Tumia njia hii kama unataka kusafiri Ulaya bure kwanzia Sasa mpaka 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @Devota_life
    @Devota_life  6 วันที่ผ่านมา +6

    Sikiliza Video Yote Alafu ingia hapa
    -www.workingtraveller.com/work-in/iceland/
    -www.adventurevolunteer.org/en/volunteering/iceland/
    -www.volunteerworld.com/en/volunteer-program/psychology-internship-copy-in-greece-athens

  • @AminaShillah
    @AminaShillah 2 วันที่ผ่านมา +3

    Da devota nina furaha sana mungu akubaliki umeni inspire sana kutumia video zako nimejalibu kuapply scholarship nimepigiwa simu kutoka calfonia nimechaguliwa chuo cha afya naombq unishauli mimi nipo gulf Omani nafany kazi sijamaliz mkataba sijui nafanyej yaan 😭😭😭😭😭😭😭 ila nina furaha san

    • @gladnesskimambo4756
      @gladnesskimambo4756 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hello mamy mambo

    • @AminaShillah
      @AminaShillah 2 วันที่ผ่านมา

      @gladnesskimambo4756 powa

    • @BlandinaMarko
      @BlandinaMarko วันที่ผ่านมา +1

      Amina pole na hongera,, we are in the same case... I'm in Oman as well but I'm not chosen yet.

    • @AminaShillah
      @AminaShillah วันที่ผ่านมา

      @@BlandinaMarko asnte kipnz

    • @AminaShillah
      @AminaShillah วันที่ผ่านมา

      @@gladnesskimambo4756 powa

  • @Jamiljamal-i4f
    @Jamiljamal-i4f วันที่ผ่านมา

    Sista Mungu akupe umri mrefu sana aisee kwa hizi furusa unazotupa jaman tushindwe cc tu jaman

  • @RozRoz-o6d
    @RozRoz-o6d 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hi devota,

  • @AgathaElly
    @AgathaElly 52 นาทีที่ผ่านมา

    Asante dada

  • @mwitasamuel4237
    @mwitasamuel4237 4 วันที่ผ่านมา

    I like it very much may God bless you sister Devota.

    • @Devota_life
      @Devota_life  4 วันที่ผ่านมา

      Thanks for listening❤❤

  • @OctovinaMalekia
    @OctovinaMalekia 5 วันที่ผ่านมา

    Dada Asante nimeanza kuzisoma hizo kazi va volunteer Asante 🙏

  • @bonaventuremwinamila9653
    @bonaventuremwinamila9653 วันที่ผ่านมา

    Hello sister, kwanza hongera sana kwa kutupatia taarifa. Binafsi nakupongeza sana.
    Mimi binafsi napambana kupata fursa ya kusafiri ulaya. Natafuta conference nitakayo weza kulipia na kushiriki. Kupitia msaada wako tunaomba msaada wa taarifa kuhusu international conference

  • @irenemichael
    @irenemichael 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nikiwaza mkataba bado mwaka mzima nachoka nipo oman naomba Mungu anipe uzima oneday yes

  • @georgemichael3791
    @georgemichael3791 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekupeza sana.

    • @Devota_life
      @Devota_life  5 วันที่ผ่านมา

      Hello Asante , kindly can you re-email me again

  • @EstherPhinias
    @EstherPhinias 6 วันที่ผ่านมา +3

    Nimemiss live jamaniii😭

    • @Devota_life
      @Devota_life  5 วันที่ผ่านมา

      Jamani rudia tena

  • @AshaHussein-z3j
    @AshaHussein-z3j วันที่ผ่านมา

    Mtoto wangu anahitaji amesoma uhasibu afanyeje

  • @RozRoz-o6d
    @RozRoz-o6d 2 วันที่ผ่านมา

    Nakutazama toka Saudis naitwa Rose

  • @AyoubOmary-s5e
    @AyoubOmary-s5e วันที่ผ่านมา

    Habari sister nataka niende kua apply zile office ulizosema za UN ziko wapi kwa hapa Dar

  • @SurprisedCobra-lz9ee
    @SurprisedCobra-lz9ee 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi Hamad hamza kombe nimekubali dada mi nipo tayari kwa kazi yoyote naomba nisaidie dada hutajuta

  • @abounassoro2540
    @abounassoro2540 3 วันที่ผ่านมา

    Nataka kujua mawakala wakutufanyia applications kwa kazi za ulaya lakini sio uarabuni

  • @stellanasho9712
    @stellanasho9712 2 วันที่ผ่านมา

    Devota mm ni nimesomea massage na pia ni dereva naweza pata volunteer Norway?

  • @MihayoYombo-f8o
    @MihayoYombo-f8o 5 วันที่ผ่านมา

    Waoo my type michongo mungu mwema atusaidie tufike hata huko ulaya jamani

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 3 วันที่ผ่านมา

    Jambo Devota nilikia nataka kukuwuliza mutu akienda Portugal na visa ya kazi inawezekana kua mutu anaeza hamia in other countries zenye ziko mu Schengen?

  • @hanslii1296
    @hanslii1296 2 วันที่ผ่านมา

    Nataka agent wa uhakika mwanamke ana mtoto mdogo inawezekanaje

  • @SarahWilson-g7l
    @SarahWilson-g7l 5 วันที่ผ่านมา +1

    Dada mimi mbaka mwez wa 3 nataka niwe nimesepa naamin kila anaye mfatilia dada ataondoka

    • @Yana-o2u
      @Yana-o2u 5 วันที่ผ่านมา

      Make sure Tu una passport yako…haya mambo huwa yanakuja fasteeeeer

  • @LISALUKINDO-kh1es
    @LISALUKINDO-kh1es 4 วันที่ผ่านมา

    Hii nimeinda barkiwa sana

  • @NerboRaphael-q3o
    @NerboRaphael-q3o 2 วันที่ผ่านมา

    Dada angu nini chakufanya kea mtu ambae nakusikiliza kea mama ya kwanza niwapi naweza kuanzia ninandoto ya kwanza ulaya nahitaji kujitolea je naanzia wapi?

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 3 วันที่ผ่านมา

    Is it possible to move in other country Wich is under Schengen while the Portugal work visa?

  • @mauamabunda7385
    @mauamabunda7385 2 วันที่ผ่านมา

    Umri gani mwisho wa Ku volunteer?

  • @YuxuphMuxh
    @YuxuphMuxh 4 วันที่ผ่านมา

    Dada naomba kuuliza. Bure hiyo ni visa na ticket ni Bure au inakuwaje naomba unifafanulia hapo ?

  • @YuxuphMuxh
    @YuxuphMuxh 4 วันที่ผ่านมา

    Dada Dev. Napenda ufafanuaji wako . Mimi nime somea Health care mwaka moja.. Kuangalia watoto na wazee pia na wakimbizi. Kwa mm upande wa UN inakubalika?

  • @YonnahKokan
    @YonnahKokan 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani dada devota mbona tulikuomba umlete deri humu jamani kwni kagoma? Nmekuandikia kule instagram hata haujajibu

  • @1102imani
    @1102imani 5 วันที่ผ่านมา

    Yan Mambo ni moto

  • @adamyusuphmsigala
    @adamyusuphmsigala 5 วันที่ผ่านมา

    Wasaidie vijana wetu

  • @stellamlawa5445
    @stellamlawa5445 5 วันที่ผ่านมา

    Devota
    Nimependa ulaya nikaumwa sita pili au y tatu toka nifike muda wangu utaongezwa w kuish pale ili nikamilishe ratiba yngu kwa siku nilizoumwa au ndio basi
    Inakuwaje nikiumwa

  • @rebekamusa3230
    @rebekamusa3230 วันที่ผ่านมา

    Swiden?

  • @JK-yf6dg
    @JK-yf6dg 5 วันที่ผ่านมา

    Hao

  • @happymwalukasa7299
    @happymwalukasa7299 5 วันที่ผ่านมา

    Dada Devo naomba namna ya kumpata Alvin Mataba

  • @alicesemsella
    @alicesemsella 5 วันที่ผ่านมา

    sister zingine unalipia not for free

  • @MarthaZabron-v9b
    @MarthaZabron-v9b 5 วันที่ผ่านมา

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 5 วันที่ผ่านมา +2

    uturuki siyo waarabu dada tatizo watu wengi hawafanyi utafiti

  • @happymwalukasa7299
    @happymwalukasa7299 5 วันที่ผ่านมา

    Dada Devo naomba namna ya kumpata Alvin Mataba

  • @MwantumuAbdy
    @MwantumuAbdy 5 วันที่ผ่านมา