakipaji tunaambiwa kama vipi ww tuunganishe kufika kule name tutakujali kaka

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  8 หลายเดือนก่อน

      Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783

  • @hamisimasimbi5019
    @hamisimasimbi5019 ปีที่แล้ว

    Nataka kujifunza Canadian cv .bro

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

    • @NeemRamadhani-j8h
      @NeemRamadhani-j8h 11 หลายเดือนก่อน

      Umeshaelewa kuandika CV?

  • @mog791
    @mog791 ปีที่แล้ว +2

    ❤🙏🌹

  • @الخطابثني
    @الخطابثني 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji kaka nahitaji

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  9 หลายเดือนก่อน

      Nicheck Whatsapp tafadhari 0766048783

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 ปีที่แล้ว +3

    Niko nawe kila hatua tumeanza kwenye passport nimefanikiwa na sasa tuko hatua muhimu sana

  • @robysharetz2611
    @robysharetz2611 ปีที่แล้ว +1

    Private number bro ķama huta jali

  • @SalumLadi
    @SalumLadi ปีที่แล้ว

    Nimependa unipatie namba yako

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 8 หลายเดือนก่อน

    Mbon kaka siku hizi utoi video yeyote kwanini

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  7 หลายเดือนก่อน +1

      Nitatoa Boss wangu usijari

    • @MariettaNyoni
      @MariettaNyoni 7 หลายเดือนก่อน

      @@DennisMagessa kaka tunakusubulia kwa ham utupe madini jmn

  • @evancekinabo2595
    @evancekinabo2595 ปีที่แล้ว

    Ongozi naomba format ya cv

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp 0766048783

  • @geraldwilliam2822
    @geraldwilliam2822 ปีที่แล้ว

    Uko poa Magesa

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Yes boss Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @rajabmchedengele9059
    @rajabmchedengele9059 ปีที่แล้ว

    Tisha San magessa

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Asante boss wangu Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @DomKiDi
    @DomKiDi ปีที่แล้ว

  • @fredmagge9247
    @fredmagge9247 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja mwanzo mwisho

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @Mr.Latino85
    @Mr.Latino85 ปีที่แล้ว

    Magesa naomba namba yako ya WhatsApp

  • @JoseBoazy
    @JoseBoazy ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja

    • @DennisMagessa
      @DennisMagessa  ปีที่แล้ว

      Hakikisha umesubscribe na kulike video yangu kwa msaada Nicheck whatsapp +25566048783

  • @sabrinahakram4331
    @sabrinahakram4331 หลายเดือนก่อน

    Bro mi nataka unisaidie wew number yako please nikuchek wassap

  • @Amede-o5d
    @Amede-o5d ปีที่แล้ว +2

    Good job brother